Nimetoka kapa hapa.Aiseee kizungu ni shidaaaah
Mi nilikuwa mpita njia tu
dahh yaani watu wanalinda ndoa kwa gharama sana...
miss chagga miss u so much my dear! Yani nimekuona hapa kamoyo kamedunda kweli as you know I am still in love with you binti wa kishimundu!
Kwenye ndoa kwenyewe hatulii utadhani anawashwa na -----
We nawe mbona hivyo? Umenielewa tofauti.....amesema hataki aliyeachika ndo namuuliza kwani ile kitu ni sabuni kwamba anaogopa kuchukua iliyoisha?
mmmmmhh umemtukana mama mkwe wangu tusi kubwa hivo? Viol fanya mpango mkeo apunguze hasira..
Komaaaa sijakutaja jina, naona unatafuta kick kupitia sisi eeh. Majinuni wahed weee msonyooooooooooo
Bora ingekuwa sabuni iishe tujue moja...
Zatanukaaaa! lol
Hapana kwa kweli. We mwenyewe ni shahidi mama mkwe wako alivyo na michepuko heeee
miss chagga hana taabu.. hata wewe kama uko tayrii.. chenchi yako tu.. usishangae shansarie akabaki na machungu.. cheza mbali na huyo.. Mr Rocky kamsahau Dena Amsi mazima.
Na wewe mzee alibambikwa....zaramo taipu