Zifahamu Bunduki aina mbalimbali

sawa mkuu, hivi hizi mtu wa kawaida unaruhusiwa kumiliki?
zipo rifle ambazo mtu binafsi au private military company (PMC) kwetu ni hizi zinajiusisha na ulinzi zinaruhusiwa mtu binafsi kumiliki labda kwa uwindaji nk au kampuni hizi za ulinzi
but nyingi hapo ni za vita sheria hairuhusu kabisa na izi nyingi ni za Western huku tunazo nyingi from Russia na China
 
shukrani kwa ufafanuzi mkuu
 
Unaonekana kuwa na uelewa wa haya mambo. Tafadhali naaomba nijue yafuatayo:
1. Bastola inayokaa na risasi nyingi zaidi. Inauzwa bei gani.

2. Bunduki ya kiulinzi (siyo za kuwindia) ya kima cha juu ambayo mtu binafsi anaruhusiwa kuimiliki na inauzwa bei gani.

Ninatanguliza shukrani.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 

mkuu taratibu za umliki wa siraha ni wa ki police zaidi mm nipo mlengo mwingine
 

Kel-tecp50 hio inakaa na bullet 50
 
Long Range Competition MG
 

Attachments

  • FB_IMG_1691828672861.jpg
    68.9 KB · Views: 5
Egyptian Helwan 920
 

Attachments

  • images - 2023-08-12T112947.410.jpg
    7.2 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…