Wewe si ndo yule unayejifanya Mfuasi wa Jehova wakati Jehova ameshasema wazi kwamba anachukizwa sana na Waongo?! Naona unafanya kazi ya kurukaruka tangu... narudia tena, weka hapa Aya ya Quran 4:24 yenye maneno ambayo wewe umeyasema kwamba ni from Quran... !!!
Halafu ona ulivyo hopeless... sasa hao Al Qaeda na Al Shabab ndio Quran? Ukiambiwa umeleta mada kwa ajili ya kukashifu dini unatuletea unafiki wako! Au unataka watu tuanze kulichambua hapa hilo dhehebu lako la Wasabato, ambalo tukianza hapa si ajabu hata Wakristo wenzako wakaanza kuwashushia makombora kwa kujifanya kwenu kujua na kuwaona wote ni watenda dhambi kasoro nyinyi?!
Anyway, don't worry siwezi kufanya hivyo kwa sababu, Quran 6:108 inasema:Lakini sio hivyo tu, bali naamini hapa JF wapo Wasabato wenye akili na busara ambao wanafanya staha kwa imani za wengine kwahiyo siwezi kuwakwaza wote hao kwa ajili mtu mmoja ambae anaenda kinyume hata na huyo Jehova anayedai anamfuata!!!