Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Kwasababu ya kuhemuka na kutukana inatosha muache hii hoja.
Katika karne hii wasio waislamu wanasoma sana vitabu vyenu na inabidi kwanza usikurupuke kama huna ilimu kubwa.
Kunyamaza kimya nayo ni hikma.
Mtoa post namshukuru sana licha kwamba hakuna aliemwelewa kwasababu ya ukubwa na uzito wa Hoja hasa ukitizama hoja ya ndoa za Mut’ah
Na zinafanyika sana kipindi cha hija.
Anyway those who were following us ,i hope they leaned something here
 
Mbona wajipongeza mwenyewe bada ya kupongezwa na wengine!!!!!

ajabu sana

Sisi
tumetaka hoja kutoka kwenu kwa kile mlichokileta

mwisho wa yote
mnaaza kujipongeza wenyewe

Au

SIZITAKI MBICHI HIZI!!!!!
Kwasababu ya kuhemuka na kutukana inatosha muache hii hoja.
Katika karne hii wasio waislamu wanasoma sana vitabu vyenu na inabidi kwanza usikurupuke kama huna ilimu kubwa.
Kunyamaza kimya nayo ni hikma.
Mtoa post namshukuru sana licha kwamba hakuna aliemwelewa kwasababu ya ukubwa na uzito wa Hoja hasa ukitizama hoja ya ndoa za Mut’ah
Na zinafanyika sana kipindi cha hija.
Anyway those who were following us ,i hope they leaned something here

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok
hao wanaokufuateni nyie,wana akili zao,
sisi tumetaka mthibitishe madai yenu,lkn mnatuletea maneno ya wa barabarani

Thibitisha
Hoja kwa Hoja
Haki ni moja tu,haiwi mbili

Thibitisha

Dalili hupingwa kwa dalili,na si maneno ya mtu

Sisi tunataka dalili

Kwasababu ya kuhemuka na kutukana inatosha muache hii hoja.
Katika karne hii wasio waislamu wanasoma sana vitabu vyenu na inabidi kwanza usikurupuke kama huna ilimu kubwa.
Kunyamaza kimya nayo ni hikma.
Mtoa post namshukuru sana licha kwamba hakuna aliemwelewa kwasababu ya ukubwa na uzito wa Hoja hasa ukitizama hoja ya ndoa za Mut’ah
Na zinafanyika sana kipindi cha hija.
Anyway those who were following us ,i hope they leaned something here

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kisha jaribu/jitahidi kuwa mkweli,hata kidogo

ni nane anaeleta kashfa na matusi humu kama sio nyinyi?!!!!!

au matusi yenu yameandikwa kwa dhahabu na yetu yameandikwa kwa tope la chooni?!!!

Mbona hamna busara hata ya kuazima?!!!

Ukristo wenu hasa ni upi?!

Jitathmini Mkuu kabla ya kuthminiwa
Kwasababu ya kuhemuka na kutukana inatosha muache hii hoja.
Katika karne hii wasio waislamu wanasoma sana vitabu vyenu na inabidi kwanza usikurupuke kama huna ilimu kubwa.
Kunyamaza kimya nayo ni hikma.
Mtoa post namshukuru sana licha kwamba hakuna aliemwelewa kwasababu ya ukubwa na uzito wa Hoja hasa ukitizama hoja ya ndoa za Mut’ah
Na zinafanyika sana kipindi cha hija.
Anyway those who were following us ,i hope they leaned something here

Sent using Jamii Forums mobile app
 
نساؤكم حرث لكم

“Wake zenu ni konde zenu…” (Abu Daawuwd)

Na Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) akasema vile vile:
Waingilieni wake zenu Kwa mbele au kwa nyuma lakini epukeni akiwa kwenye hedhi.” (At-Tirmidhiy)

HII HAMJAIONA?
 
Tunarudia tena
Chief Mfiaukweli

JAMBO LA NDOA YA MUT-A,NI HARAAM KWETU SISI WAISLAM

anaesema lipo
Tunaomba Hoja ya kuhalalisha kwake

Chief Luten
Hadithi unayosema ya Ibn Omar,kwamba ipo katika sahihi Bukhari

HADITHI HIYO HAIPO WALA HAKUNA KITU MFANO WA HIYO
na kama wasema ipo
Tunaomba uipige picha asili ya HADITHI,kisha tuma

Shukran sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda nikusaidie Bro

angalia Hadithi hii

حديث آخر : قال الإمام أحمد : حدثنا حسن ، حدثنا يعقوب يعني القمي عن جعفر ، عن سعيد بن جبير ، عن ابن عباسقال : جاء عمر بن الخطاب إلى رسول الله صلى الله عليه وسلم فقال : يا رسول الله ، هلكت ! قال : " ما الذي أهلكك ؟ " قال : حولت رحلي البارحة ! قال : فلم يرد عليه شيئا . قال : فأوحى الله إلى رسول الله صلى الله عليه وسلم هذه الآية : ( نساؤكم حرث لكم فأتوا حرثكم أنى شئتم ) أقبل وأدبر ، واتق الدبر والحيضة " .

Waendeeni wake zetu(kwa style)ya kuja kwa nyuma au mbele

na jiepusheni na kumuingilia nyuma na akiwa siku zake

Hiyo kwa style ni maneno ambayo ameongezea mwandishi nilikusubiri ujikanyage. Sio vema kuipigania imani. Iache ijipiganie yenyewe.
Ungeniambia mwanzo iliruhusiwa lakini labda ikaja kubatilishwa kwasababu ndani ya uislamu kuna hadithi dhaif na hadith zisizo dhaifu( faradhi na isiyo faradhi) ungeeleweka
 
Kinachozungumzwa ni style ya kumuendeea mke

na tumekatazwa kumuingilia kinyume na maumbile

Na Hukmu ya mwanaume mwenye kumuingilia mke wake kinyume na maumbile,ni kukatwa kichwa
ikiwa mke amelazimishwa na kutozwa nguvu na mumewe

na Ikiwa anapenda na yeye kuingiliwa kinyume
Basi wote hukmu yao ni KIFO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka hapa Aya mzima ya hiyomy own book!!

Ulipoandika uongo ni hapa:Ni UONGO kwa sababu, hiyo Quran 4:24 hivi ndivyo inasema:
-TAFSIRI KUTOKA SAHIHI INTERNATIONAL😛ICKTHALL TRANSLATION:-YUSUFU ALI TRANSLATION:-SHAKIR TRANSLATION:-MUHAMMAD SARWAT TRANSLATION:-SWAHILI TRANSLATION:-Hizo zote hizo ni Aya za Quran 4:24 na sio article citation from Google! Nimekupa 6 different TRANSLATIONS na kote huko sijaona hayo unayodai Quran kwamba:
Sasa kama sio muongo, hayo maneno umeyatoa wapi?!

Hizo zote ni tafsiri. Naomba aya ambayo tafsiri hizo zinahusika nayo.
 
Ndio maana niliyaweka ndani ya mabano Chief

labda jiulize
kwann niliweka ndani ya mabano neno style?!

kwasababu mwisho wa Hadithi
Limekuja katazo la kuwaingilia kinyume na maumbile

nadhani hili umeliona
Hiyo kwa style ni maneno ambayo ameongezea mwandishi nilikusubiri ujikanyage. Sio vema kuipigania imani. Iache ijipiganie yenyewe.
Ungeniambia mwanzo iliruhusiwa lakini labda ikaja kubatilishwa kwasababu ndani ya uislamu kuna hadithi dhaif na hadith zisizo dhaifu( faradhi na isiyo faradhi) ungeeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
نساؤكم حرث لكم

“Wake zenu ni konde zenu…” (Abu Daawuwd)

Na Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) akasema vile vile:
Waingilieni wake zenu Kwa mbele au kwa nyuma lakini epukeni akiwa kwenye hedhi.” (At-Tirmidhiy)
Weka hapa hivyo vitabu

"ᴮᵉˡⁱᵉᵛᵉ ʸᵒᵘ ᶜᵃⁿ ᵃⁿᵈ ʸᵒᵘ'ʳᵉ ʰᵃˡᶠʷᵃʸ ᵗʰᵉʳᵉ"
 
Waendewni fidubur mbele quburiha nyuma. Yaani allah ameruhusu watu wawe wanasodomiana ndio maana wengine wana mu question ni Mungu kweli?
Mfiaukweli nakushukuru kwa hoja hii nzito. Unzinzi katika ulimwengu wa kiislamu ni mkubwa sana
 
Back
Top Bottom