ikiwa Mugabe ni weak, na un-popular, kama tunavyoelezwa kwanini chama chake kimemteua kugombea? hivi ZANU-PF hawana nia ya kushinda uchaguzi? au Mugabe ameiba mpaka kura za kamati kuu ya ZANU?
nadhani habari za vyombo vya magharibi zinatuaandaa kisaikolojia kutegemea matokeo fulani Zimbabwe. mfano, walishaanza kuspeculate majina ya watakao-replace Mugabe, na sisi wananchi tukaliamini hilo. sasa kamati kuu imempitisha tena Mugabe tunashangaa.
Who is mugabe in ZANU-PF?Tabasamu,
mimi siyo mkamilifu, na kuna uwezekano kwamba nina mushkeli katika judgement yangu. ni kwa msingi huo basi, nipo hapa kusahihishwa, kuelekezwa, na kusaidiwa.
ningependa Mugabe aondoke kwasababu naamini nchi nzima itapata ahueni. wazimbabwe pamoja na majirani zao ktk SADC watapumua. unajua Raisi wetu alisimamisha ziara yake ya kukagua maendeleo Arusha na kukumbilia Harare kuzungumza na Mugabe!
wakati kila mtu anafikiri kwamba Mugabe must go, kwanini kamati kuu ya ZANU-PF wanaendelea kumngangania?
nakubaliana na wewe kwamba vyama tawala hushirikiana na vyombo vya dola katika kuhujumu uchaguzi. lakini, uchaguzi na kura zinazonistaajabisha mimi ni za KAMATI KUU ya chama cha ZANU-PF.
Security forces have been deployed in Zimbabwe as unions started a two-day strike in protest against the country's worsening economic crisis.
Police blocked roads into the capital, Harare, and military helicopters were seen patrolling the city.
But the strike has so far had a slow start. Many workers cannot afford to lose pay and are instead going to work.
The capital was slightly quieter than usual, but many shops and offices were open in the central business district.
'Only solution'
Zimbabwe's main trade union, the Congress of Trades Unions (ZCTU), says it called the general strike over the government's failure to respond to the economic meltdown and was pushing for wage rises.
More than 80% of Zimbabweans live in poverty and inflation is running at more than 1,700% - the highest in the world. .........................................