janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Last edited by a moderator:
baby Jesus Loves you, usiwe mtu wa dunia honey nakukumbushaga kila siku, usijazwe na dhambi bali ujazwe na roho..
Mimi sijamtetea nimesema mwombee....sawa my douta yameisha mama sawa eeh?
dogo aunt miss neddy akipita hapa sijui..
heeee namsubiri aje, ntafurahi kumuona
haya mdogo wangu, afu Dogo ongea na Shem vizuri mwambie mbele ya wakwe udigitali auweke pembeni anaropoka hadi sio vizuri....
Mbona nina karatasi la talaka hapa, kila siku naliangalia tu..lol
mmmh talaka tena unataka kutoa au umepewa
jioni nitakuwa maeneo ya car wash moshono... nipitie upate Ndovu special malt mbili tatu..
kiwatengu naona my husband First Born amemaliza yote
Moshono kuna carwash nyingi mkuu First Born sijui unazungumzia ipi ya supermarket au ya kule mbele karibu na shule au ya hapa corner ya Kijenge mwanama
nazungumzia car wash maarufu moshono.. masai camp kituo kinachofuata cha daladala, hapo supermarket..
haya mdogo wangu, afu Dogo ongea na Shem vizuri mwambie mbele ya wakwe udigitali auweke pembeni anaropoka hadi sio vizuri....
halafu bahati mbaya hizo malta nina allergy nazo kitu castle lite bana baridi ndo inashuka aise First Born