Zijue Most Powerfull Intelligence Agencies duniani

Zijue Most Powerfull Intelligence Agencies duniani

na

USALAMA WA TAIFA TANZANIA

kazi yake ni kuhakikisha CCM inabakisha madarakani milele.
 
na

USALAMA WA TAIFA. SIJUI ULIANZISHWA LINI.

kazi yake ni kuhakikisha kwamba CCM inabakisha madarakani milele
 
unajua,mtu ambaye hafahamu kazi za hizi Intelligence Agencies lazima uwe na uhuru wa kuropoka,lakini kwa kweli TISS wanafanya kazi nzuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama ila leo lao wote sio kuhakikisha kuwa CCM wanabaki au kudumu madarakani. Sera na mvuto wa chama kwa wananchi ndio unatoa jawabu kwa vyombo vya dola kuona huyu mchaguliwa ni sawa au lah. Huwezi kupewa nafasi kubwa kama Urais kama vyombo hivyo havijaona unasifa na unafaa kuwa kiongozi wa juu serikalini espc Urais. Wengi wetu tunatamani kujua kazi za vyombo vyetu kama unavyojua kazi ya mwalimu ni nini lakini,kiukweli tukijua kazi zote za vyombo vyetu vya dola,TUTASHINDWA KUTAZAMANA NA KUSABAHIANA!
 
na

USALAMA WA TAIFA TANZANIA

kazi yake ni kuhakikisha CCM inabakisha madarakani milele.

ni zaidi ya unavyoweza kufikiria na hilo jukumu la u-CCM haliepukiki sababu viongozi wengi wa serikali pia wako chamani!
 
Tiss wao ni kutwanga mpunga na kulinda chama cha majambazi
 
usalama ni enzi za baba wa Taifa,siyo hawa wang‘oa kucha.Zamani ilikuwa mtu kabla hajaingia TISS anafanyiwa scouting kali na makini,kupima welewa wake,ujasiri wake,uzalendo wake kwa nchi,lakini kinyume na sasa watu wanaapply kwa mabwana wakubwa,matokeo yake ndo tabia za kung‘oa kucha watu,utekaji wa wazi wazi,kuuwa watu muhimu ambao ni rasilimali ya Taifa...
 
pamoja na pakistani kuonekana kuwa most powerfull lakini inaonekana kuwa ni agency yenye mamluki wengi sana na wanao vujisha siri. hata ukiangalia kwa swala la Osama bin laden ni wazi Pakistani walikuwa wamemficha lakini walikataa kukubali baada ya kuzidiwa akili na CIA na hii ili wezekana baada ya CIA kupandikiza watu wao ndani ya inteligencia ya pakistani na ikawa rahisi kwa marekani kumshika Osama.

Na inteligencia ya pakistani imeendelea kuwa dhaifu kutokana na mambo yanayo endelea nchini humo. Ni ukweli ulio wazi kuwa umuhimu wa inteligency agency ni amani na usalama wa nchi. hakika kwenye swala la usalama hii inteligency yao imeonesha kushindwa kwa kiasi kikubwa sana.

Mfano kipindi MAREKANI wamekwenda kuvamia Pakistani kumteka Osama hii inteligency agency ilikuwa wapi kushindwa kujua hayo? ubora wake uko wapi? walibaki wakilaumu amerika kwa uvamizi na hii lilikuwa pigo kubwa kwa hii Agency ambayo inaonekana ni most powerfull.

Sipingi hii reseach lakini nina maswali mengi kwa hii inteligency agency ya pakistani naona imekuwa dhaifu sana pamoja kuonekana kuwa na watu wake wengi sana duniani kolte, nini umuhimu wa hii agency kama inashindwa kuhakikisha usalama wa nchi husika.


Na C.I.A walikuwa wapi hadi mtu anaipiga World Trade Center? Na matukio kama ya Boston n.k
 
usalama ni enzi za baba wa Taifa,siyo hawa wang‘oa kucha.Zamani ilikuwa mtu kabla hajaingia TISS anafanyiwa scouting kali na makini,kupima welewa wake,ujasiri wake,uzalendo wake kwa nchi,lakini kinyume na sasa watu wanaapply kwa mabwana wakubwa,matokeo yake ndo tabia za kung‘oa kucha watu,utekaji wa wazi wazi,kuuwa watu muhimu ambao ni rasilimali ya Taifa...

Umenena mkuu,hiki kitengo kilikuwa na heshima sana enzi za Baba wa Taifa.Siku hizi tuna watu wa ajabu sana,kazi kutishia watu kwenye mabaa na kujitambulisha hovyo.
 
wahindi noma kumbe!

Nilisoma habari za makachero wa pakstani nikashangaa kwamba wao ndio wanaongoza. Lakini nikaja kushangaa zaidi kwamba makomandoo wa Marekani waliweza kuingia Pakstani tena na ndege na kumuua Osama bila wao kufahamu. Halafu pia nashangaa mabomu ya kujitoa muhanga kila siku yanalipuliwa huko. Mimi kwangu naona Mosad ndio nguli kwa kazi hii. lakini pia kuna wa Cuba amabo wamejizatiti na kupambana na CIA na kuonekana wao wameishinda.
 
I hv doubt in ur informatiom. How bt TISS?
to me ISI is the best due to.....
ISI for destroying the CIA network which was being runned by (killer CIA contractor) Raymond Davies, inside Lahore, Pakistan. After the killer was caught, a number of mobile phones, maps, hotspot destinations for the next CIA bombings were known. What also was recovered was nuclear designs which were to be handed to US backed militants operating inside Pakistan, all this was recovered inside this w****** car. The ISI also found out that the CIA are building a secret under ground tunnel at there embassy in Islamabad, thanks to this thugs mess, the tunnel was found and the work got cut. The ISI had shamed and exposed the CIA. Then shameless John Kerry then arrived Pakistan and begged for him to be pardon and eventully the shamed Raymond Davies was given the back door. Then in the weeks to follow Pakistan sent more than 500 US contractors back home and restricted any US contrators/workers from entering Peshawar by car from Islamabad, and that rule is still applying today!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom