Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
Rais Magufuli piga vita huu udini huko Zanzibar, Wakristo wasibughudhiwe,Kula mchana ni Haki yao
 
Hivi ni kweli waislamu ndiyo wenye matatizo au wengine ndio wenye matatizo na waislamu?

Nasema hivyo kwa sababu huko ulaya kuna nchi ambazo zimepiga marufuku aina ya mavazi ambayo huvaliwa na wanawake wa kiislamu na kuna mambo mengi tu ambayo yanakuwa yanawakwaza waislamu,ila mwisho wa siku watu husema waislamu kama hawataki kufuata taratibu na tamaduni za nchi za watu basi warudi kwao ingawa hizo nchi za ulaya si nchi za dini yeyote.

Lakini ajabu kinachotokea hapo Zanzibar ambapo waislamu ni wengi na wana utamaduni wao wenyewe ila bado watu huona waislamu wana matatizo,na si Zanzibar tu hata katika nchi za kiislamu kabisa bado huonekana waislamu wana matatizo.

Ndiyo nauliza tatizo ni waislamu au watu wana matatizo na waislamu?
 
Kilichoniacha hoi kwenye hilo tangazo ni kile kitendo cha kulazimisha waisilamu wote wafunge. Kama mtu anataka kufunga atafunga kwa hiari yake na sio kwa kulazimishwa. Inaonekana huko kufunga walio wengi hawatilii maanani ila ni mpaka itumike nguvu ya serekali kuhakikisha watu wanafunga. Sasa najiuliza ukikuta mtu anakula hadharani akipelekwa mahakamani anafungwa kwa sheria ipi, ya dini ama ya nchi?
Funga nilazima kwa muislam nasio hiari. Nenda kale mchana uone
 
Mambo ya Zanzibar waachieni wazanzibari wenyewe wacheni kutoka mapovu. Chakushangaza haya yapo tokea zamani huko Zanzibar sahivi ndio imekua shida. Wacheni chuki binafsi na uchochezi. Kula ukiwa ndani.
 
Kula kwangu pia mnipangie!kama ndio hivyo mbona hamniletei chakula?ndondocha kweli zipo nyingi yaan za kumwaga!!!!
 
Mbona wazanzibari wenyewe hawalalamiki?kwani kuna mtu kalazimishwa kuishi zanzibar?kila sehemu zina tamaduni zao,kama unaona umekwazika rudi tu bara,mwezi ukiisha utaendelea na kilichokupeleka huko
 
Mbona wazanzibari wenyewe hawalalamiki?kwani kuna mtu kalazimishwa kuishi zanzibar?kila sehemu zina tamaduni zao,kama unaona umekwazika rudi tu bara,mwezi ukiisha utaendelea na kilichokupeleka huko
Kila mtu ana haki sawa na mwenzake, kwa Mungu hamna aliyejuu, Kwani Wazanzibari wakristo hawapo?
 
Kilichoniacha hoi kwenye hilo tangazo ni kile kitendo cha kulazimisha waisilamu wote wafunge. Kama mtu anataka kufunga atafunga kwa hiari yake na sio kwa kulazimishwa. Inaonekana huko kufunga walio wengi hawatilii maanani ila ni mpaka itumike nguvu ya serekali kuhakikisha watu wanafunga. Sasa najiuliza ukikuta mtu anakula hadharani akipelekwa mahakamani anafungwa kwa sheria ipi, ya dini ama ya nchi?
Usipate tabu ya kutaka kujua sheria watakayo tumia ww jiandae kuanzia tar 29/05 nenda znz anza kula tokea kwenye boti au ndege mpaka unapo fikia ww kula tu wakikutia mkononi ndio utapata jibu lake.
 
Kile c ni kisiwa cha utalii kwaio watalii watoke kwao uko sijui brazil au mexico afu wakutane naicho kituko c watarudi kwao kusimulia utalii mwngne waliouona...[emoji23] [emoji23]
 
Enyi mlio amini fungeni kama ambavyo nilivyowalazimisha kufunga waliokua kabla yenu ili mpate kuwa wachaMungu
 
Aisee mwenyewe nimeachwa hoi na ilo tangazo...labda kabla ya kuendelea ningeomba nifahamishwe ivi Zanzibar serikali yake ina dini???na kama sio basi watambue kuna uhuru wa kuabudu kwaiyo acha watu waishi kwa dhamira zao na sio kunambia mm nisile open space eti kisa fulan kafunga
 
Alafu ndio wanataka Trump awasaidie kuwapa madaraka chini ya Seif?

Wasahau!
CCM nyie mtego wenu Mdogo sana. Tayari gamba umekurupuka Kisa CCM visiwani wamepiga marufuku kula hovyo hadharani wakati wa ramadhani.
 
Usipate tabu ya kutaka kujua sheria watakayo tumia ww jiandae kuanzia tar 29/05 nenda znz anza kula tokea kwenye boti au ndege mpaka unapo fikia ww kula tu wakikutia mkononi ndio utapata jibu lake.
Haya unayoeleza hapa ni matisho ila hujatoa hoja za msingi zinazoeleza sababu ya kuwa ni kwanini wasiofunga ama Kafiri kama mimi nisitakiwe kula?

Kwani ninawalisha ninyi chakula kwanguvu?

Hebu jibu logically usiishie kwenye matisho yakhee...!
 
Mi nashangaa mambo ya nchi jirani yanakuuma nini wewe uliyeko nchini mwako?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom