Zimebakia siku ngapi kutimia 100 za Samia? Katiba mpya iko wapi?

Zimebakia siku ngapi kutimia 100 za Samia? Katiba mpya iko wapi?

Siku 100 ni ndogo Sana kufanya Yale mambo na sio 100 hata akipewa miaka 5 hatoweza kuyafikia

Kosa ni pale unapoamini maneno ya mwanasiasa .

Ukiwa mfatiliaji mzuri utagundua 99% ya ahadi ambazo wanasiasa huwa wanahidi huwa hazitekelezeki na sio Tanzania duniani kote wanasiasa hutekeleza mambo ambayo hwakuahidi kuliko waliyohadi .
 
Mimi sifi Leo Sina kumbukizi umebakiza siku ngapi ufikishe 100 days at state house? JE, katiba mpya i-wapi mama?

Je umefanya nini ndani ya siku 100?

Jitokeze ubonge nasi wajuba
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
We utakuwa unachanganyikiwa, hauko sawa!.
Unajichanganya balaa, jitathimini!
 
Makubwa niliyoyaona kwa macho tangu aapishwe

1. Kuteua waziri Mkuu Nchemba
2. Kuunda baraza la mawziri
3. Kuunda wizara ya vijana
4. Tume ya uchunguzi vurugu za uchaguzi
5.........
6............
 
Katiba mpya kweli jamaa yangu upewe kirahisi hivyo?.Si anguko la CCM kabisa ikiwa hivyo.(unadhani watalikubali?)Wanadai bwana Yesu mpaka arudi ndio wanawaza kuachia madaraka leo hii wakupe katiba kizembe.

Wabongo wakiendelea kulala watahenyeshwa na watawala mpaka wachakae.Laleni tu lakini manyanyaso ya watawala yatawaamsha usingizini
 
Mimi sifi Leo Sina kumbukizi umebakiza siku ngapi ufikishe 100 days at state house? JE, katiba mpya i-wapi mama?

Je umefanya nini ndani ya siku 100?

Jitokeze ubonge nasi wajuba
Atataka atawale milele na chawa watamkubalia
 
Mbona alishatuchenga alisema tume ya jaji chande imalize Kisha uje ya maridhiano Kisha ya ndiyo itatoa muelekeo wa Katiba mpya
 
Back
Top Bottom