Uzuri ni kwamba walizitoa katika barau za wanachama wao hao na hawakupita JF na naamini Chadem hawashindi JF , swali lako nenda nalo kule Chadema , uwe na sifa ya kufanya hilo .
Wewe dogo acha akili za kusahau kama panzi humu JF kurugenzi ya habari chadomo ipo rasmi na imekuwa ikitupa habari zote za CC,ni chama pekee kinatoa matamko JF akina ben na wenzake well JF 24 hrs