Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
Una mambo wewe..ngoja akusikie(akusome)...pata chimbika.....
 
WoS, just out curiosity, who dd u have in mind? (pm pls). no disclosures, and that's a guarantee from me. thx

Hata bila PM...NGOJA NIWE MUWAZI KUHUSU MAONI YANGU:
Honestly..I thought it must be some low-life hoodlum... in his early 20's si unajua tena vijana wadogo can decide to be cheeky/naughty?
 

Uyasemayo yanaweza kuwa na ukweli ila tu ningependa kudiffer with you hapo kwenye blue.

Si kweli kuwa wote waliowekwa pale walideserve! Wapo wengi ambao waliumizwa kwa sababu ya chuki na uadui tu. Ukiachilia mbali zile picha za wale waliokuwa uchi wapo waliopostiwa pale wakiwa na nguo zao lakini watu wanaokomenti pale wanakomenti tu hata kama hawamjui watasema kuwa weshamkula!!

Hakuwa fair kabisa!
 
sasa ile pics ya 'mkuu' aliyorusha,huenda alishinikizwa?
 
Hata bila PM...NGOJA NIWE MUWAZI KUHUSU MAONI YANGU:
Honestly..I thought it must be some low-life hoodlum... in his early 20's si unajua tena vijana wadogo can decide to be cheeky/naughty?

Sawa WoS, ahsante kwa jibu. Nilifikiri ulimaanisha unamjua kwa jina na siyo description ya tabia ndiyo maana nikakuomba uni PM, that's all.
 
Huyu Peter kachemsha sana lakini na wale watu waliokuwa wanaposti picha za wenzao kwa sababu zao binafsi hasa za kichuki tunawaweka kundi gani? Manake sio picha zote zilikuwa zinawekwa na Peter. Hawa nao pia wamechangia sana Zeutamu kuwepo. Watanzania imefika mahali elimu yetu isiishie madarasani tu, tu-apply pia kwenye maisha ya kidunia! Lets be civilized!
 

Wewe kweli 'Mtanzania'
 
Hehehee,

Isije kuwa kama wakati wameanza kuzishambulia P2P. Walishitaki wee, ikafa(Nepstar?). Hapo zikafumuka Kazaa, Donkey nk nazo wakazishitaki na zikafa. Sasa ndiyo zimekuja BABA LAO maana huko unapata kila kitu katika high class. Ukiacha na akina TORRENT. Sasa hivi hawa akina Rapidshare, Megashare, Zshare nk ni wabaya kuliko hata wale wa mwanzo kwani huko sasa unakuta hadi film katika blueray, wewe wavuta tu na kuchoma bila woga wowote.

Haya, tusubiri tuone. Ila naona sasa vijana wamepewa challenge maana kila akifumuka kichaa wa IT atasema "Catch me if you can......" na atakuja na zeutamu mbaya kuliko ya mwanzo..... Hii kitu ni mwanzo tu, Mzee Punch atadumu milele, sema mwanzo alikuwa kwenye kuta za UDSM, sasa yuko kwenye Mtandao.... Yangu macho.
 
True,

Huyu bwana aliacha track zake sana kwenye blogu yake ya rudepichaz, tena kwa initials zake za mplusinde!
Nafikiri kuacha tracks hakukuwa kwa bahati mbaya.
Wengine wanaacha tracks za SIMBA...FUATA NYAYO ZA SIMBA....unajua matokeo yake.

Binafsi nafikiri suala zima lilikuwa CALCULATED.
 
cesc

cesc [Too Long]
Member
Join Date: Tue Nov 2008
Posts: 10
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0

Credits: 28,445




very UNSERIOUS!
 
Kaswaiba Zeutamu is gone,kalikuwa kanafunza adabu mafuska,kosa pekee tu ni la kugusa Mkuu wa Nchi.Wanaolalamika waulizwe walikuwa wapi hadi wapigwe picha za utupu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…