Zijue nchi saba zenye Walokole wengi

Zijue nchi saba zenye Walokole wengi

Pale msalabani biblia inadai kwa kupigwa kwake tumekombolewa, na kuwa alikuja kutukomboa kwenye dhambi,

Je mbona maovu bado yapo, magonjwa? Dhuluma na mambo mengine?
Inamaanisha Kupewa msamaha wa Dhambi kupitia damu yake
Ikavunja pazia la Hekalu
ili tunapotubu Damu ya Yesu inapotutakasa unakuwa hauna Dhambi
Tofauti na zamani Damu za wanayama hazikuwa na Nguvu Mungu kaz yake ilikuwa kumficha mtu asionekane na Dhambi kwa Mungu Lakini bado haikuwa na nguvu

Maovu yanaendelea bado shetani yupo anatafuta wafuasi wake ili siku ya mwisho apate wengi wa kuenda na nao

Na Mungu yeye anatafuta wafuasi wake
Wafike mbinguni Kwa sababu dunia ishaharibika na maovu
 
Walokole wanaongoz akwa roho mbaya.

huwezi kuwa mlokole kama huna roho ya mpinga Kristo.
 
Pitia upya takwimu zako au linanganisha chanzo chako na vyanzo vingine, mfano: Takwimu za shirika la utangazaji la England zinasema wakatoliki peke yake ni takribani bilioni tatu, kwa hiyo haiwezekan wakristo wote jumla kuwa bilioni mbili na kitu.
 
Nchi zenye Walokole wengi kwa idadi ni hizi hapa:
Marekani(USA): Walokole takriban milioni 49
Brazil: Walokole ~milioni 34.
Nigeria: Walokole ~milioni 25
Philippines: Walokole ~milioni 22
India: Walokole ~milioni 18.4
South Africa: Walokole ~milioni 17.7
Zimbabwe: Walokole ~milioni 5.4
Mbona zinafanana na hizi....

1751473443842.png
 
"hata kama nikinena kwa lugha, hata kama nikatoa mali yangu yote nimawapa maskini, kama sina upendo, si kitu". Wokovu wa kweli haupo kwenye maji mengi wala kunena kwa lugha bali kuyaishi mapenzi ya Bwana na kuzitii amri zake.

Ni wale tu wenye upendo wa kweli kwa Mungu wetu na kwa wanadamu wenzao, ndio wayaishio mapenzi ya Bwana. Nyingine ni hadithi.

'Amri mpya nawapeni, mpendane, kama mimi nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane"
Hakika,Igweeeee
 
Walokole wanaongoz akwa roho mbaya.

huwezi kuwa mlokole kama huna roho ya mpinga Kristo.
Hujajua maana ya kuokoka. Soma uzi huu
 
"Ubatizo wa maji mengi" Maji mengi ni kiasi gani, ndoo moja, pipa mbili, au kiasi gani.?

Watu wanaiga ubatizo wa Yesu, lakini wakiambiwa waishi kama yesu bila kuwa na demu wala mke hawataki.
 
Je, wewe ni miongoni mwa Walokole wanaopita njia nyembamba au unapita njia pana?
"Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo." (Mathayo 7:13)
Achana na hadithi za kutungwa toka vitabuni, zile ni fantasies tu na hazina uhalisia wowote.
 
Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho yanayohimiza utakatifu.

Nchi zenye Walokole wengi kwa idadi ni hizi hapa:
Marekani(USA): Walokole takriban milioni 49
Brazil: Walokole ~milioni 34.
Nigeria: Walokole ~milioni 25
Philippines: Walokole ~milioni 22
India: Walokole ~milioni 18.4
South Africa: Walokole ~milioni 17.7
Zimbabwe: Walokole ~milioni 5.4

Idadi ya walokole duniani inakadiriwa kuwa karibu milioni 280. Idadi hii ni ndogo lakini inaonyesha ukweli wa maneno aliyosema Yesu katika Mathayo 7:14
"Bali mlango ni mwembamba, na njia imebana iendayo uzimani, nao waionao ni wachache."
====================
Kwa mujibu wa Ripoti za Gordon‑Conwell, idadi ya Wakristo wote duniani ni takriban bilioni 2.6. Idadi hii ni kubwa lakini inasikitisha kwa sababu wengi wao wana majina tu ya kikristo lakini hawayafanyi mapenzi ya Mungu. Yesu alisema:
"Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika Ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.” (Mathayo 7:21)
Sasa huu upuuzi una faida gani kwetu sie tunaojitambua?
 
Hiyo ndiyo takwimu ya watu watakaonyakuliwa (raptured). Mpendwa Hakikisha na wewe umo kwenye hiyo sensa ya watu wanaotarajia kwenda paradiso!
 
Hahaa. Mimi tena nikose kunyakuliwa?! Sina mchezo na dhambi. Na pia nautafuta utakatifu kwa bidii sana(Ebr 12:14).

Watakaonyakuliwa ni zaidi ya idadi hiyo. Kumbuka hatutawatangulia waliolala katika Bwana. Watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai tutanyakuliwa pamoja nao.
 
Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho yanayohimiza utakatifu.

Nchi zenye Walokole wengi kwa idadi ni hizi hapa:
Marekani(USA): Walokole takriban milioni 49
Brazil: Walokole ~milioni 34.
Nigeria: Walokole ~milioni 25
Philippines: Walokole ~milioni 22
India: Walokole ~milioni 18.4
South Africa: Walokole ~milioni 17.7
Zimbabwe: Walokole ~milioni 5.4

Idadi ya walokole duniani inakadiriwa kuwa karibu milioni 280. Idadi hii ni ndogo lakini inaonyesha ukweli wa maneno aliyosema Yesu katika Mathayo 7:14
"Bali mlango ni mwembamba, na njia imebana iendayo uzimani, nao waionao ni wachache."
====================
Kwa mujibu wa Ripoti za Gordon‑Conwell, idadi ya Wakristo wote duniani ni takriban bilioni 2.6. Idadi hii ni kubwa lakini inasikitisha kwa sababu wengi wao wana majina tu ya kikristo lakini hawayafanyi mapenzi ya Mungu. Yesu alisema:
"Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika Ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.” (Mathayo 7:21)
Samahani unamaanisha wapentekoste ama? Maana wao ndio wana sifa nyingi ya hizo ulizotaja

Maana kuna baadhi ya dini wanabatiza kwa maji mengi ila hawaneni kwa lugha kama wasabato

Na kuna wanaonena kwa lugha ila hawabatizi kwa maji mengi kama kkkt
 
Back
Top Bottom