Zimbabwe Election: Progress & Results

Yale yaliyotokea Kenya nadhani yanaweza kujirudia Zimbabwe lakini kwa style ya aina yake. Kuna baadhi ya tovuti zinadai kwamba Idara ya Usalama wa Mugabe (maana siyo usalama wa Taifa) wamezuia matokeo ya uchaguzi yasitangazwe, ni habari za ukweli kiasi gani, mimi sina uhakika. Hali hiyo inatokana na ushindi wa MDC kwenye huo uchaguzi.

Swali la kujiuliza: Je, Magereza, Polisi na Jeshi watayakubali hayo matokeo? Maana viongozi wao wa juu walitamka hadharani kwamba lazima Mugabe ashinde, akishanda mtu mwingine (kibaraka) hawatakubali kumtii. Je, ndiyo kusema watamuingiza Mugabe kwa nguvu hata kama kashindwa? Je, watafanya mapinduzi ya serikali ambayo haijasimikwa madarakani? Zimbabwe sasa inaelekea kubaya sana na SADC wanaweza kubeba mzigo wa lawama maana wamekuwa wakikaa kimya kila kasheshe ya Zimbabwe inapoibuka. Yangu macho ... ngoja tuone kitakachotokea!
 
Nafikiri ni vyema kusema kuwa matokeo bado kutangazwa so far, kama ninaielewa vizuri hii thread, sasa ngoja tusubiri yatakapotangazwa.
 
I have come to the conclusion that Mugabe is an experiment. The west, Mugabe, the opposition, they are all in it. Which leads me to agree with Nyani Ngabu, waafrika ndivyo tulivyo. Wote hao ni puppets, I see none better than the other, cos they will happilly sell their countries kwa wananihii........
Jamaa ana investments zake UK usipime, wangekuwa kweli hawamataki, angekuwa keshatolewa na kufilisiwa investment zake. Zimbambwe is an investment paradise waiting to explode. Wait and see.
Halafu mbona watu wana predict ashindwe? Mbona tulipo tabiri Kibaki atashindwa watu tukashambuliwa?ati niaje?
 
ELECTION RESULTS SO FAR
Parliamentary constituencies
MDC-Tsvangirai: 25
Zanu-PF: 26
Breakway MDC faction: 1
Yet to declare: 158
Presidential results
None so far
Winner needs more than 50% to avoid run-off
Source: ZEC

Results according to MDC:
Morgan Tsvangirai, MDC: 60%
Robert Mugabe, Zanu-PF: 30%
MDC 99 parliamentary seats
Zanu-PF 96
Other opposition 15
 
Zimbabwe Electoral Commission begins piecemeal announcement of official results

Zimbabwe justice minister loses parliament seat



Mzee mzima ameumbuliwa na anaona aibu kutangaza matokeo. Kwa Zimbabwe aliapa yoyote ambaye hakwenda kupigana vita kumwondoa Smith hawezi kutawala hivyo hii ngoma bado nzito maana Mugabe hawezi kuondoka Ikulu kwa hiari yake baada ya kazi kubwa ya kujenga heros acre na empire yake akimbie? - You must be joking he is ready for the fight.
 
Jamani Mugabe,hebu kapumzike ule pensheni,unataka pesheni yako kuilia kabulini?Mwenzako amesema hana sababu ya kulipiza kisasi,sasa hofu yako inatoka wapi,yeye anataka kuinua uchumi wa Zimbabwe ambao wewe umeudidimiza,hebu mpishe mwanaume aingie.Lakini kama huyu nae atakua kweli kibaraka watakao pata shida ni wananchi.
 
Habari za kuaminika tayari R. Mugabe atatangazwa mshindi kwa asilimia 52 na yeye ndiye rais. Kinachosubiriwa ni timing tu kuona hakuna fujo zitakazotokea.
 
Ukiona viasilimia vya kupima kwa pishi hivi unajua tu kuna chenga ya mwili kama aliyopigwa Seif Zenji.
 
Opposition claim clear lead in Zimbabwe vote by Susan Njanji
1 hour, 19 minutes ago
Agence France Presse.


Zimbabwe's opposition claimed a clear lead over President Robert Mugabe and his party, as pressure mounted Monday for the swift announcement of full results from presidential and parliamentary polls.

Riot police patrolled the capital Harare as the first official returns trickled in, placing Mugabe's ZANU-PF party slightly behind challenger Morgan Tsvangirai's Movement for Democratic Change (MDC) in the legislative election.

The opposition charged that delays in releasing full results from Saturday's ballots were part of a bid to help Mugabe prolong his 28-year rule as foreign governments and an observer mission called for the process to be speeded up.

"The people have spoken against the dictatorship," MDC general secretary Tendai Biti told a press conference.

"We are anxiously waiting for the final results. We pray that there will not be recreation and re-engineering of the people's will."

The MDC's own tally of votes in 128 of the 210 parliamentary seats showed that its leader Tsvangirai had secured 60 percent of votes against 30 for Mugabe in the presidential race.

The party also calculated that it had won 96 out of the same constituencies, with only 106 needed for an overall majority in parliament.

The opposition's increasingly bold claims flew in the face of warnings by the authorities not to pre-empt the official verdict.

And a projection from the Zimbabwe Election Support Network, a coalition of non-governmental organisations, said that while Tsvangirai would get more votes (49.4 percent) than Mugabe (41.8 percent), he would not win in the first round.

If no candidate gets more than 50 percent, a run-off must be held within three weeks.

The MDC has said it decided to announce its own results because it has little trust in the official electoral commission (ZEC), a supposedly independent body whose executive is appointed by Mugabe.

The ZEC, which has called for patience, announced its first results on Monday morning, nearly 36 hours after polls had closed.

In the first 66 constituencies to be declared, the MDC was said to have won 35 seats and ZANU-PF 31 seats.

One of the most notable early casualties was Mugabe's outgoing justice minister who lost his seat in the rural Makoni Central constituency.

As hours passed between the announcement of different batches of results, the European Union and the former colonial power Britain called for announcements to be speeded up.

"The... eyes of the world are on Zimbabwe, wanting to be sure that everything is done fairly and everything is done in the right way," said Prime Minister Gordon Brown, urging "that the results come forward soon."

State Department spokesman Tom Casey said the US was "concerned by the slow pace of the official tabulation," urging the commission "to release the entire election results, including the presidential election returns, as quickly as possible".

Fearing the kind of bloodshed which followed Kenya's disputed elections in January, security services have been placed on alert throughout the country and riot police armed with batons and shields were seen patrolling the capital.

After determining the 2002 election was rigged, no representatives from EU countries nor the US have been allowed to oversee the ballot.

But while one regional team of observers gave it a relatively clean bill of health, a team from the Pan-African Parliament (PAP) expressed concern both about the results delay and over government handouts to win over voters.

"While the mission appreciates that the government in power has certain obligations towards improving the welfare of the citizenry, it nevertheless believes the timing of such generosity was unfortunate," PAP spokesman Marwick Khumalo said.

As well as Tsvangirai, Mugabe is up against former finance minister Simba Makoni, who is expected to trail in third.

The elections come as Zimbabwe grapples with an inflation rate of over 100,000 percent and widespread shortages of even basic foodstuffs such as bread and cooking oil.

The 84-year-old Mugabe, Africa's oldest leader, has blamed the economic woes on the European Union and the United States, which imposed sanctions on his inner circle after he was accused of rigging his 2002 re-election.
 
Kwa taarifa yenu Mugabe ameshinda uchaguzi huu. MDC ni chama cha Waingereza na Wamerekani hivyo hakiwezi kutawala Zimbabwe.
 
Kwa taarifa yenu Mugabe ameshinda uchaguzi huu. MDC ni chama cha Waingereza na Wamerekani hivyo hakiwezi kutawala Zimbabwe.

YALEYALEEEEEEE
Amma kweli ndivyo tulivyo au ndivyo Tujitakiavyo?
 
ELECTION RESULTS SO FAR
Parliamentary constituencies
MDC-Tsvangirai: 30
Zanu-PF: 31
Breakaway MDC faction: 5
Yet to declare: 144
Presidential results
None so far
Winner needs more than 50% to avoid run-off
Source: ZEC

Results according to MDC:
Morgan Tsvangirai, MDC: 60%
Robert Mugabe, Zanu-PF: 30%
MDC 99 parliamentary seats
Zanu-PF 96
Other opposition 15
 
Mugabe hana kosa kabisaaaa! Waliouvunja mkataba wa LANCASTER ndio wenye makosa na ndio hao wazungu wanaonyenyekewa na kuweka mazingira yatakayoonyesha kwamba Mugabe ni mbaya ni unafiki na uzandiki mtupu usipokubaliana na mzungu hasa nchi zile zenye turufu ya dunia basi wewe ni adui nambari moja wa dunia. Watakupiga vita kwa propaganda kuanzia kindergarten mpaka chuo kikuu na sumu hiyo kutoka siyo rahisi. Walishafanya majaribio mengi sana ya kumtoa hapo alipo lakini kwa nini wameshindwa? Ni kitokana na misingi mizuri,ujirani mzuri, heshima,na ushiriki mzuri wa kumng'oa kaburu enzi zile za ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini. Makaburu ambao leo hii wamegeuka kuwa wawekezaji nchini mwetu, makaburu ambao Benki yao ya ABSA ndio iliyofadhili mauaji ya Samora Machel. Suluhisho la matatizo haya ni wao Waingereza kuurudia ule mkataba wa LANCASTER waliokubaliana wakati Zimbabwe inapata uhuru wake.Kwanza Mugabe ni kipindi chake cha mwisho.
 



These next 23 results bring the total constituencies declared by the ZEC to 89 out of 210 constituencies.
We have also provided here a slightly updated graph (from our earlier mailing a couple of hours ago) showing PVT results taken from the independent website www.zimelectionresults.com. PVT - or Parallel Vote Tabulation - involves observation of the voting and counting of ballots at the polling stations, and independent tabulation of these results, parallel to those results released by the formal election authorities (ZEC). Full details for PVT and ZEC declarations, at the point of sending this message, are available on our website.
Bikita South
MDC MT 6916 / ZPF 5284 / IND 299 /

Bindura South
MDC MT 6059 / ZPF 5752 / MDC AM 1129 /

Budiriro
MDC MT 11880 / ZPF 2270 / MDC AM 971 /

Bulawayo South
MDC MT 2764 / MDC AM 1605 / ZPF 483 / IND 112 / UPP 58 / PUMA 0 /

Chirumanzu
ZPF 4631 / MDC MT 4219 / MDC MT 1319 / MDC AM 1021 /

Chiredzi West
MDC MT 6259 / ZPF 4542 / IND 619 / MDC AM 565 / PAFA 67 /

Guruve North
ZPF 10807 / MDC MT 4421 / UPP 350 /

Gutu North
MDC MT 5045 / ZPF 4343 /

Gweru Urban
MDC MT 4302 / ZPF 2836 / MDC MT 2024 / MDC AM 687 /

Matobo North
MDC MT 3503 / ZPF 3102 / MDC AM 1566 / IND 432 /

Mazowe West
ZPF 5148 / MDC MT 2410 / IND 446 / MDC AM 0 /

Mberengwa East
ZPF 7292 / MDC MT 1251 / MDC AM 616 /

Mberengwa North
ZPF 9722 / MDC MT 2352 /

Mberengwa South
ZPF 8291 / MDC MT 1309 / MDC AM 885 /

Mberengwa West
ZPF 5508 / MDC MT 2912 / IND 315 /

Mbire
ZPF 9610 / MDC MT 6137 /

Mbizo
MDC MT 6006 / ZPF 2454 / MDC AM 885 / IND 418 /

Mt Darwin South
ZPF 9105 / MDC MT 2698 / IND 380 / UPP 115 / MDC AM 0 /

Nyanga South
MDC MT 8029 / ZPF 5513 /

Shurugwi North
ZPF 6453 / MDC MT 2052 / MDC MT 2012 / MDC AM 1006 /

Silobela
MDC MT 4624 / ZPF 4137 / IND 935 / MDC AM 679 / MDC AM 642 / IND 527 /

Vungu
ZPF 4287 / MDC MT 2518 / MDC AM 2160 / MDC MT 1023 /

Zvishavane Ngezi
ZPF 4632 / MDC MT 3786 / MDC MT 3133 /
 
MDC ni chama cha Waingereza na Wamerekani hivyo hakiwezi kutawala Zimbabwe.

Uhuuuu, polepole wewe, hapa watu wanauelewa mkubwa mno; hii kawaambie wananchi kijijini waliozoewa kudanganywa. Au umekosea kui-post ulikusudia kupeleka kwenye gazeti la Uhuru?
 
Kwa taarifa yenu Mugabe ameshinda uchaguzi huu. MDC ni chama cha Waingereza na Wamerekani hivyo hakiwezi kutawala Zimbabwe.


Hivi wananchi wanashiba chama au wanakula chama? Hivi unaponunua mkate kwa Zim$ 10,000,000 bado unahitaji politics za colinialism au neo-colonialism kugundua uongozi wa chama na serikali ni mbaya?

Cheap politics kama hizi hazina manufaa ye yote kwa mwananchi wa kawaida!
 
ELECTION RESULTS SO FAR
Parliamentary constituencies
MDC-Tsvangirai: 51
Zanu-PF: 53
Breakaway MDC faction: 5
Yet to declare: 101
Presidential results
None so far
Winner needs more than 50% to avoid run-off
Source: ZEC

Results according to ZESN:
Morgan Tsvangirai, MDC: 49%
Robert Mugabe, Zanu-PF: 42%
Simba Makoni, Independent: 8%

NGOMA NZITO HAPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…