Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
Nasikia kuna kaserengeti boy umekaweka kinyumba.....! Je! ni kweli?
Tony Almeda kasome swali la 6 imejibu vipi. serengeti? :nono::nono::nono::nono:
Last edited by a moderator:
Nasikia kuna kaserengeti boy umekaweka kinyumba.....! Je! ni kweli?
Erotica Lini tunaanza hii kazi?
Bado nachambua jina la mgeni wa Zinduna Talk Show wiki ijayo, nitaliweka hapa baadae nikishapata muafaka (Wiki ijayo ni ME)
Stay tune!
mkuu vipi nikimaliza hiki kipindi nikuibukie tupange mchakato?
usiwe na wasi wasi kuhsu accountability Mike McKee, nipo so hardworking na najituma.
Mie nina swali moja tu kwa huyu mrembo wetu Erotica...Hivi ni mwanaume gani huku JF unayemzimia ambaye ukimuona tu mapigo ya moyo wako yanaenda mbio kama transfoma ya bwawa la mtera?
sijui kama unajua ku kiss. nikijua unajua then nitakupeleka kwa kunikiss.
Umewahi kufanya matusi kwa njia ya kunyea? Unamani kuhusu njia hii mpya kuturidhisha wanaume?
Goood..
Then nakusubiri uje tupange mipango mikakati
Najua Bana, hata nkishindwa si utanifundisha?
Erotica Ndweo ni Majivuno, Kibri, au Kujisikia kupita kiasi kwa kiswahili fasaha
erotica shosti mie sina swali
Halafu kuna hili swali limetumwa na Kipipi kwa njia ya PM:
Eti uliwahi kuwagonganisha wanaume humu JF ukitumia ID mbili tofauti, lakini ukajichanganya na kubainika, Je ilikuwa ni sadfa au kuna mtu alikwiba password yako?
Swali jingine kwa Erotica: ukipata bahati ya kiss kutoka kwa Tanmo, je utataka akukiss wapi?
Naye Erickb52 anauliza:
Kuna tuhuma zilivuma mwaka 2004 wakati unasoma hapo shule ya Ngaramtoni kwamba uliwahi kuchoropoa mimba, Je hilo nalo walizungumziaje?