Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,883
- 35,938
Zinazidi kupunguaZile siku 100 za madarakani za rais wetu mpendwa ,msikivu na mchapa kazi , mwenye utu na mnyenyekevu , zimebaki siku ngapi katika zile 100 za kuingia madarakani na kuyashughulikia yale aliyoyasema atayafanya ndani ya huo muda.
Ngoja tum tag hapa samia suluhu.
Rais feki..Ngoja tum tag hapa @samia suluhu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo siyo rais wetu. Ni mvamizi
Anaweweseka na mambo ya ICCZinazidi kupungua