kama wewe ni mtu wa kulelewa utakuwa umenielewa nimekwambia maswala ya siasa yajadiliwe kisiasa kuanza kumkebehi mtu sababu ya mapungufu yake ya kimaumbile sababu ya ushabiki wa kisiasa si jambo jena hata siku moja huwezi niona namnanga mtu kwa kilema alicho nacho hata kama ni waccm ,cuf,au chadema na kama ukiendekeza hilo utajibiwa kwa mifano dhahir .kama ni matusi tukana,kama ni maneno ya dharau,kejeli etc yaseme lakini si kusemea mtu kwa mapungufu ya kimaumbile aliyo umbiwa, kuwa muelewa wewe zuzu usijifanye mjuaji kwa kutaka sifa za kijinga hapa jukwaani hujafa hujaumbika zuzu wewe.