Zile risiti za baa mnazopewa na namba za simu msizidharau, zifanyieni kazi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,153
Kumezuka na wimbi jipya ingawa kwangu la zamani kidogo

Ukienda sehemu ya kula na kunywa wakati wa kulipa unapewa billi

Kwa juu imeandikwaa namba yanguu ni hii hapa.

Kuna mdada leo amepatata kazi.

Nilijaribu kumwombea kazi sehemu mbali mbali leo alipiga mchana njoo sehemu nikauliza kuna shida dada akasema hapana mungu kaniona wooh, kufika nikamkuta ana nguo za moja ya mabasi yaendayo Moshi.

Nikamwambia umeanza lini akajibu leo ndio nimeingia na safari naanza jumatatu ijayo.

Ilikuwaje nilipita sehemu mwezi na nusu uliopita huyu mdada aalikuwa anatoa huduma baadae akanipa karatasi ya bill kusoma nkaona namba nkawaza huyu sijamwomba namba wacha nijue ana shida gani. Nkaongea nae akasema atanipigia kesho yake.

Alipopiga niilikuwa busy nkamwomba ntampigia..Nilipopiga akajieleza sana akaomba msaada amesoma mpaka form four ametafuta kazi kila sehemu amekosa wapo waliojaribu kumtumia kumpa kazi wakamtosa....

Nikamweleza ntakujulisha lii uje sehemu na vyeti vyako mdada alifanya hivyo ..Nikapeleka w kwenye mabasi mbali mbali wakasema wakihitaji watampigia.

Hamada nilishassaahau kabisa niliposikia hili nilisema msidharau zile namba sio kila mmoja anataka ukamtumie wengine wana shida wanashindwa kujieleza wakiwa kazini.

Otherwise msaidie mwenzie uje kusaidiwa mbele ya safari, tenda wema uende zako ...Nimemhaidi ntatumia basi yako kwenda na kurudi na familia yangu December.

Styblsd

Letslovelead
 
Kumezuka na wimbi jipya ingawa kwangu la zamani kidogo

Ukienda sehemu ya kula na kunywa wakati wa kulipa unapewa billi

Kwa juu imeandikwaa namba yanguu ni hii hapa.

Kuna mdada leo amepatata kazi.

Nilijaribu kumwombea kazi sehemu mbali mbali leo alipiga mchana njoo sehemu nikauliza kuna shida dada akasema hapana mungu kaniona wooh, kufika nikamkuta ana nguo za moja ya mabasi yaendayo moshi.

Nikamwambia umeanza lini akajibu leo ndio nimeingia na safari naanza jumatatu ijayo.

Ilikuwaje nilipita sehemu mwezi na nusu uliopita huyu mdada aalikuwa anatoa huduma baadae akanipa karatasi ya bill kusoma nkaona namba nkawaza huyu sijamwomba namba wacha nijue ana shida gani. Nkaongea nae akasema atanipigia kesho yake.

Alipopiga niilikuwa busy nkamwomba ntampigia..Nilipopiga akajieleza sana akaomba msaada amesoma mpaka form four ametafuta kazi kila sehemu amekosa wapo waliojaribu kumtumia kumpa kazi wakamtosa....

Nikamweleza ntakujulisha lii uje sehemu na vyeti vyako mdada alifanya hivyo ..Nikapeleka w kwenye mabasi mbali mbali wakasema wakihitaji watampigia.

Hamada nilishassaahau kabisa niliposikia hili nilisema msidharau zile namba sio kila mmoja anataka ukamtumie wengine wana shida wanashindwa kujieleza wakiwa kazini

Otherwise msaidie mwenzie uje kusaidiwa mbele ya safari, tenda wema uende zako ...Nimemhaidi ntatumia basi yako kwenda na kurudi na familia yangu december.

Styblsd

Letslovelead
Naona roho wa bwana yu ndani yako.
 
Kamtoa bar kwenye matipu kibao,kampeleka kwenye bus ambako hakuna tipu huko!!
Si atamjali au? We nae bwana eh. Si kafanya kitendo cha kiungwana? Baada ya kuitwa,kwenda alipo mdada, unajua ilikuwa saa ngapi? Walipotoka walielekea wapi? Kilichofata unakijua? Na chumba ulipie bro. Mwaka mzima unatosha kujipanga kumpa mimba na yenyewe ni msaada
 
Back
Top Bottom