Inadharirisha sana ,yaani Mfugale amesababisha mafuriko yaongezeke pale Tazara.Asilete ubishi amejenga daraja na jina lake lipo hapo.Hovyo kabisa.tunasema design imefanywa na watalaamu wa ndani.ambao hawaangalii mambo kwa kina.yale maji yapo pale miaka yote,ila ya sasa yamezidi zaidi baada ya flyoverView attachment 1600526
Mungu ni mwema kutufumbua macho, Yale maendeleo ya vitu hali yake ndiyo hii.