Ziara ya Hillary Clinton kuja: Picha na Matukio

Ziara ya Hillary Clinton kuja: Picha na Matukio

Nimefurahi sijui kama wanapita pita humu jamvini waone aibu yao vile.
 
hahaaa!!mnataka kuongea na mrs clinton.mna nini cha kusema zaidi ya majungu na kuomba pesa.hii inathibitisha kuwa chadema inadharaulika na haitambuliki ndani na nje ya nchi.umaarufu wake unaishia ubungo.tafuteni kitu kingine cha kufanya.mmefulia

Notmar ni lugha ya kigiriki inayomaanisha kubwa jinga,zezeta,mtu asiye na maana,masema ovyo.........nadhani umechagua identity nzuri...good work.
 
Angekuwa ametembelea chadema wala msingeponda hivo, kama wazungu ama wamerekani ni wezi mbona mkichakachuliwa mnakimbilia kwenye balozi zao. Huu unafiki huu,
mke akikosea unamshitak kwa mumewe,habari ndo hiyo
 
Genius Brain,

Hivi kweli kweli wewe ni mtanzania?
Hivi kweli kweli wewe unauchungu na hii nchi yetu?
Hivi kweli wewe una uzalendo hata punje?
Hivi kweli wewe sii tahira?

Hivi kweli unaweza kujisifu lidume likitinga ndani ya chumba chako na kumshughulikia mkeo kisa mzungu?

Hivi kweli unaweza kujisifu ikiwa ndugu yako akigongwa na gari na kufa kisa gari lililomgonga ni BENZ?

Hivi kweli wewe unadhani CHADEMA kuonana na mzungu ndio suluhisho la matatizo yetu ?

Hivi kweli wewe upo au ni upepo tuu ?
 
Wamarekani siku zote hawapendi challenge ndio maana huwa wanaongea na mazuzu tu, wanajua yataishia kuwashangilia hata wakiongea utumbo.

Wao ndio wameogopa kuongea na watu wenye akili. Wako kiwizi zaidi na wajanja hawawezi kuibiwa. Endeleeni kuwashangilia wao wanaondoka na uranium eti wanawaletea msaada wa lishe.

Hivi tumelogwa sisi, yaani mpaka lishe hatuwezi kuwapatia watoto wetu mpaka msaada? Na baba ambaye anakubali hata chakula cha watoto wake asaidiwe, aangalie sana atakuja porwa mke wake na asiwe na la kusema. Angalia misaada yao ndio utajua hapa tunaibiwa, vyandarua, lishe kwa watoto na upuuzi mwingine kibao. Namuona zuzu mwingine pale yule aliyepinda anashangilia tu hata aibu hana.
 
Sasa huyu mzee kawekewa mkeka halafu anakanyaga na maviatu yake si bora wasingemuwekea tu!
0001.jpg
 
Jibu hoja acha kukimbia kama kuku alichinjwa shingo, hii ina maana upinzani haujulikaniki ? au ndio wameona kuongea na wapinzani ni kupoteza muda bure kwani upeo wao wa kufikiri ni mdogo ? haya jibu sasa

Unataka ujibiwe mara ngapi? unaambiwa huyu mwanamke alishiriki kumuuwa Sheikh wetu mandevu Osama na mzoga wake wakaenda kuutupa baharini, wewe leo unamuona wa maana?
 
Mwizi akutane na wenye uchungu na nchi!!!Wewe kwenye pepo ulaya hakai siku 2 hapa kwenye vumbi akite siku 3?Bush aliyekuja kuweka mikataba ya kuuziana nchi kakita siku 4 nauoga wawamarekani!!!Wewe inakuingia kichwani?Wakati anajua akiwapa platform wapinzani wataoji kwanini nchi yao inaujumiwa?
Hivyo huku nishamba lao! Nasisi........>>>>

Tukubali tu hii ni dharau kwa wapinzani , na kelele zote hizi wanazo piga hata Taifa kubwa aka Rais wa dunia hawawajui
 
Upinzani wa Tanzania ni feki na upo kwa maslahi binafsi sio ya umma.Anawafahamu siasa zao zisivyo za maendeleo bali kutaka madaraka tu kwa njia zozote zile.Hivyo serikali ya Marekani na Clinton inajua fika upinzani wa kweli haupo bali upo katika nadharia.Marekani inaonekana kuwa na imani kubwa na serikali ya Jakaya M Kikwete na inauona ukweli kwamba sio leo au kesho wapinzani hawawezi kushika dola kwasababu ya siasa zao za chuki na kutokuwa strategic.
 
Genius Brain,

Hivi kweli kweli wewe ni mtanzania?
Hivi kweli kweli wewe unauchungu na hii nchi yetu?
Hivi kweli wewe una uzalendo hata punje?
Hivi kweli wewe sii tahira?

Hivi kweli unaweza kujisifu lidume likitinga ndani ya chumba chako na kumshughulikia mkeo kisa mzungu?

Hivi kweli unaweza kujisifu ikiwa ndugu yako akigongwa na gari na kufa kisa gari lililomgonga ni BENZ?

Hivi kweli wewe unadhani CHADEMA kuonana na mzungu ndio suluhisho la matatizo yetu ?

Hivi kweli wewe upo au ni upepo tuu ?

Jibu hoja , hizo zote ni porojo. Hii ni dharau kubwa kwa CDM a.k.a MAGWANDA kati hata kwenye siasa za kimataifa hawajulikani sasa dola kweli tuwakabidhi watu kama hawa kweli, hamia hamia hamia kwenye chama tawala
 
Upinzani wa Tanzania ni feki na upo kwa maslahi binafsi sio ya umma.Anawafahamu siasa zao zisivyo za maendeleo bali kutaka madaraka tu kwa njia zozote zile.Hivyo serikali ya Marekani na Clinton inajua fika upinzani wa kweli haupo bali upo katika nadharia.Marekani inaonekana kuwa na imani kubwa na serikali ya Jakaya M Kikwete na inauona ukweli kwamba sio leo au kesho wapinzani hawawezi kushika dola kwasababu ya siasa zao za chuki na kutokuwa strategic.

Hii ni kweli kabisa, sasa watu ndio Tz kwenye siasa za kimataifa tuko vizuri, sasa maskini padri wetu hata kenya tu hapo hawamjui kweli dola atashikaje sasa
 
Yaani mtu kafikiri kawaza, akaja na hii hoja ya mrs clinton kutoonana na Chadema! kweli mtu kama huyu ametumia kichwa kufikiri au.. yaaani napata tabu kutambua uelewa wa mtu kama huyu. fikira zangu zinanieleza kwamba mwoga siku zote ataendelea kuwa mtumwa wa uoga, na hapa mtasema sana jina la Chadema maana mnaliogopa, kila kukicha Chadema, jama hamna jipya!

Clinton akikutana na Chadema utasema kwamba anataka kuwapa pesa wavuruge amani! yaani hamatakosa la kusema, ila pia pamoja na kwamba wengi tunafahamu ujio wa clinton ni maslahi zaidi! ila pia ni mgeni wa serikali hivyo serikali ndio walifaa wampangie ratiba, pia nafikiri hata chama kinachoitwa ccm aka magamba nao hajakutana nao au mnasemaje?, naa kama serikali ingepanga clinton akutane na chadema nafikiri kama anampango wa kuinua TZ kiuchumi angejipanga upya maana hata kama atatoa hizo pesa ambazo ni zetu zinazopelekwa kwao na Barrick gold ya Bush zitatafunwa na magamba kwa mfumo wa utawala uliopo, laiti angekutana na Chadema wangemwaga mchele na huyu mama angeona jinsi pesa hizi zitakavyotafunwa.
 
Jibu hoja kwa nini Bi. Clinton, hajaonana na Dk Slaa si huwa mnasema dunia yote inamtambua Dk Slaa, kumbe ujanja wake Kilimanjaro na Arusha kumbe ata Marekani hawamjui

Ha ha haaaaaa, hii imetulia sana mkuu ! sasa dunia ipi hiyo ambayo Slaa anajulikana kama wenye demokrasia halisi hawamjui
 
Katika ziara za mataifa mengi ya duniani ambapo viongozi wa ngazi ya juu wa marekani na hasa hasa ikiwa ni Rais au Waziri wa mambo ya nchi za nje, wamekuwa na kawaida ya kukutana kwa mazungumzo na viongozi wa serikali pamoja na wa upinzani ili kujua hali ya kisiasa ya nchi kwa mantiki ya kurekebisha wao wakiwa kama Taifa kubwa , na lililoendelea kidemokrasia duniani. Ila kwa Tanzania , Mh. Hillary Clinton, amefanya mazungumzo na viongozi wa serikali tu, pasipo kuwepo na mazungumzo na wapinzani.
Je , hii ni kusema serikali ya marekani haiutambui upinzani wa Tanzania na kuuona kuwa hauna manufaa kwa watanzania?

Hapo ndio wapinzani wagundue kuwa mbinu zao za kuchochea vurugu hazina msingi na zinazidi kuwapandisha chati ccm huko majuu. Tena wamedharauliwa kwelikweli
 
lakini nimesikia magazeti mengi ya leo yakireport juu ya kauli alizotoa. Mfano anasema sasa USA imeamua kuchukua hatua za kumaliza mgao wa umeme mpaka 2015, kuondoa njaa, tatizo la ajira kwa Watz, kuokoa maisha ya akina mama na mambo mengine tu!
Huo ni ushahidi kuwa wamarekani wametuonea huruma na matatizo tuliyonayo na kuamua ku intervene na kushughulika moja kwa moja na matatizo ya Watz.
So, kutowaona wapinzani labda tusubiri maana wanaweza labda wakawa na mawazo tofauti ya system gani watakayoitumia (structure ya utawala) mbali na hii iliyoshindwa ili kukwamua nchi.
 
Yaani mtu kafikiri kawaza, akaja na hii hoja ya mrs clinton kutoonana na Chadema! kweli mtu kama huyu ametumia kichwa kufikiri au.. yaaani napata tabu kutambua uelewa wa mtu kama huyu. fikira zangu zinanieleza kwamba mwoga siku zote ataendelea kuwa mtumwa wa uoga, na hapa mtasema sana jina la Chadema maana mnaliogopa, kila kukicha Chadema, jama hamna jipya!

Clinton akikutana na Chadema utasema kwamba anataka kuwapa pesa wavuruge amani! yaani hamatakosa la kusema, ila pia pamoja na kwamba wengi tunafahamu ujio wa clinton ni maslahi zaidi! ila pia ni mgeni wa serikali hivyo serikali ndio walifaa wampangie ratiba, pia nafikiri hata chama kinachoitwa ccm aka magamba nao hajakutana nao au mnasemaje?, naa kama serikali ingepanga clinton akutane na chadema nafikiri kama anampango wa kuinua TZ kiuchumi angejipanga upya maana hata kama atatoa hizo pesa ambazo ni zetu zinazopelekwa kwao na Barrick gold ya Bush zitatafunwa na magamba kwa mfumo wa utawala uliopo, laiti angekutana na Chadema wangemwaga mchele na huyu mama angeona jinsi pesa hizi zitakavyotafunwa.

CDM a.k.a Magwanda , kweli mmedharauliwa sana bana ! kila siku mkiwa na malalamiko mnawapelekea pale ubalozini wao, leo wamekuja hata kuwaona hawataki kwani wameisha waona ni mazuzu na fikra mgando bana, poleni wana MAGWANDA
 
Motmar, I think you are stupid the way you dare post your comments. Infact the american are not your respecter, they are actually after weak leaders they can lure and reap resources from you. They are are after their interests and not for the betterment of the Tanzanians. Just imagine, how long has symbion power has been here? Not even a month, but wameishakwend kwa kikwete na tayari wamekubaliwa kandarasi la kugawa umeme. Just to open your mediocre eyes, Mrs Clinton's trip here is to cement the the bid/deal. This is just an obvious example but there much more. Wasingeweza kuongea na chdema au chama chochote cha upinzani because maslahi yao yako secured by JMK. Think about the big picture!
Kaka unarudi lini Bongo? Tangu uende US hujarudi bongo mwaka wa 9 sasa! Jamaa zako home huna time nao kabisa hata hela ya matumizi huwatumii! No haifai bwana kama life iko tight huko njoo home tutafute maisha kibongobongo maisha sio abroad tu ni popote bana! Njoo nyumbani kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom