Cheti cha ndoa!
Zanzibar ni watu wa dini sana, hivyo baadhi ya gesti ndio huweka kibao hicho, hoteli zote za kitalii zinaruhusu kila kitu, zamani wengi wa walengwa walikuwa ni dada zetu kutoka bara, lakini sasa hadi wadada Wanzanzibari wenyewe wamo!.Kakakiza
Guest houses zote ni za mtindo huo au nyengine wanaruhusu?
Maana kaa ni hivyo mbona hasara.
Duh, Dr. Slaa hasogei hapo na chuma chake kipya. Sijui ataonesha cheti kipi?
Zanzibar ni watu wa dini sana, hivyo baadhi ya gesti ndio huweka kibao hicho, hoteli zote za kitalii zinaruhusu kila kitu, zamani wengi wa walengwa walikuwa ni dada zetu kutoka bara, lakini sasa hadi wadada Wanzanzibari wenyewe wamo!.
Pia licha ya gesti nyingi kuweka tangazo hilo, ukweli unabaki pale pale, japo hawaruhusu short time, wanachofanya wateja ni kulipia full time, ukimaliza unaishia na ikitokea umekwama ukarudi tena kuulizia room yako uliyoilipia siku nzima, unaikuta ilishalipiwa tena na mwengine, hivyo hilo tangazo hapo ni boshen tuu au ili mwenye mali aone, lakini watendaji wanakula vichwa!.
Tatizo la gesti za Zanzibar, wahudumu wote ni vibibi, na vibabu, hivyo hata bila ya kukuwekeeni tangazo, wewe mwenyewe, utaona noma!.

kulinda maadiliZanzibar ni watu wa dini sana, hivyo baadhi ya gesti ndio huweka kibao hicho, hoteli zote za kitalii zinaruhusu kila kitu, zamani wengi wa walengwa walikuwa ni dada zetu kutoka bara, lakini sasa hadi wadada Wanzanzibari wenyewe wamo!.

Ulimuoza wewe?