Zimbabwe Election: Progress & Results


Kausemi kako katamu ila nashangaa inapokuja kwa CC watu wanakasahau na kutokukaona kana ukweli. Next itakuwa CCM.
 
Kausemi kako katamu ila nashangaa inapokuja kwa CC watu wanakasahau na kutokukaona kana ukweli. Next itakuwa CCM.

..issue ya ccm ni tafauti,ila fate itakuwa moja tu!kama isipojisafisha na kuokoka!
 
Tanzania tusipokuwa makini, uchaguzi mkuu ujao nasi tutakuwa ktk matatizo ya kisiasa. Kuna kila dalili ya hayo kutokea kwa wenzetu wa Zenj. CCM (Zenj) inatakiwa kuacha KIBURI chake kisicho na maana. Watatutia doa wa-Tanzania
 
Tusimdharau kiasi hicho, Mugabe anaweza kuwa MGUMU zaidi kuliko hata Kibaki. Mugabe anaungwa mkono na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yake. Amewagawia mashamba aliyoyachukua toka kwa wazungu. Hili litampa Morgani kazi ngumu sana ya kuyarudisha mashamba hayo kwa wazungu
 
..issue ya ccm ni tafauti,ila fate itakuwa moja tu!kama isipojisafisha na kuokoka!

Hivi unafikiri Mugabe naye alikuwa hajui kwamba kuna suala la kujisafisha.Tatizo wanapokuwa madarakani wanajawa na Dharau,Kiburi na Jeuri na ndicho kinawafanya wanakuwa na upofu wa busara.CCM imeoza, haingii akilini kati ya wajumbe wote waliokaa Butiama walishindwa kisimama kidete ndani ya mkutano na kumwambia ukweli M/kiti kuhusu mambo yanayokwenda hivi sasa,RICHMOND, EPA,TWIN TOWER,IPTL,MIKATABA MBALIMBALI MICHAFU.Wote kimya.


Unajua some times inakuwa vigumu kung'ang'ania madarakani kama kweli asilimia kubwa ya wananchi hawakutaki, hata kama unajeshi.Watakapoamua sasa basi hata ufanyeje utaondoka tu.
 
Zimbabwe's MDC court bid blocked


Jamani oneni haki inavyofanywa na ZANU-PF, hata Mbeki hajui matokeo yatatoka lini (Lakini bado anamtetea Mugabe). Welcome to Zimbabwe style democracy. Sasa JK ndiye head wa AU Je, anasemaje?
 

..so your point is,hataondoka simply kwasababu hivyo vyombo[infact some of the leaders wa hivyo vyombo]viko nyuma yake?this time sanctions zitakuwa ngumu zaidi na baadhi yake zitatokea nchi za afrika!

..hao wataondoka wote!tena vibaya! its a matter of time!

..hayo ni mapinduzi ya wananchi!
 
Tanzania tusipokuwa makini, uchaguzi mkuu ujao nasi tutakuwa ktk matatizo ya kisiasa. Kuna kila dalili ya hayo kutokea kwa wenzetu wa Zenj. CCM (Zenj) inatakiwa kuacha KIBURI chake kisicho na maana. Watatutia doa wa-Tanzania

..mwenzio akinyolewa,chako tia maji!
 
ZANU-PF ilijengwa kwa msingi sawa na ule uloijenga CCM (kuunda wakoloni waafrika) kwa hiyo wakuu swala la kufikiria kuwa mnaweza kuwaangusha kirahisi ondoeni akilini!...
Yaani nasubiri kwa hamu kuona kama sisi tunaweza fanya tofauti maanake nguvu ya dola wakuu wangu ni Ufalme kwa hiyo sijui!..
Ni ukweli unaouma lakini hakuna njia kwa tawala kama hizi za Kiafrika kuanguka isipokuwa labda muingie msituni!.. .
 
"I am calling on President Mugabe to begin a dialogue with me, to begin the process of a peaceful, orderly and democratic transition,"

"In making this call, I believe it is in the interests of the people and the future of this country not to create conditions of anxiety and instability.

"I want to say to President Robert Mugabe: 'Please rest your mind, the new Zimbabwe guarantees your safety.'"


Morgan Tsvangirai
MDC Leader

Source: bbc.co.uk
 

I see, Tsvangirai is a great man. Hana papara hana hasira, mvumilivu sana. Tatizo anapambana na 'chizi' hivyo ni vigumu sana kwa Mugabe kumsikiliza hayo anayo yasema.

Mimi nimeshtushwa na Thabo Mbeki, eti anasema wafanye uchaguzi wa marudio na hakuna haja ya Internation pressure kwasasa. Nimeshtuka kwasababu A. Kusini, iliwaondoa makaburu madarakani kwa kura je makaburu wangelifanya kama anavyofanya Mugabe. This is bull shit.
 
Bila shaka Wazimbabwe wameanza kuchoka, duu Rais anaambiwa haya.

MUGABE YOU SWINE! YOU FILTHY LITTLE MAGGOT. WHAT IS THAT TRIPE YOU CALL AN OPINION? WHAT IS THAT SCROFULOUS LITTLE TUMOUR YOU CALL A BRAIN? DON'T YOU KNOW THAT YOU ARE PATHETIC? YOU WORTHLESS BAG OF FILTH, YOU WAD OF PUS. YOU'RE A CANKER, A SORE THAT WON'T GO AWAY. I WOULD RATHER KISS A PIG THAN BE SEEN WITH YOU. YOU DEMENTED BASTARD THOSE KIDS YOU THINK YOU SIRED ARE NOT EVEN YOURS. YOU'RE A PUTRESCENT MESS, A WALKING VOMIT. YOU ARE A SPINELESS LITTLE WORM DESERVING OF NOTHING BUT THE PROFOUNDEST CONTEMPT. YOU ARE A JERK, A CAD, A WEASEL. YOUR LIFE IS A MONUMENT TO STUPIDITY. YOU ARE A STENCH, A REVULSION, A BIG SUCK ON A SOUR LEMON. I WILL NEVER GET OVER THE EMBARRASSMENT OF BELONGING TO THE SAME ZANU PF PARTY AS YOU. YOU ARE A MONSTER, AN OGRE. I BARF AT THE VERY THOUGHT OF YOU. YOU HAVE ALL THE APPEAL OF A PAPER CUT. LEPERS AVOID YOU. YOU ARE VILE, WORTHLESS, LESS THAN NOTHING. YOU ARE A WEED, A FUNGUS, THE DREGS OF THIS EARTH; AND DID I MENTION THAT YOU SMELL? YOU ARE WEARY, STALE, FLAT AND UNPROFITABLE. YOU'RE GRIMY, SQUALID, NASTY AND PROFANE. I HAVE EXCRETED BETTER THINGS THAN YOU. YOU ARE FOUL AND DISGUSTING. YOU'RE A FOOL, AN IGNORAMUS. MONKEYS LOOK DOWN ON YOU. YOU ARE A WASTE OF FLESH. YOU HAVE NO RHYTHM. YOU ARE RIDICULOUS AND OBNOXIOUS. I WOULD RATHER BATHE WITH HITLER THAN SPEAK TO YOU. YOU ARE THE MORAL EQUIVALENT OF A LEECH. YOU ARE A LIVING EMPTINESS, A MEANINGLESS VOID. YOU ARE SOUR AND SENILE. YOU ARE A DISEASE. ON A GOOD DAY YOU'RE A HALF-WIT. YOU REMIND ME OF DROOL. YOU ARE DEFICIENT IN ALL THAT LENDS TO CHARACTER. YOU HAVE THE PERSONALITY OF WALLPAPER. YOU ARE DANK AND FILTHY. YOU ARE ASININE AND BENIGHTED. YOU ARE THE SOURCE OF ALL UNPLEASANTNESS. YOU SPREAD MISERY AND SORROW WHEREVER YOU
GO. YOU ARE A FIEND AND A COWARD AND YOU HAVE BAD BREATH. YOU ARE DEGENERATE, NOXIOUS AND DEPRAVED. I FEEL DEBASED JUST BECAUSE I KNOW YOU EXIST. I DESPISE EVERYTHING ABOUT YOU, AND I WISH YOU WOULD GO AWAY.
Posted By Kevin "Goodbye Mugabe" Mazadza , London UK : Apr 3 2008 11:49 PM

Source. Zimbabwe daily news (zimdaily.com)
 
Licha ya kushindwa katika uchaguzi, ambao matokeo hayajatangazwa kwa zaidi ya wiki sasa, Mugambe ameamua kutengeneza noti ya shillingi za Zimbabwe Millioni 50 (Zs. 50M). Hiyo ni noti ya kwanza ya aina yake duniani, hakuna nchi yenye noti ya dhamani kubwa kama hiyo. Hata hivyo noti hiyo inauwezo wa kununua mkate tu.

The new note, to be issued by the Reserve Bank of Zimbabwe, can only buy two loaves of bread.

The RBZ says the note was introduced to help the transacting public who were getting inconvenienced with carrying huge amounts of worthless notes.

The distinct purple note has a security thread, a Zimbabwe bird water mark with an RBZ highlight on it.

The bills, called bearer cheques, were introduced in 2003 as a temporary expedient but has remained in circulation ever since, with a higher denomination note introduced regularly.

The last highest denomination note, the Z$10 million bearer cheque, was introduced in January.

The Z$50 million note is set to fuel inflation. Food and fuel shortages have become common as the government relies more heavily on imports, pushing prices to new heights.

ZimDaily understands that the new bearer cheque was designed by Germany company, Gieseck & Devrient, which has been helping Zimbabwe in sanctions busting by delivering Z$170 trillion worth of bearer cheques weekly. The RBZ is paying this company US$500,000 every week for this service.

The official annual rate of inflation in Zimbabwe is more than 100,530 percent.

In practice, this means the price of a loaf of bread costs 1,000 times more in cash than it did a year ago.

The new note is worth US$1 at the illegal but widely used black market exchange rate.

Source> Zimbabwe daily news (www.zimdaily.com/news).

Hivi ndiyo vituko vya viongozi wa Afrika.
 
Opposition braced for dirty war as Mugabe clings on to power


The beleaguered president has been accused of mobilising militias to settle Zimbabwe's election the hard way



 
[media]http://www.zimdaily.com/images/cartoon040408.gif[/media]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…