Zanzibar zaidi uijuavyo!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Guest.jpg
Jiandae na vyeti vya ndoa!!
 
Duh, Dr. Slaa hasogei hapo na chuma chake kipya. Sijui ataonesha cheti kipi?
 
Kakakiza

Guest houses zote ni za mtindo huo au nyengine wanaruhusu?

Maana kaa ni hivyo mbona hasara.
 
Zanzibar ni watu wa dini sana, hivyo baadhi ya gesti ndio huweka kibao hicho, hoteli zote za kitalii zinaruhusu kila kitu, zamani wengi wa walengwa walikuwa ni dada zetu kutoka bara, lakini sasa hadi wadada Wanzanzibari wenyewe wamo!.

Pia licha ya gesti nyingi kuweka tangazo hilo, ukweli unabaki pale pale, japo hawaruhusu short time, wanachofanya wateja ni kulipia full time, ukimaliza unaishia na ikitokea umekwama ukarudi tena kuulizia room yako uliyoilipia siku nzima, unaikuta ilishalipiwa tena na mwengine, hivyo hilo tangazo hapo ni boshen tuu au ili mwenye mali aone, lakini watendaji wanakula vichwa!.

Tatizo la gesti za Zanzibar, wahudumu wote ni vibibi, na vibabu, hivyo hata bila ya kukuwekeeni tangazo, wewe mwenyewe, utaona noma!.
 
Duh......Naona ule mfumo unaotumika nchi nyengine wa kutoanana sura na mhudumu kwenye guest houses unahitajika.

Mhudumu anakaa nyuma ya pazia huko.
 
Zanzibar ni watu wa dini sana, hivyo baadhi ya gesti ndio huweka kibao hicho, hoteli zote za kitalii zinaruhusu kila kitu, zamani wengi wa walengwa walikuwa ni dada zetu kutoka bara, lakini sasa hadi wadada Wanzanzibari wenyewe wamo!.

Ni kweli mida ya mchana, Zenji huonekana ni 'patakatifu' lakini ikifika usiku, kila aina ya ush*** hufanyika ktk kisiwa kile cha kuvutia.
 
Ajabu wanaruhusu wanaume wawili kuchukua chumba kimoja. Zanzibar ... kweli zaidi tuijuavyo.
 
Zanzibar ni watu wa dini sana, hivyo baadhi ya gesti ndio huweka kibao hicho, hoteli zote za kitalii zinaruhusu kila kitu, zamani wengi wa walengwa walikuwa ni dada zetu kutoka bara, lakini sasa hadi wadada Wanzanzibari wenyewe wamo!.

Pia licha ya gesti nyingi kuweka tangazo hilo, ukweli unabaki pale pale, japo hawaruhusu short time, wanachofanya wateja ni kulipia full time, ukimaliza unaishia na ikitokea umekwama ukarudi tena kuulizia room yako uliyoilipia siku nzima, unaikuta ilishalipiwa tena na mwengine, hivyo hilo tangazo hapo ni boshen tuu au ili mwenye mali aone, lakini watendaji wanakula vichwa!.

Tatizo la gesti za Zanzibar, wahudumu wote ni vibibi, na vibabu, hivyo hata bila ya kukuwekeeni tangazo, wewe mwenyewe, utaona noma!.
kulinda maadili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom