Umeliona bango langu?
..Usiku ulikuwa mrefu sana kwangu hata sikulala nikiwaza leo nitakuona wapi tuongee..!
sasa si unieleweshe kidogo tu....Bora tu usielewe tcha wangu pana makubwa hapa hadi roho inaniuma...
I wish unge stay
mkuu tahadhari yako ni yakuchukua kwa uzito wake..
sema "zimwi likujualo halikuli likakwisha"..
Eeh...pamoja na redihendedi yote
hujui faida yakupata mzzaramo?
Heaven Sent a u my fellow zaramo!!
Mbona mie sijaiona hiyo...!
Umeliona bango langu?
..Usiku ulikuwa mrefu sana kwangu hata sikulala nikiwaza leo nitakuona wapi tuongee..!
hapana bango sijaliona
Hahahaaa una raha mkeo mpole ye huwa hapigi kelele anapita kimya ila anakujulisha kuwa amekuona....
Hahahaaa una raha mkeo mpole ye huwa hapigi kelele anapita kimya ila anakujulisha kuwa amekuona....
Zekidoni akisikia hapa lazma ajiibishe hata kabla hujamwiba! lol..
Yaani wewe ukiingia tuu huku unanzana na mimi na mchepuko wangu miss chagga
Siku hizi miss chagga amepata buzi la kutoka Geita Gold mine lina hela hilo ndo kaishaia huko aise ]
Mimi na mke wangu Dena Amsi tumebaki kama tulivyoanza wapendanao halisi
cc kiwatengu
angekuwa na mke kama Heaven Sent kwa kweli huo mtanange wake sijui ingekuwaje?