mama mkwe kwa hiyo avator unamwangu baba in law wangu..
baby nikushukuru sana kwa kuweka picha ya ndoa yetu tamu, kama avatar yako, love mingi kwako hani
Wewe ulipokuja kumuoa romantic eyes ni nani aliekukabidhi? Sasa iweje Leo
Ujiunge na UKAWA kumtafuta baba yako mkwe? Mrudishe kwanza binti yangu home!
my sister.... tell me nimekumiss
bimkubwa naomba nisikilize ujue bila kiwatengu kina shangazi wasingetuita sisi wakimbizi, baba saizi anadai kina ant watajiju na ukoo wao unaona kafanya jema? labda nikae na wewe mom utuambie baba yetu ni nani na yuko wapi?
kwani ulikuwa wapi wewe?
mzima lakini...
Heri wajue ukweli mapema... shangazi zako wana akili sana!!
yaan daddy huyu hata akigoma kunirudisha ntamtoroka tu
We mtoto umekua eeeh? Au kwa sababu ninachokifanya na baba yako na wewe unakifanya na mumeo ndio maana unaona tuko sawa? Baba yako humjui wewe?
afu mmeo simwelewi elewi vile...
heeee mummy usiwe mkali hivyo, dada kauliza tu
umeshinda wapi mamy, Dogo nataka tuwe na maongezi na mom ukiwa na muda nambie kuna jambo linaniumiza, tuko wawili tu mwenzangu tukae chemba tuzungumze...
We mtoto umekua eeeh? Au kwa sababu ninachokifanya na baba yako na wewe unakifanya na mumeo ndio maana unaona tuko sawa? Baba yako humjui wewe?
Aisee kabang yako iko fiti?