Zekidoni & Khantwe

Zekidoni & Khantwe

Marihaba binti yangu, mama yako mzima kabisa!

Alafu Yule shemeji yako First Born nataka nimuonye maana simuelewi? Kutwa kumfatafata mama yenu?

baba nakulindia, mtt mzuri ni yule anaekupa taarifa za mjomba kuja jana usiku wakt wewe ukiwa safari..
 
Last edited by a moderator:
Marihaba binti yangu, mama yako mzima kabisa!

Alafu Yule shemeji yako First Born nataka nimuonye maana simuelewi? Kutwa kumfatafata mama yenu?

Mwenyewe simwelewe hata ile heshima ya mkwe haipo, nadhani hamwoni mwenzie@mwanyasi akimwona mama mkwe anapita mbali wanakutana katika matukio maalumu..
 
Last edited by a moderator:
Mtabaki na vijiba vya roho mke wangu Khantwe simuachi ng'ooooo

Tena km wewe kadogo ketu miss neddy uache kabisa kunifatilia anga zangu! Mke wangu katulia hajui kuchepuka Alafu wewe unaleta umbeya hapa?

Alafu mwallu jiandae kuna kutoa jina wifi yako yuko karibu kupata mtoto wa tatu!

gahahaha watoto wote umebambikiwa lol
 
Last edited by a moderator:
Duuh... Khantwe wii...umemfanya nini kaka yetu?

Hana kambi bana...anasema ukweli tu



Mtasema sn Lkn kunibandua kwa wifi yenu hamtoweza!

Na Huyo Honey Faith namuangalia tu! Juzi tu alikuja kwangu kadundwa na kamme kake hakampi ata matumizi nikampa ATM card yangu moja awe anachota pesa Kutoka GGM
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom