Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 40,609
- 52,340
Mbona mnabwabwaja tu bila mifano....mwageni bana, wapi kachemka tuchangie mada!!
fungua eastafrica radio. na wewe usiwe kama usoelewa.
Mbona mnabwabwaja tu bila mifano....mwageni bana, wapi kachemka tuchangie mada!!
..@Red. Nakuunga mkono, Bujibuji huwa ni full comedian, kama huyo Comedian ktk avatar yake. hhaaaaaabujibuji kwa mwaka huu leo ndiyo siku umeandika kitu chenye akili. zembwela ni mtangazaji mzuri ila ushindani unamshinda kwa kuwa hana ujuzi wa hiyo kazi hivyo anaishia kubishana bishana tu bila utaratibu mzuri. zembwela wewe ni rollmodel wangu, nenda shule mwanangu, only part time inatosha kabisa.
Hivi mengi alitumia vigezo vipi kumpa ajira.,kilaza kama zembwela.
Upeo wake ni mdogo kwa kazi anayofanya.Anabisha kwa hasira na sauti ya juu ili kuwaziba mdomo wanao piga simu.
Ana tabia mtu akipiga simu alafu hakukubaliana naye anamponda live.
Na huwa anakatabia ka kutompa Baruti muda wa kuongea.
Cha kuchekesha AKA yake ni mfalme wa amani.(haindani kabisa na anachozungumza radioni labda kwa watu wenye upeo mdogo watamwelewa)
Kiwango cha elimu atujuze mwenye ufahamu tafadhali
Kapata Division 4 pale Nuru Lyakin Secondary School alikuwa **** tu tena jina lake Hilary hana akili mwendawazimu tu huyo anatafuta sifa..hilo ni tatizo la cheap labour.
Upeo wake ni mdogo kwa kazi anayofanya.Anabisha kwa hasira na sauti ya juu ili kuwaziba mdomo wanao piga simu.
Ana tabia mtu akipiga simu alafu hakukubaliana naye anamponda live.
Na huwa anakatabia ka kutompa Baruti muda wa kuongea.
Cha kuchekesha AKA yake ni mfalme wa amani.(haindani kabisa na anachozungumza radioni labda kwa watu wenye upeo mdogo watamwelewa)
naombeni kujua kiwango chake cha elimu.
bujibuji, huyu bwana anaboa sana aisee