Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Kumbe ulipatia hapa

Buhahahahah

Basi tafuta Islami source ya sawa

ni si hawa MASHIA
Naam. Na nikatafuta kwenye Islamic sources (Al-Islam.org) ndipo nikapata hiki:

"....This 'marriage of mut'a' is referred to both in the hadith literature and, in much more detail, in the books on jurisprudence (fiqh).
the Qur'an itself refers to this kind of marriage employing a term derived from the same root. In the following verse, the word istimta', the tenth verbal form of the root m-t-', is translated as 'enjoy':

'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).

......."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama aliyeruhusu hayo yote ni Allah ambaye anafuatwa na waislamu.tatizo lako liko wapi?

Tatizo alla SIE ALLAH sababu ALLAH ALIKWISHA WEKA WAZI KWAMBA
IMG_20190121_124507_361.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam. Na nikatafuta kwenye Islamic sources (Al-Islam.org) ndipo nikapata hiki:

"....This 'marriage of mut'a' is referred to both in the hadith literature and, in much more detail, in the books on jurisprudence (fiqh).
the Qur'an itself refers to this kind of marriage employing a term derived from the same root. In the following verse, the word istimta', the tenth verbal form of the root m-t-', is translated as 'enjoy':

'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).

......."

Sasa kaka hapa ushahidi wa mut'ah katika aya hii uko wapi ? Embusoma mtiririko wa aya mpaka kufikia aya hii ya 4 katikia surat an-Nisaa.
 
Naam. Na nikatafuta kwenye Islamic sources (Al-Islam.org) ndipo nikapata hiki:

"....This 'marriage of mut'a' is referred to both in the hadith literature and, in much more detail, in the books on jurisprudence (fiqh).
the Qur'an itself refers to this kind of marriage employing a term derived from the same root. In the following verse, the word istimta', the tenth verbal form of the root m-t-', is translated as 'enjoy':

'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).

......."

Kaka nataka nikupe faida,ila kwa mtindo wa kukuuliza maswali. Kwanza kabisa hakuna shaka hii ndoa ya Mut'ah iliharamishwa kayika siku ya Khaybar,wadau wameleta dalili za kutosha juu ya hili.

Sasa je unajua masharti ya kukubalika ibada katika uislamu ?
 
naomba umsaidie kunukuu

Labda hajui pa kuanzia,maana ameona sehemu hiyo tu kwa Mashia,akaona amemaliza

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa huwa wasumbufu,tatizo hawasomi na kuna mjinga mmoja kazi yake ni kunukuu tarjama za Qur'an huku kuisoma kwenyewe hawezi,basi haishi kukosea na humu nimeshamuona anaitwa "Mgeni"

Huwa nawaambia wakitaka kusoma wasome kweli na wasijidai wanasoma.
 
Acha hizo Mkuu; ikiitwa ndoa inabaki kuwa ndoa. Kwani kuna ng'ombe sahihi na asie sahihi? Ama atakuwa ng'ombe au si ng'ombe. Hali kadhalika; ndoa au si ndoa.

Kaka jifunze kutoa mifano. Sasa unalinganisha vipi ibada na mnyama ?

Mnyama ni mnyama ameshaumbwa katika umbile lake,na ibada ina nguzo na masharti yake. Ibada ilikuja kwa sababu na baada ya sababu kuondoka ibada ikavunjwa.

Sasa huwezi ukatoa mfano wa ng'ombe isipokuwa ni mjinga.
 
Wewe si ndo yule unayejifanya Mfuasi wa Jehova wakati Jehova ameshasema wazi kwamba anachukizwa sana na Waongo?! Naona unafanya kazi ya kurukaruka tangu... narudia tena, weka hapa Aya ya Quran 4:24 yenye maneno ambayo wewe umeyasema kwamba ni from Quran... !!!

Halafu ona ulivyo hopeless... sasa hao Al Qaeda na Al Shabab ndio Quran? Ukiambiwa umeleta mada kwa ajili ya kukashifu dini unatuletea unafiki wako! Au unataka watu tuanze kulichambua hapa hilo dhehebu lako la Wasabato, ambalo tukianza hapa si ajabu hata Wakristo wenzako wakaanza kuwashushia makombora kwa kujifanya kwenu kujua na kuwaona wote ni watenda dhambi kasoro nyinyi?!

Anyway, don't worry siwezi kufanya hivyo kwa sababu, Quran 6:108 inasema:Lakini sio hivyo tu, bali naamini hapa JF wapo Wasabato wenye akili na busara ambao wanafanya staha kwa imani za wengine kwahiyo siwezi kuwakwaza wote hao kwa ajili mtu mmoja ambae anaenda kinyume hata na huyo Jehova anayedai anamfuata!!!

mkuu wewe ni Muumini au muislamu hebu sona ayat hii halafu kataa sio zinaa
IMG_20190121_132202_977.jpg

Ref ingekuwa zama huzo unamkuta mkeo Muumini anajipodoa! Unamueleza bibie kunani? Anakujibu naenda JITOA BURE KWA MTUME akirudi utapiga TAKBIR sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FAIDA NDOGO
kwenu wapinga ukweli

Allah aliposema
نسائكم حرث لكم،فأتوا حرثكم أنى شئتم
Kuna faida kuu mbili
1)Mola wetu alietukuka,amewafananisha wanawake na mfano wa shamba

Shamba hutoa matunda yenye manufaa kwa wanaadam,na ikiwa shamba halitoe matunda,basi hilo si shamba,bali ni pori/msitu/jangwa

2)Mola akutumie tena neno hili(أنى),kwakuwa Quraan imeshuka kwa lugha ya Kiarabu,Basi tuwaulize wenye lugha maana na matumizi ya neno hili(أنى)
Wasomi wa Lugha wanatoa moja ya maana zake ni كيف au كيفية

Tukiangalia mwanzo wa aya na mwisho wake
Tunafaidika kwa haya
Wake zetu,tunapaswa kuwaendea kwa style tunatoka,muda wa kuwa,sehemu tunayoingia,pawe na matunda na faida
na Mtt ni tunda kwako na faida kwa wote

swali
Sehemu ya nyuma
Kuna weza kweli kuwa na faida,na kututolewa matunda mazuri?!!

au ni uchafu tuu

Kabla ya aya hii
Tazama aya ya juu yake

Allah anasema

( ويسألونك عن المحيض قل هو أذى فاعتزلوا النساء في المحيض ولا تقربوهن حتى يطهرن فإذا تطهرن فأتوهن من حيث أمركم الله إن الله يحب التوابين ويحب المتطهرين ( 222 )
Na wanakuuliza kuhusu Hedhi(mwanamke anapokuwa siku zake)Sema kwa kuwaambia,ni uchafu,na jiepusheni na wanawake wanapokuwa siku zao,na wala msiwakurubie mpaka watakapotakasika,na pindi wakitakasika,basi waendeeni pale mlipoamrishwa na Mola wenu,Hakika ya Allah anawapenda wenye kutubia(kuomba msamaha)na anawapenda wale wenye kujitakasa(na mambo machafu)

Tumeamrishwa tuwaendee wake zetu,pale tulipoamrishwa
na tumeamrishwa,tuwaendee pale panapotoa faida na matunda,
nayo ni sehemu ya mbele ya mwanamke

Na Mtume wetu sala na salamu ziwe juu yake anasema

وهو في صحيح الجامع 5865 بل إن النبي صلى الله عليه وسلم قال : " من أتى حائضا أو امرأة في دبرها أو كاهنا فقد كفر بما أنزل على محمد "
Yeyote mwenye kumuendea mwenye hedhi au mwanamke kinyume na maumbile au akamuendea mpiga ramli(mshirikina)Basi hakika amekufuru yale aliyoteremshiwa Mohammad sala na salamu ziwe juu yake

akasema tena

ملعون من أتى امرأة في دبرها " رواه الإمام أحمد 2/479
amelaaniwa mwenye kumuendea mke wake kinyume na maumbile

Kiujumla

Kufanya kitendo cha kumuendea mkeo kinyume na maumbile,ni tendo la laana na hufaaa kukemewa vibaya sana

Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOL! Mimi msabato???!!!
Mstari huo nimeuleta umpteenth times, unajifanya huoni. Nimekuambia hivi: hiyo trick yako ya kupotezea sio ngeni (na nilitoa mifano ya majina ya watu wanaoitumia - hadi nikapost video clip ya mmojawapo akifanya PRECISELY the same thing).

Tafuta mbinu nyingine (au kaitumie kwa watu ambao sio informed) hiyo kwangu imeshindwa kabla hata haijanza.

USHAURI WA BURE: Ukiona unakuwa embarrassed na facts zinazohusisha unachokiamini na unaona kabisa facts zilizopo zinapingana na common sense NI MUDA WA KUANZA KUTATHMINI UPYA HICHO UNACHOKIAMINI.
Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom