Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Mbona aya ipo dhidi yako

Issa mwana wa Maryam,ni Mtume tu wa Mola wetu

wala si Mungu na wala hafanani na hilo



Sent using Jamii Forums mobile app

Yesu ni MUNGU KAMILI
IMG_20190121_155723_956.jpg
na ni MWANADAMU KAMILI
IMG_20190121_160007_638.jpg
UWEZO WA KUWA KIHIVYO MUNGU WANGU ANAO ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI sasa Mungu wako kama uwezo huo hana na ana washauri kwamba hili unaweza na hili huwezi sawa na hayanihusu, endelea kumsujudia mkuu ruksa

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Amen I stay blessed kwa taarifa tu Mimi sijakashifu deen ya MTU ila nanukuu kwenye Vitabu vya deen/Imani na kuuliza ima kujenga hoja bro! Hakuna haja ya kujaa povu ila tuvumiliane kiimani kama Mungu wangu Yesu alivyo agiza View attachment 1001075 licha ya nyinyi ndugu zetu katika Adam mnaposema View attachment 1001106. Hakuna Hata anaye wafunya Mimi katika kulingania deen/Imani Kigezo changu ñi Yesu tu

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
STAY BLESSED and consider yourself ignored!
 
Yesu ni MUNGU KAMILI View attachment 1001139 na ni MWANADAMU KAMILI View attachment 1001145 UWEZO WA KUWA KIHIVYO MUNGU WANGU ANAO ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI sasa Mungu wako kama uwezo huo hana na ana washauri kwamba hili unaweza na hili huwezi sawa na hayanihusu, endelea kumsujudia mkuu ruksa

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Wap Yesu alisema yeye ni Mungu au alimiambia mumuabudu? mbona unamsemea Yesu wakati alifundisha na aliishi hapa duniani
 
Acha vituko sababu ya kubadilishwa jina ni kuwa baba wa mataifa au kupewa ruhusa na mkewe kumuingilia kijakazi? acha usungura hapa

Jiulize hadi Mungu Anamwambia uende mbele yangu ukawe Mkamilifu jee ni ukamilifu badala ya kumuomba Mungu Akupe mtoto unasikiliza ushauri wa mkeo baada ya Toba Ndipo Mungu Akambadilisha jina na kumfadhiria kwa Baraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshenzi wewe,nia yako ni kukashifu mjaa laana wewe.
uislamu una njia kuu mbili za mafundisho.
1.Qurani.
2.Hadithi(mwenendo/utaratibu/vitendo/maneno aliyosema Mtume Muhammad SAW).

Sasa wewe unaambiwa hiyo ni hadithi ya mtume wewe hutaki kukubali na unadai aya.
Wewe si muislami na huujui uislamu,unafundishwa na waislamu wenyewe unakataa,maana yake ni nini kama siyo kukashifu ?
Ulianza vizuri sana hapo mwanzo kwa kuuliza swali ambalo ni la msingi sana watu kufahamu na nadhani wengi walikuwa hawafahamu.
Unaquote aya fupi ili kuleta maana unayoitaka wewe.
Naomba Allah akulaani na akuingize motoni,
panya wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
panya? Sasa Nawewe unaemuita mwenzako panya Allah atakupeleka wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo anamaanisha mafundisho anayoyatoa ni ujumbe tosha kuwa yeye ametoka kwa Mungu , wewe unaleta ujanja ujanja
MARKO 10:18
"; Yesu akamwambia, kwa nini kuniita mwema? hakuna aliye mwema ila mmoja ,ndiye Mungu";

sasa kama Yesu anasema yeye sio mwema , na anakiri kuwa Mungu pekee ndio mwema hauoni aibu kuokoteza
 
Jiulize hadi Mungu Anamwambia uende mbele yangu ukawe Mkamilifu jee ni ukamilifu badala ya kumuomba Mungu Akupe mtoto unasikiliza ushauri wa mkeo baada ya Toba Ndipo Mungu Akambadilisha jina na kumfadhiria kwa Baraka

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejiuliza na nimesoma kuwa hakuna mahali popote Mungu alimkemea Ibrahim kuzaa na mjakazi, tena kuonyesha mapenzi na mtoto yule jina likatoka kwa malaika wa bwana , hoja yako ni DHAIFU sana
 
Hilo lisingekuwepo sababu,hilo ni kwa ajili ya waumini wa kike ambao hawana mume,na hili liliwahi kumtokea myume alifatwa na mwanamke ambae hana mume,na kumuelezea shida yake,lakini mtume hakuvutiwa nae akaolewa na muumini mwingine.

Kwahiyo hata kama ukiwa unanukuu tarjama za Qur'aan uwe unaelewa kidogo au kufikiria,sababu kukurupuka kwako kuna kufanya uzidi kukosea na hujawahi kuipatia aya hata moja kimaana.

Tuliza kichwa,hiki kina kirefu lazima ufe humo.

Usijifiche huko bro na kuitia quran ugumu, hali allah anamuagiza mjumbe wake kuwa KILA MWANAMKE MUISILAMU RUKSA...wewe unambishia kwa kipunjo wakati allah amesha bainisha wepesi wa quran
IMG_20190121_164240_699.jpg
wee umebakia ni nzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kakufundisha nani ulicho ANDIKA Hata muhammad aliwaagiza WAUMINI wake View attachment 1001201 au wewe huhusiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo aya mbona iko sawa, sasa kama picha zinafungua watu si ni kweli kuna picha kibao za Yesu akiwa kavaa kikaptula au vinguo vya watoto, nyingine kavaa sijui ni taulo pale msalabani, hizi picha ajachora muislamu hivyo , kwa vile mmechora wenyewe maana yake mnazipenda, mimi nimekukumbusha unachopenda kuona na kuchora
 
Ni kweli kabisaaaaaaa kama ambavyo hili neno lake halijapita, ila ni uroho wako tu
WALAWI 11:7-8
7",Na nguruwe , kwa sababu yeye anazo kwato, ni Mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui , yeye ni najisi kwenu,
8"; Msiile nyama yao,wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu";

au hili neno la nguruwe limepita ndugu? hili litakua limepita maana unakula sana nguruwe wewe

Halija pita hadi Leo alio waagiza hawali wala kugusa mzoga wake
IMG_20190121_173035_250.jpg
IMG_20190121_173147_370.jpg
ila kuna kiumbe alimbishia Mungu na karuhusu nyama ya nguruwe iliwe mpaka mzoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom