Swadaktaaa..!!! dada naimaomari nimekupata haya ndio maneno wengine wanaangalia matawi sio mzizini mwa tatizo......ukiangalia picha nyingi sio za adobe photoshop ni real pics na inajulikana biashara za wengine huko walipo.....So tufunge blogs zile au tusali na kukemeana na tabia zetu za kinyume na maadili....usherati uliokithiri ... mtu ukijiheshimu ukakaa nyumbani ukawa mwaminifu kwa mume au mkeo watakupata vipi ... wanayataka wenyewe wana wa shetani hao wasotulia .. wasoheshimu miili yao kwani miili yetu ni sehemu ya ibada .. wakristo husema nyumba ya Mungu ... waislam ... la takrabu zinaaaaaa .... na aibu iwapate ... wadhalilike tu ..
Jamani kila mtu mwenye kupenda amani amekuwa akilalamika juu ya hizi blog (UTAMU na WAKEREKETWA). Niliahidi katika thread yangu iliyopita kuwa nitafuatilia kujua ni nani anahusika na kubomoa maisha ya watu all over the universe. Kuna mtu amenidokezea kuwa Erick Shigongo anahusika kwa njia moja au nyingine. Mie binafsi sipendi UDAKU ila nilikuwa nauliza kama kuna mtu ana uelewa wowote kuhusu hilo wakati tukisubiri uchunguzi ukiendelea.
Mtu yeyote akifahamika kuwa ndiye mhusika wa hizi blogs tutamfanya famous ili kila mtu amtambue LIFE WRECKER.
Uchunguzi bado unaendelea na taratibu za kisheria zinaendelea.
Kwanza nawasilimu kwa masikitiko ya hotuba isiyo na tija kwa taifa ya JK,natumaini mtaitafakari na kupata maoni mazuri hapa. Langu kubwa leo hii ni kutoa masikitiko hasa juu ya hii blog ya The Utamu,nadhani kwa mtazamo wangu haina tija kama hotuba ya jamaa,imefikia sehemu zinatumwa picha ambazo hazina cha ajabu chochote ila zinawekewa caption za matusi mazito jamani kama kuna mtu anamfahamu huyo blogger pls tell the guy isnt good aache watu wafanye mambo ya private bila kuingiliwa.
Naona watu wengi wanakerwa na huu mwenendo wa wenzetu kuendekeza majungu na umbeya.Inabidi watanzanzani tubadilike!
Hebu someni hii:
Anonymous said...
SUNGU SUNGU NASEMA:
KWA HAKIKA IMECHOSHA NA IMEKUWA KERO KUTOKANA NA HABARI ZINAZOENDELEA KUHUSU WATANZANIA WANAOISHI UK NA USA.
HAKUNA JAMBO LOLOTE LA MAANA LINALOONGOLEWA ZAIDI YA FULANI NI MALAYA,MARA HUYU KALALA NA YULE MARA HUYU WAZAZI WAKE WALIKUWA HIVI NA MAMBO MENGI YA MATUSI NA KASHFA ZISIZO NA MFANO.
SIE TULIOKO TANZANIA TULIDHANI MTU AKITOKA NJE YA NCHI NA KUKAA KTK NCHI ZILIZOENDELEA KAMA UK NA USA,ANAKUWA NA MABAILIKO KIFIKRA NA KITABIA .LAKINI KUTOKANA NA TABIA YENU YA KUTOLEANA SIRI,KUDHALILISHANA NA KUTUSIANA KTK MTANDAO,NAWAJIBIKA KUSEMA KUWA KIAZI NI KIAZI TU,HATA UKIKIKAANGA NA SAMLI HAKIWEZI KUBADILIKA KUWA GIMBI!!
JIRANI ZETU WAKENYA WAMEZOEA KUNAMBIA KUWA WATANZANIA WOTE WANA AKILI ZA KAWAIDA.
WANATOA MFANO KUWA UKIKUTANA NA MTANZANIA AMBAYE NI PROFESA,DAKTARI,MCHUMI,MFAGIA BARABARA NA MSUKUMA MKOKOTENI,WOTE AKILI YAO INALINGANA NA HUWEZI KUWATOFAUTISHA.MWANZONI NILIKUWA NAKASIRIKA KUWA WANATUTUKANA,LAKINI KUTOKANA NA TABIA ZENU NINYI NDUGU ZETU WA UGHAIBUNI,NASHAWISHIKA KUAMINI KUWA KWELI WATANZANIA WOTE TUNA AKILI ZA KAWAIDA NA HUWEZI KUMTOFAUTISHA MTANZANIA ALIYEKO KARIAKOO NA MTANZANIA ALIYEKO TEXAS ,COZ WOTE NI WATU WA POROJO,UMBEA NA KUPOTEZA MUDA KUSENGENYANA.
BADILIKENI, ACHENI MAJUNGU NA POROJO FANYENI KAZI KWA BIDII ILI MJE KUJENGA NCHI YETU.
NA NYIE MNAOSEMWA NA KUTOLEWA SIRI ZENU KAMA NI KWELI BADILIKENI COZ SASA IMEKUWA NI AIBU TUPU KIASI KUNA BAADHI YA WAZAZI NA WATU WENGINE HAWAONI HAJA YA KUWARUHUSU WATOTO,NDUGU AU WAKE ZAO KUJA HUKO UK AU USA KUTOKANA NA NYIE MLIOKO HUKO MNAYOYAFANYA.
BADILIKENI WAUNGWANA!
August 22, 2008 12:14 PM
womenofsubstanc wewe yaonekana ni muangaliaji mzuri sana wa blog zile.....na unaonekana unazipenda..thats the fact......ukiwa unaingia mule kuna Content WarningNaona watu wengi wanakerwa na huu mwenendo wa wenzetu kuendekeza majungu na umbeya.Inabidi watanzanzani tubadilike!
Hebu someni hii:
Anonymous said...
SUNGU SUNGU NASEMA:
KWA HAKIKA IMECHOSHA NA IMEKUWA KERO KUTOKANA NA HABARI ZINAZOENDELEA KUHUSU WATANZANIA WANAOISHI UK NA USA.
HAKUNA JAMBO LOLOTE LA MAANA LINALOONGOLEWA ZAIDI YA FULANI NI MALAYA,MARA HUYU KALALA NA YULE MARA HUYU WAZAZI WAKE WALIKUWA HIVI NA MAMBO MENGI YA MATUSI NA KASHFA ZISIZO NA MFANO.
SIE TULIOKO TANZANIA TULIDHANI MTU AKITOKA NJE YA NCHI NA KUKAA KTK NCHI ZILIZOENDELEA KAMA UK NA USA,ANAKUWA NA MABAILIKO KIFIKRA NA KITABIA .LAKINI KUTOKANA NA TABIA YENU YA KUTOLEANA SIRI,KUDHALILISHANA NA KUTUSIANA KTK MTANDAO,NAWAJIBIKA KUSEMA KUWA KIAZI NI KIAZI TU,HATA UKIKIKAANGA NA SAMLI HAKIWEZI KUBADILIKA KUWA GIMBI!!
JIRANI ZETU WAKENYA WAMEZOEA KUNAMBIA KUWA WATANZANIA WOTE WANA AKILI ZA KAWAIDA.
WANATOA MFANO KUWA UKIKUTANA NA MTANZANIA AMBAYE NI PROFESA,DAKTARI,MCHUMI,MFAGIA BARABARA NA MSUKUMA MKOKOTENI,WOTE AKILI YAO INALINGANA NA HUWEZI KUWATOFAUTISHA.MWANZONI NILIKUWA NAKASIRIKA KUWA WANATUTUKANA,LAKINI KUTOKANA NA TABIA ZENU NINYI NDUGU ZETU WA UGHAIBUNI,NASHAWISHIKA KUAMINI KUWA KWELI WATANZANIA WOTE TUNA AKILI ZA KAWAIDA NA HUWEZI KUMTOFAUTISHA MTANZANIA ALIYEKO KARIAKOO NA MTANZANIA ALIYEKO TEXAS ,COZ WOTE NI WATU WA POROJO,UMBEA NA KUPOTEZA MUDA KUSENGENYANA.
BADILIKENI, ACHENI MAJUNGU NA POROJO FANYENI KAZI KWA BIDII ILI MJE KUJENGA NCHI YETU.
NA NYIE MNAOSEMWA NA KUTOLEWA SIRI ZENU KAMA NI KWELI BADILIKENI COZ SASA IMEKUWA NI AIBU TUPU KIASI KUNA BAADHI YA WAZAZI NA WATU WENGINE HAWAONI HAJA YA KUWARUHUSU WATOTO,NDUGU AU WAKE ZAO KUJA HUKO UK AU USA KUTOKANA NA NYIE MLIOKO HUKO MNAYOYAFANYA.
BADILIKENI WAUNGWANA!
August 22, 2008 12:14 PM
...hivi mnahitaji kumkamata huyo mtu au kumfungia website?! semeni....
kwani wewe,GONGA,UZITO MKUBWA,si na wewe umefurahi jamaa kuondolewa hewani,au?