Uliza_Bei
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 3,216
- 994
SYMBION ni utapeli wa wamarekani kwa Tanzania na kama mama Clinton alikwenda kukagua mitambo yao sasa kwanini tumlaumu kwa kutopanga kuonana na upinzani wanaosema SYMBION ni haramu. Mwacheni leo aongee na mwenye nchi aondoke hana jipya kwa maendeleo ya nchi hii