mkuu hakuna usaliti hapa
Last edited by a moderator:
mkuu hakuna usaliti hapa
Kuliko mimi?
We mwana tabia ya kuchukia watu amekufundisha nani?
We mwana tabia ya kuchukia watu amekufundisha nani?
We mwana tabia ya kuchukia watu amekufundisha nani?
hata mm nashangaa..
bimkubwa naomba nisikilize ujue bila kiwatengu kina shangazi wasingetuita sisi wakimbizi, baba saizi anadai kina ant watajiju na ukoo wao unaona kafanya jema? labda nikae na wewe mom utuambie baba yetu ni nani na yuko wapi?
kiwatengu naona my husband First Born amemaliza yoteasante ndugu mwandishi kiwatengu..
kwa kweli ndoa yangu na romantic eyes iko strong na tunamuomba mungu atuepushe na majaribu..
otherwise challenge ndogo ndogo ni moja ya hatua za maisha..
unamshangaa nani? Shem mwambie mdogo wangu aje nyumbani nina maongezi nae please...
Heri wajue ukweli mapema... shangazi zako wana akili sana!!