Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Status
Not open for further replies.
Hiyo assumption nimeitoa kwenye tone ya mabandiko yako. Una sound kama she!

Hicho kipande sijakisahau. Nimekiacha makusudi kwa sababu wewe bibie ulikuwa umeshakigusia

Hahaha wewe unashabikia umbea halafu unadai mie ndo she sio! hahahaha wambea mnachekesha kweli!

Wengi ambao picha zao zinabandikwa ni mafisadi wa ngono. Kama kuna wanaobandikwa kwa sababu ya chuki binafsi mimi hilo sijui kwani sina uwezo ya kuingia kichwani au moyoni mwa mtu na kujua kusudi lake

Wengi wangapi? Sasa unashabikia nini kama hujui ukweli? huoni si sawa kumfanyia mtu hivo?

Si una akili yako ya kuzaliwa nayo? Kama unayo itumie tu na utapata jibu

Sasa wewe si ndo umekuwa Judge wa mafisadi wa ngono??!! Mbona hujui sasa?
Mimi siwahukumu watu,live your life!!!
 
Wale wote mliofikiri Gerald Kigisi ndio Mzee theutamu, mmepotea maboya. Nimefanya simple check ya hilo jina kwenye google search engene nikakuta nothing. Hivyo zile data zote ni dupe!.

Kama unatembelea site ya Global Publishers, utakuta links za waandishi wote wa the utamu. Kila picha za Global ndizo zile zile za the utamu.

Naomba kumtofautisha Mtu wa Mungu, Mheshimiwa sana Eric Shigongo ambaye ndiye mmiliki wa Global Publishers na Vijana wake wa kazi wanaishibisha theutamu.

Na mwisho, amini usiamini, paoja na madudu yote ya the utamu, Watu wengi sana wanaishabikia kama wanavyoshabikia magazeti ya udaku.

Mwanzo nilidhani washabiki wa magazeti ya udaku ni kundi la Mastandard 7 leavers na wale watu wa uswahilini, nikiamini wasomi no.

Nilishangaa niiwaChuo Kikuu, wanafunzi ndio wanaongoza kuyanunua magazeti hayo na kila siku yaliisha kwanza huku Magazeti ya maana yakidoda.

Huu ni uthibitisha ni kwa kiasi gani jamii yetu inashabikia udaku na umbeya kwenye magazeti na the utamu ndio nyumbani kwao.
 
Wengi ambao picha zao zinabandikwa ni mafisadi wa ngono. Kama kuna wanaobandikwa kwa sababu ya chuki binafsi mimi hilo sijui kwani sina uwezo ya kuingia kichwani au moyoni mwa mtu na kujua kusudi lake

Hauna haja ya kuingia vichwani au moyoni mwa watu kujua kwamba kuna watu ambao picha zao zimebandikwa kwa chuki binafsi. Case in point, about a month ago some sisters' pics were posted on ze utamu and according to the discussion that followed, those who had sent the pics to zeutamu apparently did so because one of the sisters had gone out with an ex boyfriend of their friend.

There have been many such postings were claims are unsubstantiated and at times even ludicrous. You are left thinking 'so what? if people are having consensual sexual relations, why should we all care?' The site is not promoting what it claims to.
 
Ningeshauri wale wanaofanya utafiti jinsi ya kumwangusha huyu ZEUTAMU waufanye kwanza kisha wakishamaliza ndo watuletee results na sio kuja hapa na kuanza kutuletea allegations zisizothibitika.
Otherwise wakiendelea hvi hakuna wakifanyacho zaidi ya kum-MARKET na kumfanya ajulikane zaidi.
Kama mnataka kumshusha then mshusheni ndo mje hapa mtuletee taarifa kua tayari he is down na sio kuja hapa na kuanza kutuimbia mapambio ya vitisho na tuhuma kwa watu.
BIBIE i hope unanipata hapo,kutoa prior info ni sawa na kumwandaa huyo ze utamu ajue mmefikia wapi hivyo abadili mwelekeo
 
Naona vita hii imeshashindwa tayari.

Kuna kila haja ya kujipanga upya maana kama ni silaha zilishawekwa wazi ni jukumu la mlengwa kujikinga na kuwamaliza wanaomtafuta.

Fanyeni utafiti kwanza, mkishamaliza ndo mfanye mikakati ya kumuweka mikononi mwenu na ndipo muitaarifu dunia kuwa jamaa mmempata.

Anyway, hongereni kwa jitihada mlizozifanya na mnazoendelea kufanya.
 
Kana,

How do you know that? how do you know that some dingbat (or ex girfriend, disgruntled stalker etc) will not harvest your picture out of Facebook and make a tall tale about you?

It hink the folly of ZeUtamu is in exactly the point you raised, behind the pretense for a staunch policing of morality, lies a vast sea of unverifiable super damaging accusations.

Kama u mtu safi, hata jamaa akikurusha wadau watakutetea tu. Mimi ni mtoto wa mjini na watu wengi wanaorushwa pale ninawafahamu mambo yao na mara nyingi huwa ni ya ukweli. You will be more worried kama ulipiga picha za ajabu ajabu na huyo ex-demu wako.
 
Mkuu hapo tupo the same page.
Mtu huwezi singiziwa tu hivi hivi jamaa wengi wanafanya mambo ambayo hayaendani na jamii ndo maana wanarushwa mle kama hufanyi haiwezi kuuma lakini mnajua wazi ukweli unauma.
 
Fidel, siku hizi hata ukienda kwenye mabash ya wabongo huku ughaibuni, kila mtu anajitahidi kubehave, huoni tena watu wakifakamia bia hadi wajikojolee bse they all know someone is watching them. And why would anyone be bothered kama utaanikwa humo kwa mambo ya uongo? mimi ningemind sana kama ningerushwa kwa issue ambayo ni ya kweli lakini fabrications haziniumizi kichwa bse I know kwamba for everyone who knows me will realise that whats being said is not true!
 
Kama u mtu safi, hata jamaa akikurusha wadau watakutetea tu. Mimi ni mtoto wa mjini na watu wengi wanaorushwa pale ninawafahamu mambo yao na mara nyingi huwa ni ya ukweli. You will be more worried kama ulipiga picha za ajabu ajabu na huyo ex-demu wako.

Hizi tunaziita ni sifa za kijinga!
Mimi ni mtoto wa mjini na watu wengi wanaorushwa pale ninawafahamu mambo yao na mara nyingi huwa ni ya ukweli
 
naona Zeutamu anaumiza watu vichwa sana hapa. Ila hii habari haina ukweli wowote kuhusiana na utamu hilo ni jina tu analotumia kwenye ID yake,na hizo picha sijui wamezitoa wapi na wanatuzibitishia vipi kuwa ndie mwenyewe utamu?
 
Hauna haja ya kuingia vichwani au moyoni mwa watu kujua kwamba kuna watu ambao picha zao zimebandikwa kwa chuki binafsi. Case in point, about a month ago some sisters' pics were posted on ze utamu and according to the discussion that followed, those who had sent the pics to zeutamu apparently did so because one of the sisters had gone out with an ex boyfriend of their friend.

There have been many such postings were claims are unsubstantiated and at times even ludicrous. You are left thinking 'so what? if people are having consensual sexual relations, why should we all care?' The site is not promoting what it claims to.

Du!!sasa unaipenda moyoni huku unaiponda hadharani - kama claims ni ridiculuous mbona hauachi kufuatilia sandra(rejeaThere have been many such postings). Wakati mwingine hizo false allegations ndio sababu ya kuanzishwa kwa hiyo site kama source ya burudani tu.Hiyo ni tawi la sanaa linalounganisha vitu vya ukweli na vya kutunga ili kuleta utamu(waliosoma da vinci code wanajua nazungumzia nini). Bottom line hawa utamu wataendelea kuwepo as long as market demand itakuwepo sasa kuikomesha wewe acha kutembelea huku uwaache wanao taka waendelee aki survive atakuwa ameshinda na hiyo ndio price ya democracy utakubaliana na matakwa ya wengi.
 
Zeutamu has to go!! Inaharibia sana sifa kuna demu namjua aliamua kubwaga jamaa yake sababu ya ulevi, jamaa kwa kuwa alikuwa na picha zake akazirusha huko....jamaa walicomment ile mbaya bila kujua ukweli wa habari...sidhani kama ina saidia kitu zaidi ya kuharibiana maisha ana reputations
 
Kama u mtu safi, hata jamaa akikurusha wadau watakutetea tu. Mimi ni mtoto wa mjini na watu wengi wanaorushwa pale ninawafahamu mambo yao na mara nyingi huwa ni ya ukweli. You will be more worried kama ulipiga picha za ajabu ajabu na huyo ex-demu wako.

KKK, ule mtandao unasomwa na watu walioko kila kona ya hii Dunia. Hivyo mtu anapochafuliwa ni kwamba kila aliyeingia kaona. Sasa nani atakayekutetea tena kwa huo uchafu kwa kila mtu aliyeona. Na kumbuka ubya husambaa haraka na kukumukwa kuliko mema.

Mfano inatolewa picha ya msichana kapiga picha yake nzuri. Ndani ya "comments" inaanza huyu aliwahi kuwa demu wa Mfumwa, Kana Ka Nsungu, NN, Masanilo, Balantanda, Masha, Liumba nk. Na ikawa kuna ukweli huyo demu aliwahi kuwa wa Mfumwa, haya majina mengine itaonekana ni kweli. Lakini wengi huchafuliwa mule ndani na hawako hivyo. Kuna picha za watu zinatumwa kwa chuki binafsi tu mule.

WALE JAMAA WANAOENDESHA ULE MTANDAO HAWAFAI.
 
Labda hujui maana ya neno 'mjini' na unaonyesha nani ni mjinga hapa.
KKK
Baadaye kidogo utasema wewe ni gangwe
Mimi ni mtoto wa mjini na watu wengi wanaorushwa pale ninawafahamu mambo yao
. Mzee usitake badili maana yake hakuna asiyejua maana ya Mjini na Kijijini!! Endelea bwana mtoto wa Mujini agrrrrrrrrrrrrrr sifa zingine bwana!!
 
Thats the price of globalization...na era ya IT!
 
KKK
Baadaye kidogo utasema wewe ni gangwe . Mzee usitake badili maana yake hakuna asiyejua maana ya Mjini na Kijijini!! Endelea bwana mtoto wa Mujini agrrrrrrrrrrrrrr sifa zingine bwana!!

Masa,

Sidhani kama umemuelewa Kana vyema. Nilivyomsoma, hakutoa kauli hii kwa kupenda sifa au kujidai aonekana smart than anybody......ni kama vile he was trying to derive a point kwamba washkaji wengi anaowaona mle..wengi wao anawajua na picha nyingi zinakuwa zinaconfirm anachokijua kuhusu wale anaowaona mle.....wanakutana mitaani..iwe bar..club nk...it was kinda of saying well..I know them..sidhani alikuwa na maana kwamba anajisifu kwamba yeye ni mtu wa mjini au kijijini...as you happen to understand! Leo nikisema kwamba "mi kijana wa town bana..ujanja wa kina Masha nauelewa sana..it doesnt mean kwamba naishi Dar Es Salaam....its just a matter kwamba..I know their tricks.." from my association with them.. Take it slow port!

Masanja,
 
UTAMU,once again has poked up a one finger salute on us,he/she throws up a smokescreen,we fall for it in the process we are headed the wrong way,as he majestically consolidates his/her defences.utamu must be gloating at every turn,as he/she outwits ITgenerals.In the dire end we seems to be falling over one another,as utamu continues to effectively put a check on our goings in and goings out.This is a peril of our time,as a victim before,i can not say i was not affected particulary when comments started going towards the family.In dar,office workers can hardly wait for breaks,to invade them internet cafes for the latest episode on the ze utamu-life has now taken a diffrent turn,one has to think of the credit crunch at the same time utamu is breathing down your neck
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom