Naheshimu mtazamo wako, ila sijaupokea kua wangu. ndio uzuri wa debate.Hiyo ni sawa lakini bado hujasema kwako wewe "zawadi" ni nini? Mimi pia nasita kukubali hoja yako kwa sababu kwa definition yangu ya zawadi (nimeitoa hapo juu), tendo la ndoa katika ndoa sio zawadi (strictly speaking!). Naweza kukubali mtizamo wako kuwa wanandoa "wachukulie/waone tendo la ndoa kama zawadi".
Well, debate inakuwa nzuri zaidi kama kuna "hoja" na sio "maoni" pekee...kwa sababu kama ni maoni kila mtu anaweza kuwa na yake na kwa sababu zake na sio rahisi kupinga maoni ya mtu (kwa sababu ndivyo 'anavyoona'!).Naheshimu mtazamo wako, ila sijaupokea kua wangu. ndio uzuri wa debate.
Nikuridhishe ndugu yangu: Kwangu mimi zawadi ni kitu kinatolewa bure. Kwa zawadi kuitwa zawadi unatakiwa kuitoa bila kulazimishwa, bila malipo, bila kusubiri chochote toka kwa anae pokea, na nia yako inatakiwa kua nia ya kumfurahisha unae mpa zawadi.Well, debate inakuwa nzuri zaidi kama kuna "hoja" na sio "maoni" pekee...kwa sababu kama ni maoni kila mtu anaweza kuwa na yake na kwa sababu zake na sio rahisi kupinga maoni ya mtu (kwa sababu ndivyo 'anavyoona'!).
Swali langu lilikuwa rahisi tu....tuambie "zawadi" kwako maana yake nini?...then hapo tunaweza kuunga mkono au kupinga hoja zako kwa haki.
Nakushukuru kwa kunipa 'zawadi' hii. Bila shaka mjadala utanyooka zaidi. Sasa unawezaje kutoa tendo la ndoa na kuridhika bila wewe kutegemea kutendewa.....au inakuwa kama kahaba anavyofanya ukiondoa malipo?Nikuridhishe ndugu yangu: Kwangu mimi zawadi ni kitu kinatolewa bure. Kwa zawadi kuitwa zawadi unatakiwa kuitoa bila kulazimishwa, bila malipo, bila kusubiri chochote toka kwa anae pokea, na nia yako inatakiwa kua nia ya kumfurahisha unae mpa zawadi.
Inaweza kua tendo, au kitu. wengine husema hata nia inaweza kua zawadi ila hii ni too much.
Ikiwa utapokea kitu toka kwa alie pokea, haijaondoa jina ZAWADI, so long as hukumpa kwa nia ya kutegemea na yeye atarushisha.
Kwa definition hii (yangu binafsi) tendo la ndoa kati ya wapendanao kwa dhati ni zawadi sababu wanakusudia kupean raha.
Sasa je. . .
1. Mtu anapoanza kuhonga mwili wake ili afanyiwe kazi yake (kusoma, kuwa na CV kali, good work ethics, experience n.k) kwanini anafanya hivyo?Ni kutojiamini (mwenyewe siwezi) au ni kuzungukwa na watu wasio na imani nae (wazazi, ndugu na jamaa wasioisha kumwambia hatofika popote)???
2.Je kuna hatari gani mtu kutegemea mwili wake badala ya akili na uwezo unaohitajika kupata kazi,kufaulu n.k?
3.Mtu kama huyu akija kuwa mzazi atakuwaje?Ataweza kumfundisha mtoto wake kuwa tofauti na alivyo yeye?
4.Malezi yanachangia vipi kuwafanya ndugu zetu wawe hivyo?
Najua kwa kiasi kikubwa hata system yetu (kupeana kazi kwa kujuana bila kujali sana uwezo wa kazi ) inachangia kwa kiasi kikubwa, maana isingekua inaruhusu ingekua ngumu kutoa na kupokea rushwa ya aina hii ila napenda kuangalia kile kinachowasukuma wahusika zaidi.
Tumezungumzia petu tu, lakini inaonesha majuu nao wanatoa hii zawadi kwa stail hizi hizi, more or less.
View attachment 44076
HIyo nilikua nimesha jibu mwanzoni, kuna utamu zaidi katika kutoa kuliko katika kupokea... Au we wajuaje?Nakushukuru kwa kunipa 'zawadi' hii. Bila shaka mjadala utanyooka zaidi. Sasa unawezaje kutoa tendo la ndoa na kuridhika bila wewe kutegemea kutendewa.....au inakuwa kama kahaba anavyofanya ukiondoa malipo?
Bila shaka atakuwa angalau mainteliji¡ensia wake wameshamtonywa. Mbona hii ilizunguka zamani sana!Hahahhaha MammaMia punguza uchokozi.Sijui Ms Rice kashaiona hiyo. . .!
....zawadi gani hiyo bana mtu anakuonjesha kisha anaondoka nayo bana? kuachiana machovu na uchungu wa hisia bure...anayehonga ana nafuu, kasheshe ni huyo aliyeonjeshwa halafu yeye anayehonga maadili yake yote kisa utamu wa muda mfupi.
Mmh,....."kuna utamu zaidi katika kutoa tendo la ndoa kuliko katika kupokea tendo la ndoa"...sounds a bit weird! Najiuliza unatoa, unajitoa au unashiriki? But I now 'understand' your point of view.HIyo nilikua nimesha jibu mwanzoni, kuna utamu zaidi katika kutoa kuliko katika kupokea... Au we wajuaje?
Kuna watu wanapenda kuendesha farasi kama fun. Sasa kama mtu anaweza kumtumia farasi kwa starehe, kuna shda gn ktk starehe hyo akam2mia kujiwezesha kutoka sehem 1 kwenda nyingine? Lizzy, kufanya ngono ni starehe, na hata ucpoihongea, utaifanya tu. Sasa kama kuna chanc ya kui2mia kufanikisha mambo yako kuna ubaya gn?