Ziara ya Hillary Clinton kuja: Picha na Matukio

Ziara ya Hillary Clinton kuja: Picha na Matukio


Jibu hoja acha kukimbia kama kuku alichinjwa shingo, hii ina maana upinzani haujulikaniki ? au ndio wameona kuongea na wapinzani ni kupoteza muda bure kwani upeo wao wa kufikiri ni mdogo ? haya jibu sasa


siku itakapowadia kuiondoa kwa nguvu hii serikali ya kihuni ndio watatutambua!
 
jamaa amekuja kutuibia tanzanite kwa bei ya kutupwa,unahis dr.slaa atakubali utumbo huo
 
Historia inaonyesha marekani haijawahi kutetea wanyonge, hivyo ni kweli amekuja kwa maslahi ya nchi yake au mwenyewe, but most probably maslahi ya chi. Hii ni sheria ya historia tu hatuwezi kuikana, marekani , ubeberu ni unyama
 
Angeonana nao, wale waliosema kuwa Chadema inapata hela nje toka us wangesema si mnaona?! Hii imeonyesha Chadema haina mda na wezi.. Sasa kwa mtazamo huo ccm ìje hadharani itamke kuwaunga mkono waasi wa Libya na iipinge Iran waziwazi. Si marekani akikuunga mkono ndo dili?! Tusisahau kumuwekea vikwazo Mugabe! Hivi usipoungwa mkono na marekani hujulikani?! Kumbe Chaves wa Venezuela, Castro wa Cuba, Ahmednejad wa Iran hawajulikani?! Kwa akili hizi bado mlikuwa hamjaletewa 'lishe' na wamarekani, sasa ngoja mletewe 'lishe' kama kizazi chote hakijawa mazezeta!!!
 
Kwa hiyo wapinzani hawajulikaniki? hii ni aibu aisee kama hata kwenye ramani ya vyama pinzani vya dunia hawajulikaniki, kweli wana safari ndefu ya kuongoza dola
Mkuu wapinzani wanajulikanika sana tu huko nje, tatizo wapinzani ni kikwazo cha wamarekani kujichotea rasilimali zetu.
 
Jibu hoja kwa nini Bi. Clinton, hajaonana na Dk Slaa si huwa mnasema dunia yote inamtambua Dk Slaa, kumbe ujanja wake Kilimanjaro na Arusha kumbe ata Marekani hawamjui
Tehetehetehete hahahahahaha uwiwiiiiiii! Nimeipenda hii jamani hapa sina mbavu! Hahahaa Slaa anajulikana Italy alikoenda kusomea Phd ya Ekaristi Takatifu!
 
Hakuja Tanzania kwa masilahi ya Watanzania amekuja Tanzania kwa masilahi ya Wamarekani. Simbion ni kwa masilahi ya wamarekani. Kama masilahi ya Watanzania yanatishia masilahi ya wamarekani Hirary atakuwa upande wa Wamaerkani. Hatapenda sauti ya watanzania ipae juu kuhusu undumilakuwili wa Taifa la Marekani na CDM wanalisema hilo. Marekani si rafiki wa Taifa linaloongozwa na wajanja. Mafahari wawili hawakai zizi moja.
 
Huo ni ujinga tu, tutaendelea kutegemea misaada mpaka lini? kama misaada inaleta maendeleo tumeshapokea misaada mingi sana tungekuwa tumeshaendelea. Tuache ufisadi, tutumie raslimali zetu kwa faida ya nchi , tutaendelea,
 
siku itakapowadia kuiondoa kwa nguvu hii serikali ya kihuni ndio watatutambua!
Ujanja huo muutoe wapi wa kuangusha serikali juzi tu Boss wenu Mbowe kalaala rupango night mbili na kujisaidia kwenye debe hamja fanya lolote! Mabinti nyie hamna ubavu kabisa! Kidogo CUF huwa wanatema cheche
 
hahaaa!!mnataka kuongea na mrs clinton.mna nini cha kusema zaidi ya majungu na kuomba pesa.hii inathibitisha kuwa chadema inadharaulika na haitambuliki ndani na nje ya nchi.umaarufu wake unaishia ubungo.tafuteni kitu kingine cha kufanya.mmefulia

Hold your breath, ataongea sana -2015! Na wakati huo hatuampigia simu kama nyinyi mlovyofanya, itabidi yeye atutafute na we will answer her call when we feel like it!!! Na tukipokea simu hatutachekacheka huku tukimuomba msaada wa lishe kwa watoto na vijisenti vya kuendeleza bustani za mbogamboga. Wala hatu-entertain hii barter trade ya vyandarua vya mbu! We will talk business and charge her accordingly. 4 yrs to go...
 
Je , hii ni kusema serikali ya marekani haiutambui upinzani wa Tanzania na kuuona kuwa hauna manufaa kwa watanzania?

swali zuri. kuna miradi mengi sana ya madini iliyobuniwa na ikulu ya white house hapa tanzania. suala la kuwa na interest na upinzania ama watanzania ni 3rd party issue. kwa taarifa yako clinton yuko hapa kukagua maslahi ya marekani kwa tanzania kwa faida ya wamarekani.

pole sana juha.
 
  1. The story of Agnes Shiu!!
  2. Tanzania is one of four countries in the entire world, one of only two in Africa, that were considered (by USA) eligible to be the first partners for growth
  3. The single biggest reason why development is not succeeding in Latin America, Africa, and Asia, it is because of the lack of energy, and the inability to deliver electricity to people where they can use it. In Tanzania USA have found a government and a people that understand this, She was convinced that this will not only be good for Tanzania, but Tanzania will be a model, not just for Africa, but for the rest of the world.
  4. Two American companies won bid to build power lines across this country and she was very proud of that because US Government wants more American companies competing for business in Africa. And we are going to take that message back to America, and urge them to get out here and compete for these foreign projects (yaani watakuja kwa wingi zaidi kuchukua miradi…)

    Huo ndiyo ujumbe kwa kifupi wa bibie.....haya tusuibiri kuona mwanga zaidi na USA kumiliki zaidi...

Bwegebwege we call that a fore sight, these Americanas are aiming higher for the poor country my Tanzania. Grabbing; kuna uranium, kuna gold, kuna chuma Liganga, kila kitu kipo hapa TZEEEEEEEEE. Hivyo tusubiri hawa viongozi wetu wachoyo waendeleze libeneke ya kuuza na kufilisi nchi yetu, sijui bunge wanayo taaarifa CDM vipi mmelala?????????
 
Mkeka si wakusalia sasa kupanda miti na mkeka wapi na wapi wajameni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom