Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Aliye ruhusu kuwaingilia wake zako ni ALLAH na aliyerusu kuwaingilia UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI allah hapo KUNA HOJA KWA WAUMINI WA ALLAH ILAHA KWA WAUMINI WA allah yote ruksa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama aliyeruhusu hayo yote ni Allah ambaye anafuatwa na waislamu.tatizo lako liko wapi?
 
Waraka wa Mtume Paulo kupitia Wakolasi 3:22-25 huu hapa😛aulo huyo ambae alikuwepo wakati wa Yesu anawaambia Watumwa wawatitii mabwana zao KATIKA MAMBO YOTE!

😀Hadi sasa nashindwa kuelewa unachojaribu kukiandika. Kwa logic yako hapa ni kuwa hata Paul alihalalisha mtu kuwaangilia watumwa, right?
Well, nakuongezea references: Tafuta kwenye agano la kale utakuta Abraham alilala na mjakazi wake Hajir - kwa kibali cha mke wake Sarah- na wakamzaa Ishmael, Jacob alizaa na vijakazi wa wake zake wawili, David alilala na mke wa mtu etc etc.

Sasa kubali tu kuwa kilichoongelewa hapa kuhusu zinaa katika uislamu ni sahihi 110%.
 
Chiefs
Mfiakweli,Mgen na Luten

Tunaomba tuwe na ustaarabu wa kushika jambo moja mpaka mwisho

kisha
tuje jambo la Pili

MADA ILIYOPO MEZANI
ni ndoa ya MUT-AA
Chief Mfiakweli,amekubali kumalizika kishingo upande

sasa sijui amekuja na mada gani?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chiefs
Mfiakweli,Mgen na Luten

Tunaomba tuwe na ustaarabu wa kushika jambo moja mpaka mwisho

kisha
tuje jambo la Pili

MADA ILIYOPO MEZANI
ni ndoa ya MUT-AA
Chief Mfiakweli,amekubali kumalizika kishingo upande

sasa sijui amekuja na mada gani?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mgeni badala ya kuleta hoja analeta mapicha , halafu atulii sehemu moja
 
Hawa ni vijakazi wanaopatikana baada ya vita , hakuna zinaa kwenye hilo , labda utuambie Yakobo kwa kuzaa na vijakazi wake nae kavunja amri ya ngap?

Kula umma umma wamejaliwa kawaida yao ya Ibada na sheria zao
IMG_20190121_112633_060.jpg
dhahir eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisha
tunawaomba nyie jamaa
Muwe wastaarabu katika kujadili mambo ya Dini
Tuwe na Adabu

Kama tupo kupotosha jamii,basi tujiandalie makazi motoni
na kama tupo kuelimishana,Busara itume na adabu baina yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom