CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 18,193
- 34,270
Let's wait and see !!!Taarifa hizi nina uhakika nazo kutokana na chanzo changu.
Mkuu ujenzi unaendelea muda hii tunaozungumza humu jukwaani, hizo picha ni za muda kidogo tafuteni za sasa mtaona tofauti.Anafikiri mwezi July utafika kwake tu kwa wengine hautafika.
Tunaolipa kodi ni wachache ila wanaozitumia kwa kuiba ni wengi sana aisee..Gentleman,
ni muhimu zaidi kulipa kodi bila shuruti kwa maendeleo ya nchi yetu na si vinginevyo. Dosari na changamoto ndogondogo zilizopo, ni muhimu kuzifanya kua fursa ya kukusanya mapato mengi na makubwa zaidi ili hatimae taifa kujitegemea kufadhili miradi ya maendeleo bila kutegemea wahisani
Punguza presha kazi inaendelea.Pesa za mchina? Zina masharti magumu.
Kama wewe unazo picha za jana tuletee.Mkuu ujenzi unaendelea muda hii tunaozungumza humu jukwaani, hizo picha ni za muda kidogo tafuteni za sasa mtaona tofauti.
Huo ujambazi umekuwa ukifanyika pengine kabla hata hujazaliwa, tulia waache watu wafanye kazi.Mmeyataka wenyewe, acha Zanzibar iendelee kuwanyonya mpaka mpate akili.
Kukubali kutawaliwa na jambazi la kike kutoka Zanzibar hayo ndiyo matokeo yake, jambazi linapora waziwazi huku chawa wa Kitanganyika wasivyojitambua wanaendelea kulishangilia.
Chawa katika ubora wako with your pathetically irrelevant bull crap.Huo ujambazi umekuwa ukifanyika pengine kabla hata hujazaliwa, tulia waache watu wafanye kazi.
Umesema July utakuwa tayari nimetunza listi, ila waambie wasijenge haraka haraka kumfurahisha mama yenu wasije wakatuletea majanga mengine.Punguza presha kazi inaendelea.
Umoja ni nguvu siku zote una gharama zake. Lazima tuvumiliane.Chawa katika ubora wako with your pathetically irrelevant bull crap.
Huo uwanja sio wa kwanza kwao kuujenga, wanajua wanachokifanya.Umesema July utakuwa tayari nimetunza listi, ila waambie wasijenge haraka haraka kumfurahisha mama yenu wasije wakatuletea majanga mengine.
Kama kwa umri ulionao unashindwa kutambua hadi sasa kuwa SAMUYA HANA AKILI.... NANI MUHALIFU MKUBWA SANA NA FAMILIA YAKE YOTE ...BASI WEWE UNA SHIDA YA UANITHI WA AKILI.Wewe ndiye mjinga, usiyejua wajenzi wamejipanga vipi unakuja humu kupinga kila kinachofanywa na serikali.
Bajeti yao ilishatengwa miaka iliyopitwa msidanganywe na uongo wa instagram.
You're just a random nobody, stick to your lane.Umoja ni nguvu siku zote una gharama zake. Lazima tuvumiliane.
Siasa.viwanja vya michezo Zanzibar na Bara vitajengwa na serikali husika kwa fedha za ndani, na ikibidi pia fedha za nje pia zitatumika kwa kazi hizo muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya michezo nchini.
hata hivyo,
ni vyema kwa viongozi kujiepusha na vitendo vya rushwa, lakini pia wananchi kujiepusha na ukwepaji kodi wa makusudi na kuikosesha serikali mapato ya kukamilisha miradi ya maendeleo. Muhimu zaidi kama taifa hatuna budi kwa pamoja kudumisha umoja, amani na mshikamano ili kuipa nafasi serikali kutekeleza na kukamilisha majukumu hayo muhimu kwa wakati na kwa maslahi mapana ya wananchi wote.
Fedha za kufadhili miradi ya maendeleo Tanzania zipo za kutosha ikiwa sote tutaungana kuipiga vita rushwa na kujiepusha na ukwepaji kodi wa makusudi.
Zanzibar na Jamuhuri ya muungano hazihitaji misaada ya nje tukiungana katika kuyadhibiti hayo hapo juu
Gentleman,Tunaolipa kodi ni wachache ila wanaozitumia kwa kuiba ni wengi sana aisee..
Naamini hii kodi tunayolipa ingekua inafanya kazi stahiki tungekua mbali sana sema Majambazi yapo mengi mno nachoshangaa TRA wanaishia kutangaza kuvunja rekodi huku majambazi nayo yakiwa karibu kuiba sio mantiki ya TRA kukitangaza huku mbele hakuna kitu cha maana kinachofanyika.
Msigwa na Mwinjuma wamekula sana 10% hasa kwenye ukarabati wa uwanja wa Mkapa kila mwaka tens of billions zinatumika kwenye ukarabati usioisha.Tuungane kupiga vita rushwa
Wa kulaumiwa ni Mabeyo na Mkunda, we as common citizens we played our part.Mmeyataka wenyewe, acha Zanzibar iendelee kuwanyonya mpaka mpate akili.
Kukubali kutawaliwa na jambazi la kike kutoka Zanzibar hayo ndiyo matokeo yake, jambazi linapora waziwazi huku chawa wa Kitanganyika wasivyojitambua wanaendelea kulishangilia.
Gentleman,Siasa.
Naibu waziri wa mambo ya nje alisema wamewaomba wachina watusaidie kujenga, kati yako na yeye nani anasema ukweli.
Kuhusu kodi nani anakwepa kodi, TRA wamesema hawajawahi kukusanya kodi kama kipindi hiki. Sasa tatizo liko wapi narudia tena tunafeli wapi.
Serikali haramu huzaa matendo haramu. Msitegemee Baraka kwenye matendo yenu.viwanja vya michezo Zanzibar na Bara vitajengwa na serikali husika kwa fedha za ndani, na ikibidi pia fedha za nje pia zitatumika kwa kazi hizo muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya michezo nchini.