Hivi mnajua ile seal ya marekani ina maana gani?. mguu mmoja yule Eagle ameshika mishale 13, na mguu mwingine kashika maua!.
Upande wa mishale, maana yake ni kama kile walichokifanya Vietnam, Iraq, Nicaragua, Vietnam na sasa wanachokifanya Libya. ukihesabu idadi ya watu waliowaua katika vita hizo, ni mamilioni ya watu.
Upande wa Maua ni kama walivyotoa vyandarua, na ARV na sasa mama Katuletea umeme " kwa kununua mitambo ya DOWANS".
Pande mbili za Eagle ndiyo hicho kinachoitwa "no permanent friends or enemies, but permanent interests".
Tukijiweka karibu na hawa jamaa itakula kwetu, kuna so many dark moves zinafanyika behind the scenes.
Nchi za Kifreemason kama hii Marekani, ni nchi za kudeal nazo kwa umakini mkubwa sana, otherwise mtajikuta mmeingia kwenye mapigano ya wenyewe kwa wenyewe bila kuja hasa mnapigania nini. Viongozi wetu inabidi wawe makini sana!.
Naona sasa Obama, anajaribu kufanya moves aonekane "aliisaidia Afrika", lakini Waafrika wengi wamekuwa dissapointed nae sana kutokana na ishu ya Libya.