Zijue nchi saba zenye Walokole wengi

Zijue nchi saba zenye Walokole wengi

Brazil katika Kila wanaume 10 watatu ni mashoga na Kila wanawake 10 watano ni wasagaji

Philippines katika Kila wanaume 10 wanne ni mashogaji na Kila wanawake 10 watatu ni wasagaji

South Africa katika kila wanaume 10 wawili ni mashoga na katika kila wanawake 10 wawili ni wasagaji

Marekani katika Kila wanaume 10 watatu ni mashoga na katika kila wanawake 10 wanne ni wasagaji

Nigeria katka Kila wanaume 10 mmoja ni shoga na katika kila wanawake 10 watatu ni wasagaji
 
An excellent question, MIXOLOGIST
“So what?” is, in fact, the kind of inquiry that demands we move beyond raw data and into reflection.
The significance lies not merely in numerical strength but in what it reveals: the global expansion of Pentecostal Christianity is not a sociological coincidence, but a reflection of a profound spiritual hunger and the dynamic work of the Holy Spirit in diverse cultural landscapes.

This trend challenges us to reevaluate our own spiritual posture: Are we passive observers of this revival—or active participants in what may be one of the most significant religious movements of our time?

The data is not just information, it's an invitation.
 
Brazil katika Kila wanaume 10 watatu ni mashoga na Kila wanawake 10 watano ni wasagaji

Philippines katika Kila wanaume 10 wanne ni mashogaji na Kila wanawake 10 watatu ni wasagaji

South Africa katika kila wanaume 10 wawili ni mashoga na katika kila wanawake 10 wawili ni wasagaji

Marekani katika Kila wanaume 10 watatu ni mashoga na katika kila wanawake 10 wanne ni wasagaji

Nigeria katka Kila wanaume 10 mmoja ni shoga na katika kila wanawake 10 watatu ni wasagaji
Aisee
 
Naomba kujua walokole kwa English wanaitwaje!
Swali zuri sana byeyombo
The Swahili term "walokole" generally refers to Pentecostal Christians, though in some contexts it may also broadly include Evangelical believers, ie those who emphasize personal salvation, a born-again experience, and active faith.

In English, the most accurate translation of "walokole," especially when referring to those in revivalist, spirit-filled churches is: "Pentecostals."

However, depending on the speaker’s context or region, walokole might sometimes be used more loosely to refer to born-again Christians, which translates as “born-again believers”

Umeelewa, mkuu?
 
wengi na sitaki Unafki
Na wengi wanaojifanya bado maovu yanafanyika
Huo ni Mtazamo wao
Na siwez kumsema mtu ataenda au haendi bali ni Kumsaidia awe kwenye njia Nzuri na kumuombea
Mungu atusaidie
Mungu anatumia njia nyingi kumsaidia Mtu afike mbinguni
Pale msalabani biblia inadai kwa kupigwa kwake tumekombolewa, na kuwa alikuja kutukomboa kwenye dhambi,

Je mbona maovu bado yapo, magonjwa? Dhuluma na mambo mengine?
 
Achana na mambo ya Roman fata ya marekani we mama vipi ?

Kila mtu ajikane binafsi Baki na ulokole wako naye abaki na uroma wake!!
Acha ubinafsi Monetary doctor
Ungesoma andiko hili kwanza, usinge-comment hivyo:
Flp 2:4
Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine.
 
Acha ubinafsi Monetary doctor
Ungesoma andiko hili kwanza, usinge-comment hivyo:
Flp 2:4
Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine.
Daaah 😂 mm sina ubinafsi mbona nawapenda walokole shida mna ubaguzi kwa kujiona bora kuliko wengine mkifuatiwa na masalia ya bibi Ellen G whites
 
Daaah 😂 mm sina ubinafsi mbona nawapenda walokole shida mna ubaguzi kwa kujiona bora kuliko wengine mkifuatiwa na masalia ya bibi Ellen G whites
Hao wenye ubaguzi, nafikiri ni Walokole wa jina tu. Biblia inatukataza kujivuna na kujikweza.
Mlokole wa kweli hana kiburi, ana huruma, upole na upendo. Walokole wa kweli wanajua kwamba wao wenyewe walikuwa wenye dhambi, wakahurumiwa tu na kusamehewa, hivyo hawana cha kujivunia isipokuwa neema ya Mungu
 
Yesu anawajua walio wake akirudi ndio utajua haujui pale ambapo wengine wametwaliwa wewe na kiongozi wako wa dini mmeachwa katika dhiki kuu
 
Kwahio walokole wameiona njia, 😄 kongole kwao
 
Yesu anawajua walio wake akirudi ndio utajua haujui pale ambapo wengine wametwaliwa wewe na kiongozi wako wa dini mmeachwa katika dhiki kuu
Umesema kweli MUGOYA2001
Ni kweli Yesu anawajua walio wake. Lakini pia alitufundisha jinsi ya kuwatambua walio wake.
Mathayo 7:16-20
Mtawatambua kwa matunda yao.
Je, watu huchuma zabibu kwenye miiba, au tini kwenye michongoma? Vivyo hivyo, mti mwema huzaa matunda mazuri, na mti mbaya huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa na kutupwa motoni. Hivyo, mtawatambua kwa matunda yao.
 
Asante..
Kama itakupendeza ungetupa na faida zinazopata hizo nchi kwa kuwa na hao "Walokole"

Naomba kuwasilisha..
 
Umesema kweli MUGOYA2001
Ni kweli Yesu anawajua walio wake. Lakini pia alitufundisha jinsi ya kuwatambua walio wake.
Mathayo 7:16-20
Mtawatambua kwa matunda yao.
Je, watu huchuma zabibu kwenye miiba, au tini kwenye michongoma? Vivyo hivyo, mti mwema huzaa matunda mazuri, na mti mbaya huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa na kutupwa motoni. Hivyo, mtawatambua kwa matunda yao.
Soma lile andiko linalosema KUHUSU "wenye mfano wa utauwa lakini wakizikana nguvu zake..."
 
Swali zuri sana byeyombo
The Swahili term "walokole" generally refers to Pentecostal Christians, though in some contexts it may also broadly include Evangelical believers, ie those who emphasize personal salvation, a born-again experience, and active faith.

In English, the most accurate translation of "walokole," especially when referring to those in revivalist, spirit-filled churches is: "Pentecostals."

However, depending on the speaker’s context or region, walokole might sometimes be used more loosely to refer to born-again Christians, which translates as “born-again believers”

Umeelewa, mkuu?
Ubarikiwe mkuu
 
"ULOKOLE " kwahiyo wasio batizwa kwa maji mengi sio walokole? Ibada hazina shangwe, kunena kwa lugha wala shuhuda za miujiza sio walokole?

"hata kama nikinena kwa lugha, hata kama nikatoa mali yangu yote nimawapa maskini, kama sina upendo, si kitu". Wokovu wa kweli haupo kwenye maji mengi wala kunena kwa lugha bali kuyaishi mapenzi ya Bwana na kuzitii amri zake.

Ni wale tu wenye upendo wa kweli kwa Mungu wetu na kwa wanadamu wenzao, ndio wayaishio mapenzi ya Bwana. Nyingine ni hadithi.

'Amri mpya nawapeni, mpendane, kama mimi nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane"
 
Back
Top Bottom