Yombayomba
JF-Expert Member
- Aug 23, 2006
- 818
- 214
Kwenye issue ya Bin Laden, CIA waliuziwa taarifa na mmoja wa jasusi wa Marekani kwa donge nono sana. Ndio maana baada ya assassination hiyo, the Pakistan govt reacted fiercely kwa US na kukatokea timua timua.
Pale Pakistan hususan kwenye miji yao mikubwa kama vile Karachi, Lahore na Islamabad, kuna uwingi sana wa watu tena wenye fujo nyingi na mipango mingi sana haramu.
Lakini, kwa kiasi kikubwa sana wanadhibitiwa kupitia ISI na sio jeshi. Ila ni moja ya nchi za Kiislam yenye jeshi imara zaidi kuliko zote ktk ulimwengu huo. Wa kiislam.
Hivi unajua kuwa ISI iko chini ya Jeshi la Pakistani? na mkuu wa ISI ana report kwa mkuu wa Jeshi la Pakistani Gen Kayani, ambaye pia kabla ya kuwa mkuu wa majeshi alikuwa mkuu wa ISI