Zile fly-over tunazosimangwa nazo zimejaa maji

Wabongo mnataka magufuli azuie mafuriko wakat hata ulaya wameshindwa hamko serious kuna kitu kingne itakua mnatafuta
flood-Tamaulipas-mexico-june-2018-600x399.jpg

Mexico
 
NMC kuna njia ya asili ya maji? Kutoka wapi? Kuna mkondo pale?
Mikondo ya maji ya asili kwenda Buguruni, Vingunguti, Temeke Vetenari, na Temeke Mikoroshini.

Kabla ya simenti, lami, daraja na jengo la Bakressa kusimikwa pale, maji yalikuwa hayatuwami kamwe.

Kwa hiyo mikondo ya maji ya asili imezibwa kwa ujenzi holela.

Sasa barabara ya umma haiwezi kuvunjwa, jengo la mtu binafsi linaweza kuvunjwa.

Especially jengo ambalo lilikuwa la National Milling Cooperation.
 
Nimekuelewa vema. Ila kuna kitu umekosea hapo, "jengo la mtu binafsi". Hapa umekosea. Huyu ana haki na mali zake as per dictates of our constitution. Kama kuna haja ya kupisha mkondo wa maji, this has to be done by abiding to the due process of governing laws! It is a pity kuwa Magufuli anawafundisha watu kuwa wababe kama statement yako ulivyoisema. Jiepushe na ubabe, mwisho wake huwa ni mbaya, maana unayemfanyia ubabe kuna siku atajitoa "mhanga"!, kwake life has no meaning katika "bahari" ya kuonewa!
 
Kwan wakati hakuna hali ya mafuriko ilikuaje
palikua hapapitiki ivyo ivyo pale jipya ni lile daraja tu....

mtu wako karudi mjini toka india sijui kama unamuonaga viwanja huko ila hana hata wiki...modo
 
Nimekuelewa vema. Ila kuna kitu umekosea hapo, "jengo la mtu binafsi". Hapa umekosea. Huyu ana haki na mali zake as per dictates of our constitution. Kama kuna haja ya kupisha mkondo wa maji, this has to be done by abiding to the due process of governing laws! It is a pity kuwa Magufuli anawafundisha watu kuwa wababe kama statement yako ulivyoisema. Jiepushe na ubabe, mwisho wake huwa ni mbaya, maana unayemfanyia ubabe kuna siku atajitoa "mhanga"!, kwake life has no meaning katika "bahari" ya kuonewa!
Bakhressa na yeye ni mbabe vile vile.

Anatumia pesa chafu!

Amemega eneo la shule ya msingi tulilokuwa tunalima mahindi, amejenga nyumba yake, Oysterbay Primary School. Kuna siku atakuja mtawala msimamia haki, hili eneo nalo atakuja kutemeshwa lirudishwe shuleni.
 
Back
Top Bottom