Zembwela nenda shule...... You will prosper

Ni kweli nlishamsikiliza recently once ana-crash wasikilizaji na anataka watu wafikirie kama anavyotaka yeye na anataka watu wamuunge mkono na kusifiwa-nadhani ilikuwa ishu ya jk na 50 kama sijakosea
 
Makanjanja,cku hizi kufanya kazi redioni( radio presenter) haiitaji uwe umesoma wala nini.Tunajua mtindo huu wakuwatafuta vijana wenye vipaji vya kuchekesha,mc na kuongea ndo wanatumika saana.Mfano wa redio mbao hizi za mikoani,Ebony,clouds,overcomers,vision,kasibante,nuru etc. Zembwela alipata mzigo kwakuwa anajua kuongea,kuchekesha,taarab etc lakini ata hivyo vyuo ambavyo siku hizi vimeshamiri vinatoa taaluma nzuri kwa watangazaji na waandishi wa habari..?
Zembwela hawezi kwenda shule kwani ata kupata hiyo job ajatumia vyeti wala nini.
 
bujibuji kwa mwaka huu leo ndiyo siku umeandika kitu chenye akili. zembwela ni mtangazaji mzuri ila ushindani unamshinda kwa kuwa hana ujuzi wa hiyo kazi hivyo anaishia kubishana bishana tu bila utaratibu mzuri. zembwela wewe ni rollmodel wangu, nenda shule mwanangu, only part time inatosha kabisa.
..@Red. Nakuunga mkono, Bujibuji huwa ni full comedian, kama huyo Comedian ktk avatar yake. hhaaaaaa
 
mbumbumbuuu...analetaaa ukomedianiii,mbishiiiiiii.hanaaa hojaaa,this man is boring mbayaaaaaa...anaongeaa matopeeee.cheap cost....east africa wana pay cheap so inawagarimu.
 
Upeo wake ni mdogo kwa kazi anayofanya.Anabisha kwa hasira na sauti ya juu ili kuwaziba mdomo wanao piga simu.
Ana tabia mtu akipiga simu alafu hakukubaliana naye anamponda live.
Na huwa anakatabia ka kutompa Baruti muda wa kuongea.
Cha kuchekesha AKA yake ni mfalme wa amani.(haindani kabisa na anachozungumza radioni labda kwa watu wenye upeo mdogo watamwelewa)

naombeni kujua kiwango chake cha elimu.
 
Kapata Division 4 pale Nuru Lyakin Secondary School alikuwa **** tu tena jina lake Hilary hana akili mwendawazimu tu huyo anatafuta sifa..hilo ni tatizo la cheap labour.
 
Wanaforum sometimes i don't understand Some JF member coz some are pathetic and time wasters who can tarnish your name.
These people writing non-sense all the time instead of working towards bettering their life you they are busy writing non-sense. You can name few members if you like!
Stop yapping and just appreciate the guy. Most Tanzanians have a degree of seeing others have fallen down but guess what? It's God who has our destiny..
All I can say is, may God help you realize yourself coz if you don't you will die thinking about this guy who doesn't even know you and got no time for people of your calibre..
Get a life!!
 
Wakuu nimegundua tunatatizo kubwa sana la kutokuwa na exposure juu ya mambo mbali mbali
Watu tumezoea kuangalia na kusikilza CNN, BBC, ELJAZIRA nk na tunadhani wanavyotangaza hawa ndio tv na radio station zote dunia ndio zinavyotangaza.

Jamani huko mbeleni kwenye ustaarabu wa dunia tunako copy kilakitu kuna hadi vichaa wanatangaza radio na tv, inategemea na tv gani na programu gani

Kuna watangazaji hawajasoma kabisa usa na uk lakini ni maarufu na mamilionea wakubwa kutokana na vipindi vyao

EA radio ni radio ya starehe na Zembwela ni komediani na yupo pale kwa yale unayoyaona anayafanya na ndio yalimpa sifa ya kuajiriwa pale(ingawa hupendi), na kuna wenzako haipiti siku bila kukisikiliza na kupiga simu kipindi kile ili tu asikie Zembwela atasema nini, ndio burudani yao

Kuna radio na tv programu nyingi sana hapa bongo
Its a matter of being in right place at right time badala ya kuja hapa na kufungua mi sredi ya malalamiko tuuu wakati wenzenu wana meet target zao

Kalaghabaho
 
Kapata Division 4 pale Nuru Lyakin Secondary School alikuwa **** tu tena jina lake Hilary hana akili mwendawazimu tu huyo anatafuta sifa..hilo ni tatizo la cheap labour.

mzeewanjaa si ndo kaambiwa aende shule hayo yote ya nini tena jamani.
 
No body kicks a dead dog,na mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe..What we need now is people like zembwela na radio ea radio ambayo haiogopi kuanzisha mijadala ambayo inawafanya watu wafikirie na kuondoa uwoga..Watanzania badilikeni..wewe kama unadhani Zembwela is not making sense ,its vry simple dont LISTEN zikiliza vipindi vya umbea na ushoga..BADALA YA KUWEKA MASWALA YA MAANA NA MAENDELEO UNAWEKA MAJUNGU..BIBILIA INASEMA KABLA YA KUTOA KIBANZI KILICHOPO KWENYE JICHO LA MWENZAKO ONDOA BORITI ILIYOPO JICHO MWAKO...KIPINDI HIKI CHA SUPER MIX KIPO JUU NA VIJANA HAWA WANAJITAHIDI SANA NA NAWASIKILIZA KILA SIKU .

HAO VIJANA SIO MUNGU AU YESU ,WANA MAKOSA YAO YA KIBINADAMU KAMA MIMI NA WEWE TU.HATA RAISI WA NCHI HII AU OBAMA WANA MAKOSA YAO..KAMA UNAJUA SANA KAOMBE NA WEWE KAZI EATV UPELEKE HUO UPROFESHENO WAKO...

TUNATAKA MADA ZA MAENDELEO SIO UMBEA....

KAMA KUSOMA DILI KASOME WEWE ILI UWE NA KAZI NA SIO KUWEKA COMMENT AT 10AM..THIS SHOWS YOU DONT HAVE ANYTHING TO DO NA UNASIKILIZA SUPERMIX.
 
Kipenzi cha wachache,mchukiwa na wengi na wale mabinti wasiolewa wanamwita "mume wangu"

Upeo wake ni mdogo kwa kazi anayofanya.Anabisha kwa hasira na sauti ya juu ili kuwaziba mdomo wanao piga simu.
Ana tabia mtu akipiga simu alafu hakukubaliana naye anamponda live.
Na huwa anakatabia ka kutompa Baruti muda wa kuongea.
Cha kuchekesha AKA yake ni mfalme wa amani.(haindani kabisa na anachozungumza radioni labda kwa watu wenye upeo mdogo watamwelewa)
 
bujibuji, huyu bwana anaboa sana aisee

Kwa kweli mimi sijapata muda wa kumsikiliza vizur kwa maana mimi nasikiaga tu kwa kipindi kifupi wakati nikiwa kwenye gar naelekea au kutoka kazini. Kimsingi mimi naona huyu jamaa anapotential kubwa mno, kama ni kweli anatangaza hivyo bila profesiona skills basi huyu jamaa akienda shule atakuwa mtangazaji m,aridadi sana. So zembwela nenda shule kaka angu uboreshe kipaji ulichonacho.
 
Hakuna aliyembeza, anachofanya ni kitu kizuri ila ana mapungufu ambayo yanatokana na ukosefu wake wa elimu.BEBERU KAPIGE BUKU KIDOGO JEMBE UJE KUENDELEA NA MAPAMBANO, UNAWEZA.
 
Back
Top Bottom