Zimebaki siku ngapi za kina Zitto?

Zimebaki siku ngapi za kina Zitto?

Status
Not open for further replies.
wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea

Nov21 hadi leo Dec16 ni siku 25!
 
kurugunzi ya habari ya chadema.pasco.ritz.msalani.faizafoxy.ben sanane.mungi.malcopolo.mungi.tumaini makene.
 
huelewi katiba ya chama irejee 6.5.2 inaelekeza baada ya kuwasilisha utetezi wataitwa wajitetee ndipo chama kichomoe kadi we tuliza mpira
 
Ni kweli siku zimeisha lakini tumechunguza tumeona tulikurupuka kutoa yale maamuzi, lengo lilikuwa kummaliza kisiasa lakini tumegundua zito bado ana nguvu sana tukisema tumfukuze chama kitakufa kwa hiyo tumeamua tunyamaze kimya.
 
wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea

uliambiwa baada ya siku 14; sasa je, wakiadhibiwa hata katikati ya mwaka ujao itakuwa ni kabla au baada ya hizo siku?

... ficha umbulula wako!
 
wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea

Kwa hiyo unataka nini?je Ccm zile siku 90 na miezi 6 imekaaje?Chadema ni lazima utasikia maamuzi usikonde
 
Mnaouliza hili jambo weng vichwa vya panzi,kwani kuna sehemu walisema kuwa katika hizo siku kumi na nne watakuwa wametoa maamuzi,kama kuna mtu ana nukuu ya aina hiyo aiweke hapa ndo tuendelee kujadili.
 
jibu hoja dogo
 
wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea

Uzuri ni kwamba walizitoa katika barau za wanachama wao hao na hawakupita JF na naamini Chadem hawashindi JF , swali lako nenda nalo kule Chadema , uwe na sifa ya kufanya hilo .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom