Zekidoni & Khantwe

Zekidoni & Khantwe

Yaani namheti kiwatengu mimi cheki alivovuruga ukoo mzima ndugu wanagombana, kina shangazi wamechachamaa hadi naogopa kuingia humu ndani nimekaa tu huku nalia mie...

Douta usimchukie muombee tu
 
Last edited by a moderator:
Anataka mvua ya mawe....mpe mie nipumzike lol

Wewe naona masikio na macho umeziba. Wewe ngoja nikukomalie tu huku kwa bibi kalimbwana, skadi moja tuu utajikuta umemuacha kaka angu na umerudi kwenu kuchana mbao. Siongei sana na ww, actions tu
 
Weeee kaka yako nnavyompenda sasa.....na ukiendelea kuchonga utajikuta undugu umeisha...switie wangu hanaga mchezo na watu wanaonighasi kama wewe
 
Douta usimchukie muombee tu

Mmh yaani mom hadi nashindwa kuelewa...nakupenda mamaangu endelea kuwa strong wataacha wenyewe, nimefurahi my dadii Ntuzu yuko pamoja na wewe nawapendaaa....
 
Last edited by a moderator:
Weeee kaka yako nnavyompenda sasa.....na ukiendelea kuchonga utajikuta undugu umeisha...switie wangu hanaga mchezo na watu wanaonighasi kama wewe

Kwani anajitambua sasa, ni hivyo vidawa ulivyomuwekea. Nimeviona vyote kwenye TV ya bibi kalembwana. So anza tu kufungasha hapo
 
Yaani namheti kiwatengu mimi cheki alivovuruga ukoo mzima ndugu wanagombana, kina shangazi wamechachamaa hadi naogopa kuingia humu ndani nimekaa tu huku nalia mie...

kabanga huyu mtu umemtafuta kwa muda mrefu..
gap hili hapa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom