Zijue Most Powerfull Intelligence Agencies duniani

Zijue Most Powerfull Intelligence Agencies duniani

Kila siku mabomu yanalipuka na kuua mamilioni ya watu Pakistani sasa hiyo ISI inakuaje na ubora wakati haiwezi kudetect majanga haya erlier before...
 
Tatizo lingime siku hizi too often intelligence agents wanawekwa chips,wanaamrishwa electronically. Wanapewa maagizo ya kufanya assasinations kwa hizo chips. Kwa hiyo wakipewa kazi,you cannot reason with them to dissuade them.
Dr. Delgado was a pioneer of the technology of Electrical Stimulation of the Brain (ESB). The New York Times ran an article on May 17, 1965 entitled Matador With a Radio Stops Wild Bull. The story details Dr. Delgado's experiments at Yale University School of Medicine and work in the field at Cordova, Spain. The New York Times stated:

"Afternoon sunlight poured over the high wooden barriers into the ring, as the brave bull bore down on the unarmed matador, a scientist who had never faced fighting bull. But the charging animal's horn never reached the man behind the heavy red cape. Moments before that could happen, Dr. Delgado pressed a button on a small radio transmitter in his hand and the bull braked to a halt. Then he pressed another button on the transmitter, and the bull obediently turned to the right and trotted away. The bull was obeying commands in his brain that were being called forth by electrical stimulation by the radio signals to certain regions in which fine wires had been painlessly planted the day before."According to Dr. Delgado, experiments of this type have also been performed on humans. While giving a lecture on the Brain in 1965, Dr. Delgado said, "Science has developed a new methodology for the study and control of cerebral function in animals and humans."


Create a free website with Weebly


''Are these chips as sophisticated and advanced as you are told,no,-more so.''
 
CIA wanafanya sana covert operations,interference in the internal affairs of another country. Wakishindwa kuipindua Serikali by subterfuge,they find mercernaries to attack it.
Lakini kwa kawaida,wanapotaka kuipindua Serikali wanaweka mipango in place long before the need arises to do so,yaani kuipindua Serikali kwa watu wake,majeshi yake. Yaani hili ni lengo always la CIA,kuwa na uwezo kwa Serikali yoyote Duniani[of course here we are talking of banana republics],wa kuipindua at short notice.
 
mi nataka kujua, double agents wanapatikana vipi. yani inakuaje unakuwa recruited kwenye secret agency mbili

Cheki kuna series moja inaitwa ALIAS ipo mpaka season 5 na imekwisha , hapo utaona double agents ambavyo wanakuwa recruited. Kwa sababu series yenyewe imekwisha utaona hadi fate yao inakuwaje from old skull technology to new technology . Na kuna vikundi binafsi kwa spesho mission navyo vinakuwa na IS zao, na zipo powerful zaidi ya zile za serikali.
 
C.T.U Mkuu, hizi data umezipata wapi, mbona hata CCM (Tanzania) hakuna? Hili ni shirika linaongozwa na makachero uchwara wasiopenda maendeleo na ukitaka kuleta changamoto hapa nchini unazimwa kwa kumwagiwa tindi kali au kufunguliwa mashitaka. In short, they are very powerful in Tanzania, and their presence through the country iko unprecedented kiasi kwamba mtu haufurukuti.
 
Last edited by a moderator:
Bado cjawa clear hapo ni most powerful in terms of what, secrecy, finance, ability ya intelligence
 
Mkuu, hizi data umezipata wapi, mbona hata CCM (Tanzania) hakuna? Hili ni shirika linaongozwa na makachero uchwara wasiopenda maendeleo na ukitaka kuleta changamoto hapa nchini unazimwa kwa kumwagiwa tindi kali au kufunguliwa mashitaka. In short, they are very powerful in Tanzania, and their presence through the country iko unprecedented kiasi kwamba mtu haufurukuti.
ha ha ha ha umenena, hata wakikupiga ukazirai hawajui wanadhani umekufa.
 
ahsant mkuu, yani mimi imetokea kipenda hii kazi, huwa natamani kujua how are these stuffs going on! how do they work. yani ningekuwa nawaona hivi kwenye tv(not movies bt real things)
 
Kila siku mabomu yanalipuka na kuua mamilioni ya watu Pakistani sasa hiyo ISI inakuaje na ubora wakati haiwezi kudetect majanga haya erlier before...

ISI – Pakistan

With the lengthiest track record of success the best known Intelligence Agency is ISI. The Inter Service Intelligence was formed in 1948 just a year after the independence of Pakistan and it was created in order to strengthen the performance of this newly born country. Its success in achieving its goal without leading to any big invasion is indeed a feet which is unmatched and no one can ever compete this high profile yet the ever Best Intelligence in the World. It have absolutely no double agents since its history and this is the reason its one of the Top Agency. Some of the really interesting facts are that there officials are never caught on camera and it is above all the laws in its country. It is one of the least funded Intelligence Agency out of all these Top 10 and it has 10,000 really great agents working world wide




Formed
1948
JurisdictionGovernment of Pakistan
HeadquartersIslamabad, Pakistan
Agency executiveLieutenant General Ahmad Shuja Pasha, PA Director General

With the lengthiest track record of success, the best know Intelligence so far on the scale of records is ISI. The Inter-Services Intelligence was created as an independent unit in 1948 in order to strengthen the performance of Pakistan's Military Intelligence during the Indo-Pakistani War of 1947. Its success in achieving its goal without leading to a full scale invasion of Pakistan by the Soviets is a feat unmatched by any other through out the intelligence world. KGB, The best of its time, failed to counter ISI and protect Soviet interests in Central Asia. This GOLD MEDAL makes it rank higher than Mossad. It has had 0 double agents or Defectors through out its history, considering that in light of the whole war campaign it carried out from money earned by selling drugs bought from the very people it was bleeding, The Soviets. It has protected its Nuclear Weapons since formed and it has foiled Indian attempts to attain ultimate supremacy in the South-Asian theatres through internal destabilization of India. It is above All laws in its host country Pakistan ‘A State, with in a State'. Its policies are made ‘outside' of all other institutions with the exception of The Army. Its personnel have never been caught on camera. Its is believed to have the highest number of agents worldwide, close to 10,000. The most striking thing is that its one of the least funded Intelligence agency out of the top 10 and still the
 
mi najua israel ndio wapo juu kuliko mataifa mengine linapokuja suala la ujasusi.
 
Hizo mbili za kwanza ni sawa na NECTA na Form IV ya 2012! Please sahihisha au tafiti upya
 
pamoja na pakistani kuonekana kuwa most powerfull lakini inaonekana kuwa ni agency yenye mamluki wengi sana na wanao vujisha siri. hata ukiangalia kwa swala la Osama bin laden ni wazi Pakistani walikuwa wamemficha lakini walikataa kukubali baada ya kuzidiwa akili na CIA na hii ili wezekana baada ya CIA kupandikiza watu wao ndani ya inteligencia ya pakistani na ikawa rahisi kwa marekani kumshika Osama.

Na inteligencia ya pakistani imeendelea kuwa dhaifu kutokana na mambo yanayo endelea nchini humo. Ni ukweli ulio wazi kuwa umuhimu wa inteligency agency ni amani na usalama wa nchi. hakika kwenye swala la usalama hii inteligency yao imeonesha kushindwa kwa kiasi kikubwa sana.

Mfano kipindi MAREKANI wamekwenda kuvamia Pakistani kumteka Osama hii inteligency agency ilikuwa wapi kushindwa kujua hayo? ubora wake uko wapi? walibaki wakilaumu amerika kwa uvamizi na hii lilikuwa pigo kubwa kwa hii Agency ambayo inaonekana ni most powerfull.

Sipingi hii reseach lakini nina maswali mengi kwa hii inteligency agency ya pakistani naona imekuwa dhaifu sana pamoja kuonekana kuwa na watu wake wengi sana duniani kolte, nini umuhimu wa hii agency kama inashindwa kuhakikisha usalama wa nchi husika.
 
Mkulima mimi naona mkuu hujajibu swali la msingi lillo ulizwa. pamoja na hizi data na kinacho onekana kwa sasa ni mambo tofauti kabisa maana hiyo inteligency agency inaonekana kushindwa kabisa maana hata usalama wa nchi imeshindwa kuhakikisha au unataka kutuambia nini umuhimu wake kwenye usalama wa nchi? katika hili hii inteligency ina udhaifu sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkulima mimi naona mkuu hujajibu swali la msingi lillo ulizwa. pamoja na hizi data na kinacho onekana kwa sasa ni mambo tofauti kabisa maana hiyo inteligency agency inaonekana kushindwa kabisa maana hata usalama wa nchi imeshindwa kuhakikisha au unataka kutuambia nini umuhimu wake kwenye usalama wa nchi? katika hili hii inteligency ina udhaifu sana.
 
Last edited by a moderator:
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search

[TABLE="class: infobox vcard, width: 25"]
[TR]
[TH="class: fn org, colspan: 2, align: center"]Directorate for Inter-Services Intelligence[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #EFEFEF, colspan: 2, align: center"]
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH][/TH]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: infobox"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH][/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] Pamoja na kuonekana wali unda hii agency baada ya kuona kuna udhaifu kwenye agency nyingine hasa kukusanya taarifa lakini ni wazi kuwa hii agency walio unda bado ina udhaifu mkubwa katika kuilinda nchi na hata kukusanya taarifa muhimu kwa usalama wa nchi. pakistani ni nchi ambayo inaonekana kutokuwa na usalama kabisa pamoja na agency yao kuwa kwenye rank ya kwanza na bado napata shida na aliyefanya utafiti huu na kuweka rank.
Bado kuna haja ya kuangalia upya ubora wa inteligency agency ya pakistani.


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The Directorate for Inter-Services Intelligence (more commonly known as Inter-Services Intelligence or simply by its initials ISI), is the premier Intelligence service of the Islamic Republic of Pakistan, operationally responsible for providing critical national security and intelligence assessment to the Government of Pakistan. The ISI is the largest of the three intelligence services of Pakistan, the others being the Intelligence Bureau (IB) and Military Intelligence (MI). Previously in the 20th century, the ISI's work and activities have included the support of the Afghan mujahideen in then-communist Afghanistan against the Soviet Union in their war against the mujahideen (in conjunction with the Central Intelligence Agency) and later provided strategic and intelligence support to the Taliban against the Indo-Iranian backing the Northern Alliance in the civil war in Afghanistan in 1990s.[SUP][1][/SUP]
The ISI is the successor of the IB and MI formed after the Indo-Pakistani War of 1947 to co-ordinate and operate espionage activities for the three branches of the Pakistan Armed Forces. The ISI was established as an independent intelligence service in 1948 in order to strengthen the sharing of military intelligence between the three branches of Pakistan's armed forces in the aftermath of the Indo-Pakistani War of 1947, which had exposed weaknesses in intelligence gathering, sharing and coordination between the Army, Air Force and Navy. From its inception, the agency has been headed by an appointed three-star general officer in the Pakistan Army, despite officers from all three branches of the Pakistan Armed Forces being served and hired by the ISI. However, after the intelligence gathering and coordination failure during the Indo-Pakistani war of 1971, the Joint Chiefs of Staff Committee was created with a mandate to co-ordinate and supervise all military exercises and operations of the Pakistan Armed Forces.
The Chief of Army Staff recommends the names of the Director General, but official confirmation and appointment is needed from the Prime minister.[SUP][2][/SUP] The ISI is headquartered in Islamabad, Islamabad Capital Venue, and is currently headed by Lieutenant-General Zaheerul Islam who replaced
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom