Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
Hili nalo neno!

Global Publishers walikuwa wanachota picha, maneno na uzushi huko Ze Utamu na kuchapa kwenye Ijumaa, Kiu n.k..Wao sijui nao itakuwa vipi.

Nashangaa watu wanawaona kama hawa jamaa wapo right kuchafua raia wema angalia kwa mfano leo wametoa Jide na Gadner wameng'ang'aniana midomo sijui wazazi na watoto wanao angalia picha kama zile wanapata fundisho gani hapo na watu humu humu wapo kimyaaaaaaaa wanasubili aonyeshwe Pinda au Sitta basi wataanza kusema jamaa wa GPL hawaja tenda haki sijui haki ni kwa mkubwa tu?
 

Fidel, while i agree na issue nyingi against magazeti ya GP, but i think you're going overboard with your example. Jide na Gadner kung'ang'aniana kulishuhudiwa hata na wazazi wao na wanafamilia wote wakati wa kusimika fungato walimo.

They're married, aren't they?!
 

hehehe haya Steve...
Lakini wameolewa kwa nini hawa jamaa sasa wawaweke hadharani kama mtu anajilia kuku wake kama mnavyo sema kuku wako mwenyewe manati ya nini?
 
hehehe haya Steve...
Lakini wameolewa kwa nini hawa jamaa sasa wawaweke hadharani kama mtu anajilia kuku wake kama mnavyo sema kuku wako mwenyewe manati ya nini?

Nakupata Fidel...

Kwenye madhehebu yetu na hata kwenye ndoa za usajiri, pale mfungisha harusi anaposema "you may now kiss the bride" mbele ya kadamnasi nadhani hayo yote yanakuwa halal baada ya hapo. Iwapo utamaduni wetu unapingana na hili, basi waondoe kipengele kama hicho kwa wafungisha ndoa.
Baadae mkuu.
 

Sidhani kama kuwa mwananchi wa nchi nyingine ni taabu. Otherwise kungekuwa na loophole kubwa sana kwenye system ya sheria dunia nzima. Ishu ya crime imefanyikia wapi ndo inaweza kuwa debated. Na inaweza ku-work in favour ya Tanzania, kama wakiweza ku-argue kitendo hicho kilifanyikia Tanzania. Hapo itabidi waangalia sheria za cyberspace, zinatambua hiyo criminal act imefanyikia wapi? I would imagine ingekuwa sehemu mtu huyo alipo-upload na kufanya iwe accessible to others. Which in this case itakuwa Uingereza. Kwa hiyo ni jurisdiction ya Uingereza. na je sheria ya cybernet Uingereza inaruhusu kudhalilishwa kwa watu? Kama sivyo, si afunguliwe mashtaka huko? Tena ndo kutakuwa na chance nzuri ya a cleaner trial. Waje wachukue statements za wahudhurika bongo, kesi isomwe Uingereza. Mwisho wa siku, sheria will have done its job and we will all live in a happier place, happily ever-after, end of story...
 
Hivi vichekesho kweli!
Yaani mnaamini mwingereza anaweza akawa deported kienyeji enyeji hivo?
Kuna yule alihack computer za PENTAGON! Wamarekani wanataka awe deported ashitakiwe marekani, mpaka leo wanabishana mahakamani.

Ndio iwe hii ya kuweka picha za mtu online?? Eti kwa vile TZ tumewaomba? Tena ukifanya google news search hakuna habari yoyote from credible source inayomzungumzia huyu jamaa, yaani mwingereza awe deported bila mtu yoyote kuripoti? Habari ya Global Voices inatutumia sisi kama source!! lol!
 

Thanks Mtoto;

Kuna swali niliuliza kuhusu jamaa wawili/mmoja memba wa JF atakuwaje hili soo likisettle... I meant it and good that answers are slowly coming up. KARMA RULES,,,,

Any kind of abuse unacceptable!! I hope this (whether its Lusinde or not being responsible for UTAMU) will change out mindset when it comes to cyberbullying etc
 

Unajua hata terrorist Abu Hamza mpaka leo bado yupo UK ingawa US kila siku wanamtaka eende kwao akajibu tuhumu.Kumchukua mtu UK- raia huko..bana kazi kubwa si kihivyo kama watu wanavyodhania.
yetu macho na masikio
 

Nipo nipo Komredi. Naona kampeni za damage control zishaanza. Who didn't see that coming.
 
...Naona kampeni za damage control zishaanza. Who didn't see that coming.

Thanks kwa kuanika ukweli, they are now seating at the backstage... planning a "comeback - comeclean" move!!!
 

Larry Flint wa Hustler akianzisha ZeUtamu yake na kuendeleza libeneke hao Usalama wa taifa uchwara watakuja kumkamata na kumpeleka bongo kumfungulia mashitaka?

I swear hakuna kesi dhidi ya huyu mtuhumiwa. Ikiwepo watakuwa wanalazimisha kitu ambacho hakitanishangaza.
 

Kuna tofauti za kuweka picha za uchi za watu walio-consent, na kuweka picha za uchi za raia mwema, na zaidi kuweka photoshopped pictures za mtu. I think defamation is an option hapa! Tena wampeleke huko Uingereza maana defamation yao ipo well developed! Criminal law ya Tz sijui sana, na Uingereza itabidi waangalia katika hiyo cybernet act, nk. But you simply cant say he has no case to answer! Posting nude pictures of innocent civilians katika mtandao usiwe na kesi?! Hii ni tofauti sana na Hustler na Playboy. Two different games hapa.
Na mkisema freedom of speech...it comes with limitations my friend. What speech were you trying to make with such images? Ulitaka kusema Kikwete is gay? Ulitaka kusema hao wengine ni makahaba? hahaha...atalia mwenyewe! But kusema hana kesi...nadhani ni ku-strech hii sasa.
 

Billy,

Asante sana kwa kutupa ukweli katika hili, kwani kila pembe ya dunia watanzania walikuwa wana amini kabisa kwamba nduguyo ndiye muhusika na ameshakamatwa na vyombo vya dola.

Kauli yako inachukuliwa kwa uzito wote tokana na ukweli kwamba wewe ni mtoto wa kwanza wa kiume katika familia ya mzee malecela, hivyo ni msemaji wa familia.
 
Kuna tofauti za kuweka picha za uchi za watu walio-consent, na kuweka picha za uchi za raia mwema, na zaidi kuweka photoshopped pictures za mtu.

No, hukunielewa. Nilikuwa na maana kuwa vipi Larry Llint akianzisha blog yake kama hiyo ya Utamu halafu wabongo wakawa wanapeleka picha kama walizokuwa wanapeleka huko Utamu original. Bush, Mama Clinton, Blair, Queen Elizabeth, etc. wote wameshakuwa photoshoped na kama unabisha sema nikuwekee ma link hapa uone jinsi watu walivyokuwa diabolic

I think defamation is an option hapa! Tena wampeleke huko Uingereza maana defamation yao ipo well developed! Criminal law ya Tz sijui sana, na Uingereza itabidi waangalia katika hiyo cybernet act, nk.

Kwa hiyo wakimpeleka huko Uingereza kesi itakuwa ya nani dhidi ya nani?

But you simply cant say he has no case to answer! Posting nude pictures of innocent civilians katika mtandao usiwe na kesi?! Hii ni tofauti sana na Hustler na Playboy. Two different games hapa..

Hahahaha...kuna mambo mengi hapa. Kwanza inategemea hizo nude pictures zimepatikanaje (mambo ya Privacy laws na private vs public place). Kama hizo picha zilipigwa kutoka kwenye public place hakuna kesi hapo. Kama privacy ya mtu ilikuwa intruded, then that's something else. Bottom line, the case against him is weak.
 
Nafuu alivyokamatwa sasa tutapumzika

James,
Pole sana kwa kutokupumzika muda mrefu. Ila nakuomba kaza buti maana JINI litarudi na vichwa vingi sasa. Na likija tena, litakuwa baya kuzidi la mwanzo. Vijana wa Tanzania, nje na ndani watakuwa wamepata kitu cha kujionyesha JINSI WALIVYO GURU wa IT. Kama huamini, wee subiri kidogo na utakubali maneno yangu siku moja.

Hebu angalia jinsi George Michael anavyotesa kwenye hii Clip na PM wa Uk, malikia na George Bush :-
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=ji3XgKTziUQ"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]
 
Hamna kesi ya kujibu hapa... Ila damn jamaa nikimuona....!!
 

Am afraid the law has changed. Public taken photos in certain circumstances be held to be intrusion of privacy. Hiyo ni kesi ya Hosking v Runting - google uisome vizuri.

Kuhusu plaintiff, kwani kesi ya defamation inakuwa nani v nani mkuu? Si a private law...so it can be Kikwete, it can be the individuals who can prove its effect on them, it can also be the government kama inataka kuhusika. Nadhani unaweza hata ku-pool plaintiffs wengi pamoja, kwa mfano kesi za makampuni ya sigara marekani, au kosa linapoathiri wengi, kama zile kesi za asbestos miaka ya 70s.

Kwa mtu ku-photoshop picha moja na kusambaza ni tofauti na kutengeneza website inayoweka hizo picha na kusambaza kila siku. Hapo nadhani ndo unavuka mpaka, au sio? Maana moja, hawatatumia resources kutafuta culprit, lakini ukifanya iwe biashara sasa...duh, sidhani kama watakusamehe. I would imagine mtu huyo angeshukiwa na private lawsuits mpaka alie!
 
Kuhusu plaintiff, kwani kesi ya defamation inakuwa nani v nani mkuu? Si a private law...so it can be Kikwete, it can be the individuals who can prove its effect on them...
Na tumeshaambiwa kuwa kuna malalamiko zaidi ya 6800
 
Am afraid the law has changed. Public taken photos in certain circumstances be held to be intrusion of privacy. Hiyo ni kesi ya Hosking v Runting - google uisome vizuri.

Jurisdiction jurisdiction jurisdiction! Hiyo kesi ulioi cite ni ya wapi?


The case against him is weak. All he needs is representation like this and game over:[ame="http://www.youtube.com/watch?v=fSS9lxU9Wy0"]YouTube - Johnny Cochran closing arguments[/ame]


The plaintiff(s) will have to prove that he (the defendant) commercially gained from publishing those pictures. Sorry, but the whole thing looks ridiculous to me.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…