Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

wewe unaweza ukamuingilia mjakazi na ukaona ni agizo la Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu wewe ni Muumini au muislamu hebu sona ayat hii halafu kataa sio zinaa View attachment 1001038
Ref ingekuwa zama huzo unamkuta mkeo Muumini anajipodoa! Unamueleza bibie kunani? Anakujibu naenda JITOA BURE KWA MTUME akirudi utapiga TAKBIR sio

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe ni moja ya watu ambao nimewadharau sana tena sana hapa JF, na nimekudharau kitambo tu, and I know you know it!

Nimekudharau kwa sababu wewe mijadala yako sio ya kutaka kuelimishana bali ni kukashifiana!! You sound kama bwana mmoja anayejiita MaxShimba ambae hapa JF alikurupushwa miaka ya nyuma baada ya kuibuliwa kashifa yake ya utapeli!!

Which means, nikitaka kujadiliana na wewe ina maana na mimi itabidi nianze kukashifu Ukristo na kitabu chao! And trust me, I know Bible pengine kuliko unavyoijua kama unaijua basi manake wewe kila siku hapa ni reference yako ni Quran!

Lakini kwa bahati mbaya sana, huwezi kunikuta nakashifu imani za watu na vitabu vyao, never ever unless niwe provoked jambo ambalo ndilo unafanya! Siwezi kukashifu Ukristo na kitabu chao kwa sababu nafahamu miongoni mwa Wakristo, kuna wengine waungwana wanaoheshimu imani za wengine na katu hutawaona wakifanya unayofanya wewe!!

Kwa heshima ya watu kama hao, usitarajie kwamba itatokea siku nika-argue na wewe ambae huna lolote la maana zaidi ya kashifa... sijui unamtumikia Mungu na Yesu Kristo yupi manake kwa huyu tunayemjua wengine, am sure wewe ni mmoja wa wakosefu wakubwa mbele yao hata kama unajidai Ukristo!

Nakumbuka nilishawahi kukuambia siku za nyuma suala hili, na kama ulisahau, naomba nikukumbuse! Ndugu, I don't have time to argue with you! I don't have time kwa sababu, mosi, mie sio mfuasi wa mijadala ya kidini lakini hata ninapoamua kujadili, huwa napenda kujadili kwa staha na heshima kwa imani za wengine!

Hapa JF wapo watu wengi sana Wakristo kwa Waislamu wanaopenda kukashifu imani za wenzao... look for them but not me, kwa sababu sie kwetu tumejifunza kuwa waungwana wa kuheshimu imani za watu!

Hata ukiangalia mjadala wangu, kuna sehemu zingine Mfiaukweli nimemtolea maneno ya kukera lakini maneno hayo niliyalenga kwake yeye binafsi na sio kwenye Ukristo wake wala Biblia yake!

Labda nikuulize jambo moja: Tangu uanze kukashifu Uislamu (nimekuona muda mrefu sana), ni faida zipi za kiroho ambazo umeshazipata kupitia hizo kashifa?!

Stay blessed!!!
 
Kwani kumetajwa na mke wa mtu hapo Chief?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu rudia ayat NA KILA MWANAMKE MUISILAMU hii kauli hayamuhusu mkeo kama sio MUISILAMU ilaha kama mkeo ni MUISILAMU akisukumwa na mahaba niue ana HAQI ya kwenda kujitoa bureee kwa mtume dhahir eeh tutawafundisha hadi mtaelewa ukitakaabar napo kwa hasara yako ilaha Ujumbe umefika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kila mwanamke muislam

Hili nalisikia kwako Chief
au ndio maana yake hiyo uliyofundishwa?!

au
ulisikia Mtume wa Allah alifatwa na Mke wa mtu kwa ajili ya kumuoa?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo zote ni tafsiri. Naomba aya ambayo tafsiri hizo zinahusika nayo.
Duh! We jamaa unachekesha kweli! Hivi nilivyokuambia tafsiri wewe umeelewaje?!
Hivi wewe unaposoma Bible unatumia Kihebrania au tafsiri?! Anyway, aya yenyewe ni hii hapa:

وَالْمُحْصَنَاتُ مِنَ النِّسَاءِ إِلَّا مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ ۖ كِتَابَ اللَّهِ عَلَيْكُمْ ۚ وَأُحِلَّ لَكُمْ مَا وَرَاءَ ذَٰلِكُمْ أَنْ تَبْتَغُوا بِأَمْوَالِكُمْ مُحْصِنِينَ غَيْرَ مُسَافِحِينَ ۚ فَمَا اسْتَمْتَعْتُمْ بِهِ مِنْهُنَّ فَآتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً ۚ وَلَا جُنَاحَ عَلَيْكُمْ فِيمَا تَرَاضَيْتُمْ بِهِ مِنْ بَعْدِ الْفَرِيضَةِ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلِيمًا حَكِيمًا

Haya, zamu yako sasa...
 
mkuu wewe ni Muumini au muislamu hebu sona ayat hii halafu kataa sio zinaa View attachment 1001038
Ref ingekuwa zama huzo unamkuta mkeo Muumini anajipodoa! Unamueleza bibie kunani? Anakujibu naenda JITOA BURE KWA MTUME akirudi utapiga TAKBIR sio

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo lisingekuwepo sababu,hilo ni kwa ajili ya waumini wa kike ambao hawana mume,na hili liliwahi kumtokea myume alifatwa na mwanamke ambae hana mume,na kumuelezea shida yake,lakini mtume hakuvutiwa nae akaolewa na muumini mwingine.

Kwahiyo hata kama ukiwa unanukuu tarjama za Qur'aan uwe unaelewa kidogo au kufikiria,sababu kukurupuka kwako kuna kufanya uzidi kukosea na hujawahi kuipatia aya hata moja kimaana.

Tuliza kichwa,hiki kina kirefu lazima ufe humo.
 
Sasa ndio ujiulize kwa nini allah afute kwa kipunjo Amri ya.7 lat qarab zina View attachment 1001012 Aliye Tukaririsha hadi Tusisahau Amri zake ni Mungu Mwenyewe kupitia DHAMIRA NJEMA Aliyo Tuumbia ndani Yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisaaaaaaa kama ambavyo hili neno lake halijapita, ila ni uroho wako tu
WALAWI 11:7-8
7",Na nguruwe , kwa sababu yeye anazo kwato, ni Mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui , yeye ni najisi kwenu,
8"; Msiile nyama yao,wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu";

au hili neno la nguruwe limepita ndugu? hili litakua limepita maana unakula sana nguruwe wewe
 
Waendewni fidubur mbele quburiha nyuma. Yaani allah ameruhusu watu wawe wanasodomiana ndio maana wengine wana mu question ni Mungu kweli?
Mfiaukweli nakushukuru kwa hoja hii nzito. Unzinzi katika ulimwengu wa kiislamu ni mkubwa sana
Allah ameiangamiza sodoma halafu tena leo awe ameruhusu jambo alilowaangamiza watu !! acha kupaniki kijana
 
Yaani wewe ni moja ya watu ambao nimewadharau sana tena sana hapa JF, na nimekudharau kitambo tu, and I know you know it!

Nimekudharau kwa sababu wewe mijadala yako sio ya kutaka kuelimishana bali ni kukashifiana!! You sound kama bwana mmoja anayejiita MaxShimba ambae hapa JF alikurupushwa miaka ya nyuma baada ya kuibuliwa kashifa yake ya utapeli!!

Which means, nikitaka kujadiliana na wewe ina maana na mimi itabidi nianze kukashifu Ukristo na kitabu chao! And trust me, I know Bible pengine kuliko unavyoijua kama unaijua basi manake wewe kila siku hapa ni reference yako ni Quran!

Lakini kwa bahati mbaya sana, huwezi kunikuta nakashifu imani za watu na vitabu vyao, never ever unless niwe provoked jambo ambalo ndilo unafanya! Siwezi kukashifu Ukristo na kitabu chao kwa sababu nafahamu miongoni mwa Wakristo, kuna wengine waungwana wanaoheshimu imani za wengine na katu hutawaona wakifanya unayofanya wewe!!

Kwa heshima ya watu kama hao, usitarajie kwamba itatokea siku nika-argue na wewe ambae huna lolote la maana zaidi ya kashifa... sijui unamtumikia Mungu na Yesu Kristo yupi manake kwa huyu tunayemjua wengine, am sure wewe ni mmoja wa wakosefu wakubwa mbele yao hata kama unajidai Ukristo!

Nakumbuka nilishawahi kukuambia siku za nyuma suala hili, na kama ulisahau, naomba nikukumbuse! Ndugu, I don't have time to argue with you! I don't have time kwa sababu, mosi, mie sio mfuasi wa mijadala ya kidini lakini hata ninapoamua kujadili, huwa napenda kujadili kwa staha na heshima kwa imani za wengine!

Hapa JF wapo watu wengi sana Wakristo kwa Waislamu wanaopenda kukashifu imani za wenzao... look for them but not me, kwa sababu sie kwetu tumejifunza kuwa waungwana wa kuheshimu imani za watu!

Hata ukiangalia mjadala wangu, kuna sehemu zingine Mfiaukweli nimemtolea maneno ya kukera lakini maneno hayo niliyalenga kwake yeye binafsi na sio kwenye Ukristo wake wala Biblia yake!

Labda nikuulize jambo moja: Tangu uanze kukashifu Uislamu (nimekuona muda mrefu sana), ni faida zipi za kiroho ambazo umeshazipata kupitia hizo kashifa?!

Stay blessed!!!

Yaani wewe ni moja ya watu ambao nimewadharau sana tena sana hapa JF, na nimekudharau kitambo tu, and I know you know it!

Nimekudharau kwa sababu wewe mijadala yako sio ya kutaka kuelimishana bali ni kukashifiana!! You sound kama bwana mmoja anayejiita MaxShimba ambae hapa JF alikurupushwa miaka ya nyuma baada ya kuibuliwa kashifa yake ya utapeli!!

Which means, nikitaka kujadiliana na wewe ina maana na mimi itabidi nianze kukashifu Ukristo na kitabu chao! And trust me, I know Bible pengine kuliko unavyoijua kama unaijua basi manake wewe kila siku hapa ni reference yako ni Quran!

Lakini kwa bahati mbaya sana, huwezi kunikuta nakashifu imani za watu na vitabu vyao, never ever unless niwe provoked jambo ambalo ndilo unafanya! Siwezi kukashifu Ukristo na kitabu chao kwa sababu nafahamu miongoni mwa Wakristo, kuna wengine waungwana wanaoheshimu imani za wengine na katu hutawaona wakifanya unayofanya wewe!!

Kwa heshima ya watu kama hao, usitarajie kwamba itatokea siku nika-argue na wewe ambae huna lolote la maana zaidi ya kashifa... sijui unamtumikia Mungu na Yesu Kristo yupi manake kwa huyu tunayemjua wengine, am sure wewe ni mmoja wa wakosefu wakubwa mbele yao hata kama unajidai Ukristo!

Nakumbuka nilishawahi kukuambia siku za nyuma suala hili, na kama ulisahau, naomba nikukumbuse! Ndugu, I don't have time to argue with you! I don't have time kwa sababu, mosi, mie sio mfuasi wa mijadala ya kidini lakini hata ninapoamua kujadili, huwa napenda kujadili kwa staha na heshima kwa imani za wengine!

Hapa JF wapo watu wengi sana Wakristo kwa Waislamu wanaopenda kukashifu imani za wenzao... look for them but not me, kwa sababu sie kwetu tumejifunza kuwa waungwana wa kuheshimu imani za watu!

Hata ukiangalia mjadala wangu, kuna sehemu zingine Mfiaukweli nimemtolea maneno ya kukera lakini maneno hayo niliyalenga kwake yeye binafsi na sio kwenye Ukristo wake wala Biblia yake!

Labda nikuulize jambo moja: Tangu uanze kukashifu Uislamu (nimekuona muda mrefu sana), ni faida zipi za kiroho ambazo umeshazipata kupitia hizo kashifa?!

Stay blessed!!!

Amen I stay blessed kwa taarifa tu Mimi sijakashifu deen ya MTU ila nanukuu kwenye Vitabu vya deen/Imani na kuuliza ima kujenga hoja bro! Hakuna haja ya kujaa povu ila tuvumiliane kiimani kama Mungu wangu Yesu alivyo agiza View attachment 1001075 licha ya nyinyi ndugu zetu katika Adam mnaposema
IMG_20190121_150553_800.jpg
. Hakuna Hata anaye wafunya Mimi katika kulingania deen/Imani Kigezo changu ñi Yesu tu

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Amen I stay blessed kwa taarifa tu Mimi sijakashifu deen ya MTU ila nanukuu kwenye Vitabu vya deen/Imani na kuuliza ima kujenga hoja bro! Hakuna haja ya kujaa povu ila tuvumiliane kiimani kama Mungu wangu Yesu alivyo agiza View attachment 1001075 licha ya nyinyi ndugu zetu katika Adam mnaposema View attachment 1001106. Hakuna Hata anaye wafunya Mimi katika kulingania deen/Imani Kigezo changu ñi Yesu tu

Sasa unakataa kwamba Yesu aendi chooni au unapinga kipi?
 
Mbona aya ipo dhidi yako

Issa mwana wa Maryam,ni Mtume tu wa Mola wetu

wala si Mungu na wala hafanani na hilo

Amen I stay blessed kwa taarifa tu Mimi sijakashifu deen ya MTU ila nanukuu kwenye Vitabu vya deen/Imani na kuuliza ima kujenga hoja bro! Hakuna haja ya kujaa povu ila tuvumiliane kiimani kama Mungu wangu Yesu alivyo agiza View attachment 1001075 licha ya nyinyi ndugu zetu katika Adam mnaposema View attachment 1001106. Hakuna Hata anaye wafunya Mimi katika kulingania deen/Imani Kigezo changu ñi Yesu tu

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amechanganya hakuna tabu, ruksa imetoka kama Ibrahim alipewa ruhusa na mkewe ampande kijakazi , vip ushangae ruksa ya Mungu , labda utuambie Ibrahim alizini na kijakazi wake?

Kumbe kwa Ibrahim kibali kimetoka kwa Mkewe sio Mungu ndio sababu Mungu alimkemea na kumbadilishia jina
IMG_20190121_153920_450.jpg

Back
Top Bottom