Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Zinduna, Jun 23, 2012.

 1. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Mrembo Erotica

  Ni matumaini yangu siku ya leo wote mu wazima wa afya na mnaendelea kulitumikia taifa hili kwa moyo mkunjufu kabisa.


  Kabla sijaanza kipindi chetu cha talk show ningependa kuchukua nafasi hii kumpa pole Bwana Bishanga kwa kisanga kilichompata wiki hii baada ya kupata msuto babu kubwa kiasi cha kulikimbia jukwaa la Chit Chart. Labda kwa ushauri wa bure ni kwamba hilo ni fundisho kwake na kwa wenzake ambao wanajifanya kiherehere kuchinganisha wapendanao humu JF.

  Pia ningependa kumtahadharisha Kongosho kwamba na yeye ajiangalie maana ngoma iko huku, asije akaangukiwa na dhahama ya ngona ya KILUGWAI.

  Haya tena leo mjengoni nipo na Mrembo wetu, honoy wetu, Loly Pop wetu Erotica. Mahojiano yangu na Erotica yatasawiri zaidi kwenye maisha yake binafsi, na maisha yake humu JF na pia kazi zake za mapema.

  Line za ku-post Comments ziko wazi, Mwana JF yeyote anaweza kutumia fursa hii kumuuliza Erotica swali lolote na yeye bila shaka atayajibu maswali yenu kwa kadiri atakavyopata muda.

  Kwa kuanza ninayo maswali kumi na tano ambayo ningependa kumuuliza Erotica:

  1. Je umezaliwa msimu gani, wa Kiangazi au Masika? Mawio au machweo?
  2. Je Ulishawahi kucheza mchezo wa baba na mama na ule wa kujificha utotoni?
  3. Je umeolewa? Kama umeolewa, Je una watoto wangapi, na kama hujaolewa, ina maana huna hata Kavulana ka kukufiligisa siku moja moja ukinyegeka?
  4. Unazungumziaje ndoa za siku hizi ukilinganisha na ndoa za zamani, namaanisha uwajibikaji kwa wanandoa, Je unadhani mahusiano ya ndoa kwa vijana wa leo yamejengwa katika misingi imara kama ndoa za mama/bibi zetu?
  5. Je umewahi kufanya mapenzi na mwanaume asiyetahiriwa?
  6. Kama umewahi, je uliona tofauti yoyote na ile iliyotahiriwa?
  7. Je umekeketwa, kama umekeketwa, Je unaizungumziaje mila hiyo ya kukeketa?
  8. Je ni tukio gani liliwahi kukuhuzunisha sana?
  9. Je ni tukio gani liliwahi kukufurahisha sana
  10. Je unapenda kuvaa nguo za aina gani?
  11. Je unapenda chakula cha aina gani?
  12. Ukipata fursa ya kupata chakula cha usiku (Dinner) na Mzee Asprin, utamshauri kitu gani?
  13. Je ni jambo gani umewahi kulifanya kwa faida ya nchi yako na ambalo hata ukifa litabaki kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?
  14. Je una ushauri gani wa MODS wa JF
  15. Je una ushauri gani kuhusu hiki kipindi cha Zinduna Talk Show…….

  Haya nakaribisha maswali yenu wadau na hivi punde Mrembo wetu Erotica atakuja kuyajibu maswali yenu.

  Karibuni sana

   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Swali la nyongeza ndugu thpika:
  Hivi ni kweli kuwa babu asprin ndo alikuvunja niniliyu? Iliuma sana au ilikuwa raha ? Nauliza kwa maana kwa mwanaume kuvunja hii kitu yataka ufundi.
   
 3. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Ahsante mzee wa Msuto Bishanga.

  Swali jengine-

  Inasemwa humu JF kwamba wewe ni mmoja wa warembo mwenye ndweo sana, Je unazungumziaje tuhuma hizo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Halafu kuna hili swali limetumwa na Kipipi kwa njia ya PM:

  Eti uliwahi kuwagonganisha wanaume humu JF ukitumia ID mbili tofauti, lakini ukajichanganya na kubainika, Je ilikuwa ni sadfa au kuna mtu alikwiba password yako?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Naye Erickb52 anauliza:

  Kuna tuhuma zilivuma mwaka 2004 wakati unasoma hapo shule ya Ngaramtoni kwamba uliwahi kuchoropoa mimba, Je hilo nalo walizungumziaje?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Bado nachambua jina la mgeni wa Zinduna Talk Show wiki ijayo, nitaliweka hapa baadae nikishapata muafaka (Wiki ijayo ni ME)
  Stay tune!
   
 7. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Zinduna, swali jingine hili hapa;

  Je anatumia kilevi? au ndio wale wanaosema public hawanywi, lakini kumbe ni wanywaji wazuri sana wa kisirisiri? Siku hizi kuna wadada wanavuta Sigara, Je na yeye ni mvutaji wa sigara?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Swali langu kwa Erotica: Hivi ulishawahi kula msuba? Na je, ni upi msimamo wako kuhusu msuba? Je uhalalishwe ili uliingizie Taifa mapato kupitia kodi?

  Asanteni.
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Swali jingine kwa Erotica: ukipata bahati ya kiss kutoka kwa Tanmo, je utataka akukiss wapi?
   
 10. G

  GTesha JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  alivunja ungo mwaka gani? na mpaka sasa ameshalala na wanaume wangapi?
   
 11. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nasikia kuna kaserengeti boy umekaweka kinyumba.....! Je! ni kweli?
   
 12. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Ndugu zangu wafuatiliaji wa kipindi hiki cha Zinduna Talk Show, naomba mvute subira mgeni wetu Erotica, ndio ameshawasili na sasa anaji[podoa kwa mapouda kabla hajauza sura.
  naomba uvumilivu wenu, lakini pia mnaweza ku-post maswali yenu, ushauri wenu au hata salaam zenu, na pia mkipenda kumsifia kwa akivazi alicho kivaa leo:
  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Mie nina swali moja tu kwa huyu mrembo wetu Erotica...Hivi ni mwanaume gani huku JF unayemzimia ambaye ukimuona tu mapigo ya moyo wako yanaenda mbio kama transfoma ya bwawa la mtera?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Eti ni kweli unamhusudu sana mh Dhaifu?
   
 15. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mamito Zinduna kwanza nikuombe samahani ya kuchelewa kipindi chako kama nilivo ahidi.

  nime upakoliwa na Sir God kwa kuwa na uja wepesi wa watoto mapacha.

  nina monin sickness alaf kila saa nina hamu. monin sicknes nisha dili nayo.

  hio ya ge*ye nitakuwa na dili nayo huku niko kipindi. mwaaaaaaaaaaah!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  hahahahaaa Young Master swali zuri sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Erotica nina maswali haya;
  1..Je ushatembea na midume mingapi hadi sasa?2.
  2..Je kwanini wa kwanza alikutema baada ya kukubikiri?
  3..Je unadhani ukukutana tena na hao uliowahi kusex nao hamtapiga game tena?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Unapokua kunako 6x6 , wakati unashughulikiwa inapofika anaekushuhulikia amekusugua Gspot kisawasawa, ukahemkwa hua unalia au unaongeaga lugha za kwenu?
   
 19. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa Judgement mbona mnaanza kutupandisha mori wakati bado asubuhi?
  Lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  haya tena leo mjengoni nipo na Mrembo wetu, honoy wetu, Loly Pop wetu Erotica. Mahojiano yangu na Erotica yatasawiri zaidi kwenye maisha yake binafsi, na maisha yake humu JF na pia kazi zake za mapema.

  Line za ku-post Comments ziko wazi, Mwana JF yeyote anaweza kutumia fursa hii kumuuliza Erotica swali lolote na yeye bila shaka atayajibu maswali yenu kwa kadiri atakavyopata muda.

  Kwa kuanza ninayo maswali kumi na tano ambayo ningependa kumuuliza Erotica:

  1. Je umezaliwa msimu gani, wa Kiangazi au Masika? Mawio au machweo?

  - Wazazi wangu walisema nilizaliwa wakati wa baridi. hio ilinipa
  jibu itakuwa walikuwa wana do kila mara inakuwaje Ero nipende saana?
  hapo nakuachia wewe mamito.

  2. Je Ulishawahi kucheza mchezo wa baba na mama na ule wa kujificha utotoni?

  Huu ni mchezo niliokuwa napenda kuliko yote. japokuwa nilikuwa mdogo lkn bado
  nilikuwa na akili ya kuchagua mwanaume ambae niliona anaweza nikosha. nilikuwa
  nikiona John, Jackson, Patel au Xuma hayupo nachagua nafasi ya mtoto.
  hao wakipewo basi lazima mm niwe mama or mchezo hauchezwi!

  3. Je umeolewa? Kama umeolewa, Je una watoto wangapi, na kama hujaolewa, ina maana huna hata Kavulana ka kukufiligisa siku moja moja ukinyegeka?

  Hivi hili swala la 3 ulifikiria vizuri mtangaziji?
  Siku nyingine fanya risechi ili tusiulizane maswali ya mitego hivi.
  zaid ni kwamba natarajia kuolewa. mara tu nitapo baini ni nani
  baba wa watoto hawa mapacha kati ya wa5 nililala nao huo mwezi.

  4. Unazungumziaje ndoa za siku hizi ukilinganisha na ndoa za zamani, namaanisha uwajibikaji kwa wanandoa, Je unadhani mahusiano ya ndoa kwa vijana wa leo yamejengwa katika misingi imara kama ndoa za mama/bibi zetu?

  Walioolewa waache uchoyo. waachie waume zao na sisi tusioolewa tuwe na pakuweka vivuli.
  wao tayari wana bahati wamewekwa kabisa kama wake zao. pliiiiiz acheni kutuchokoa
  chokoa jst in case tumebahatika kutembea na waume zenu.
  msiwe na was was watarudi. i promise. mwaaaaaah.

  5. Je umewahi kufanya mapenzi na mwanaume asiyetahiriwa?

  sina hakika mtangazaji. mara ya kwanza na mwisho kuiona nilizimia.
  nakumbuka tu nilipozinduka nilikuwa nimerudishwa nyumbani. hata kumpigia
  simu yule kaka kama alinifanya wakati nimezimia sikuwa na hio eneji.
  hivo sijui kama nimewahi au sijawahi.

   
Loading...