Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Haina haja Chief

Mtume wa Allah Sala na Salamu ziwe juu yake,ameiharamisha ndoa hii chafu,kwasababu ya uharibu wake mkubwa na madhara kwa jamii

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeomba nione palipoharamisha. Na ndugu yangu Safuha kaandika hapo kabla kuwa nikah mut'ah bado inatumika na Mashiah ILA KWAKE YEYE HAIFAI. Ikimaanisha haijakatazwa ila SI LAZIMA kila muislamu aifanye lakini aifanyae SI DHAMBI.
 
angalia
Mtume wa Allah anasema

إني كنت أذنت في الاستمتاع من النساء وإن الله قد حرم ذلك إلى يوم القيامة

Hakika ya mimi,niliwaruhusu kustarehe na Wanawake(Mut-aa),na Hakika ya Allah ameliharamisha hilo mpaka siku ya Mwisho(Qiyama)

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni Sura na aya ipi?
 
Dhambi Chief

Ndoa ya Mut-aa
Imeharamishwa kisheria

Narudia tena

Imeharamishwa
kwasababu ya Uharibifu katka jamii
Nimeomba nione palipoharamisha. Na ndugu yangu Safuha kaandika hapo kabla kuwa nikah mut'ah bado inatumika na Mashiah ILA KWAKE YEYE HAIFAI. Ikimaanisha haijakatazwa ila SI LAZIMA kila muislamu aifanye lakini aifanyae SI DHAMBI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma tafsiri nilizopewa za zinaa zinapingana na baadhi ya mambo yaliyoruhusiwa kwenye maandiko. Lengo ni kutaka kuelimika maana si kweli kuwa najua kila kitu. Naweza kusoma kitu nikakielewa vibaya; that's why nauliza.
Kuna ubaya?
Nijuavyo zinaa ni kitendo cha mwanamke na mwanaume kuingiziana tupu zao bila ya kua wamefunga ndoa, nadhani tafsiri hii inaenda kwenye dini zote ingawa imefika mbali zaidi pale unapomtamani mke wa mwenzio basi umezini, ndio maana kwenye amri 10 kuna moja tumeambiwa tusitamani wake za watu.

Je kuna tafsiri nyingine zaidi ya hizo ulizopewa?

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Wewe unachopinga kitu gani hasa katika maneno yangu?

Mimi nimezungumza kwa mujibu wa hiyo kauli ya imamu al bikhaariy العلم قبل القول وعمل

Sasa wewe ndo uniambie kwamba katika niliyosema yapo ambayo sio sahihi kwa sababu kadhaa na kadhaa sio unaniambia tuu nikae nisome akhy mkarimu.
Tujadiliane kwa uzuri tuu ndugu
Isome tena comment yangu.
Kwa maoni yako wewe??
HII NI DINI AKHY
 
Dhambi Chief

Ndoa ya Mut-aa
Imeharamishwa kisheria

Narudia tena

Imeharamishwa
kwasababu ya Uharibifu katka jamii

Sent using Jamii Forums mobile app

Bila kuonyesha aya iliyoharamisha (au hadith hata kama ni dhaifu) haya yatabaki kuwa maoni yako. Na kama umefika hapo ondoka kwenye uislamu maana unaona haufai.
 
Nijuavyo zinaa ni kitendo cha mwanamke na mwanaume kuingiziana tupu zao bila ya kua wamefunga ndoa, nadhani tafsiri hii inaenda kwenye dini zote ingawa imefika mbali zaidi pale unapomtamani mke wa mwenzio basi umezini, ndio maana kwenye amri 10 kuna moja tumeambiwa tusitamani wake za watu.

Je kuna tafsiri nyingine zaidi ya hizo ulizopewa?

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.

Hakuna; ila shida ipo kwenye tafsiri ya ndoa. Kuna ndoa nyingine (nikah mut'ah) ni automatically uzinzi - at least kwenye Ukristo.
 
Kwenye uislam kuna dhehebu la Shia na Suni na wengine sifahamu, sasa hawa Shia wana historia yao ndefu mno pia ni mahasimu wa Suni katika aina ya kuabudu, aina ya kimapokeo ya vitabu n.k,
Yaani kama kwenye Ukristo wakutane Waroma na Wasabato/Walokole,

Aina hiyo ya ndoa inafanywa na dhehebu la Shia peke yake hakuna dhehebu lingine la kiislam linafanya hivyo kwa hiyo inabidi uwaelewe mashia ni wa aina gani ndio utaweza kuargue na hao wengine ndio maana hapa mnakua hamuelewani, dhehebu la shia linatoka Iran kibongo bongo waswahili wachache sana ni Mashia.

Unaweza pia kumuuliza mr. wikipedia akakupa ufafanuzi murua kuhusu hiyo ndoa ya Mut'ah.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Asante sana. Naomba tafsiri ya mtu halali (wa kufanya nae ngono kihalali) na tafsiri ya ndoa kwa mwanaume wa Kiislamu.

Ndoa ni mkataba wa kuishi pamoja kati ya mume na mke kwa kufuata utaratibu uliowekwa na jamii. Ndoa ya Kiislamu (Nikah) ni mkataba (Aqd) wa hiari kati ya mume na mke wa kuishi pamoja kwa wema na upendo kufuatana na masharti na taratibu zilizowekwa na sheria ya Kiislamu.
 
Kwenye uislam kuna dhehebu la Shia na Suni na wengine sifahamu, sasa hawa Shia wana historia yao ndefu mno pia ni mahasimu wa Suni katika aina ya kuabudu, aina ya kimapokeo ya vitabu n.k,
Yaani kama kwenye Ukristo wakutane Waroma na Wasabato/Walokole,

Aina hiyo ya ndoa inafanywa na dhehebu la Shia peke yake hakuna dhehebu lingine la kiislam linafanya hivyo kwa hiyo inabidi uwaelewe mashia ni wa aina gani ndio utaweza kuargue na hao wengine ndio maana hapa mnakua hamuelewani, dhehebu la shia linatoka Iran kibongo bongo waswahili wachache sana ni Mashia.

Unaweza pia kumuuliza mr. wikipedia akakupa ufafanuzi murua kuhusu hiyo ndoa ya Mut'ah.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.

Naelewa sana kuhusu Sunni na Shia. Tatizo ni kuwa hiyo concept ya nikah mut'ah ilianza wakati wa mtume. Hakukuwa na mgawanyiko wa Ushiah na Usunni wakati huo. Kwa hiyo maelezo yako mazuri uliyoyatoa hapa yana maana moja:
Ama ndoa ya muda ni halali (kwa kuwa hakuna aya inayokataza) au ni haram (kama kuna aya inayokataza).
Na kwa kuwa Shiah hawaamini sana katika hadith bali aya za Qur'an tu basi nikah mut'ah bado ni halali.
Kuikataa ni kuikana Qur'an.
 
Ndoa ni mkataba wa kuishi pamoja kati ya mume na mke kwa kufuata utaratibu uliowekwa na jamii. Ndoa ya Kiislamu (Nikah) ni mkataba (Aqd) wa hiari kati ya mume na mke wa kuishi pamoja kwa wema na upendo kufuatana na masharti na taratibu zilizowekwa na sheria ya Kiislamu.

Hallelujah! Umewathibitishia wanaopinga hapa kuwa nikah mut'ah si ndoa katika uislamu na kuiita uzinifu ni kuwa wamekubaliana na tafsiri ya uzinzi Kikristo.
 
Back
Top Bottom