Zijue Most Powerfull Intelligence Agencies duniani

Zijue Most Powerfull Intelligence Agencies duniani

Acha utumwa ndugu amka sasa sinto shangaa siku ukamponda mzazi wako wewe umeona ni Tanzania tu ndio isio kuwemo Japani,Canada,Afrika kusini,Venezuela,Ureno na nyingine nyingi hizo hushangai jifunze kusifia chako.
 
Wakuu nini majukumu makuu ya TISS, na imefanikiwa kwa kiasi gani?
 
Tiss ni noma ilimtengeneza babu wa samunge kuizima chadema.tehteh haaaaaa
 
Hakuna uhakika wa taarifa za mtoa mada soma link zifutazo:
1.Hii inasema India ndio ya kwanza
World's Most Powerful Intelligence Agencies
2.Hii inasema Australia ndio ya kwanza:
Top 10 – World’s powerful intelligence agencies : RAW, India
3.Hii inasema USA ndio ya kwanza
10 Best Intelligence Agencies in the World
4.Hii inasema Pakistani ndio ya kwanza
10 most powerful Intelligence Agency in the World (*) | thinsoul
===>Nafikiri umeona hapo.

Mkuu ukipitia hizo list zote utagundua hizo top ten agencies ni zile zile , sema arrangement yake tu ndo imetofautiana......ila kimsingi list ni ile ile.
 
TISS nafikiri wanaongeza east Africa but warwanda wanakuja juu sana


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Bado cjawa clear hapo ni most powerful in terms of what, secrecy, finance, ability ya intelligence
Very good Question.Aisee ktk ma genius na wewe ni mmoja wao. halafu naona humu ndani wapo wanaokandia TISS eti kwakulinganisha na intelligence Organisation kama CIA, MOSAD na nchi nyingine za ulimwengu wa 1. Nadhani tulinganishane na wenzetu wa 3rd World na tukilinganisha hivyo basi tutagundua kuwa tiss ni kati ya walioketi hightable
 
KHA ramadhani Inghondu hajapenya mbona>??? mtaalam wa kucha na meno bila ganzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom