Zimebaki siku ngapi za kina Zitto?

Zimebaki siku ngapi za kina Zitto?

Status
Not open for further replies.
leo zimetia siku 14.kesho tunasubiri kutolewa kwa hukumu.zito yumo kwenye kitanzi cha mafisadi wa chadema.kila chama cha siasa hapa tanzania kinamafisadi.fisadi siyo kuiba fedha tu.hata ukimnyima mtu haki yake.wewe nifisadi

Hiki kizazi cha uzao wa nyoka.laana iwe juu yenu mumsingiziaye mwenzenu ilihali nyoyo zenu zinajuwa ukweli wake.
 
Adhabu aliyoipata slaa kule kigoma hatasahau ndiyo kamjua zitto ni nani.
 
labda wewe na familia yako, tupishe bhana.

Mkuu kuna mijitu ya ajabu hapa, siku zitto akitangaza kutafuta mchumba kuna wanaume wengi watajitokeza zaidi ya mabinti. Fuatilia kauli zao za kimahaba humu..
 
Nina imani hawa misukule ya dj na mshirika wake angewaambia hawa misukule geukeni nyuma mutupe nanihiliu zenu basi watageuka wampe ki dinyo chao awachome sindano za nanihiliu
 
wanaCHADEMA hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom